Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Siku zote huwa nina some sympathy na hii rule ya kuuza baadhi ya nyumba za serikali kusaidia viongozi, kwa mfano ninaelewa kuwa kiongozi kama Adam Sapi, na Bob Makani wamenufaika sana na hiki kitendo wka sababu hawakuwa na nyumba za kwenda baada ya kutoka serikalini,
Ninaamini kuwa nia ya sheria ilikuwa njema, lakini in the process wametokea vibaka na kuharibu the whole good intent ya serikali na hasa wabunge katika kuipitisha hii rule, sasa kama kuna cha kufanyika iundwe kamati ya bunge na kuamua publicily kama nani ana meet the creteria za kuuziwa hizo nyumba na wasiozi-meet, zirudishwe mara moja.

Naona tunatoka nje ya mada ila unapoongelea utendaji wa magufuli huwezi kukwepa KUONGELEA hili suala la uuzaji nyumba za serikali.

KUMBUKA..Adam Sapi alikuwa anaangukia katika lile kundi la wateule wa kunufaika na mafao ya viongozi wa juu serikalini( rais, PM, CJ, Speaker n.k) ..Makani naye sidhani ni wa kuonewa huruma kiasi hicho maana alikuwa wakili na halafu mwanasiasa. Kumbuka watu kama Marehemu Lawi Nangwana Sijaona, watu kama kina Timothy Apiyo n.k ambao baada ya kustaafu walienda kuishi maisha ya kimasikini sana vijijini! Na bado wako wengi sana kama wangeorodheshwa hapa na madhila yaliyowapata basi ingekuwa ni huruma tupu. Ukija kuangalia ni nani hasa wameuziwa hizo nyumba..ni maajabu maana nyingi ya hizo nyumba zimebomolewa na kujengwa majumba ya kutisha. Je? ni kweli sababu za kuwauzia nyumba ni kwa vile kama watumishi wa umma hawana kipato? je? hizo pesa walizojengea baada ya kuuziwa na kubomoa wametoa wapi? je? isingekuwa vema zaidi kuwatafutia viwanja wakajenga badala ya kuwauzia hizo nyumba kwa bei ya sawa na bure? je? kwanini basi hawakuuziwa kwa bei ya soko wakapewa hata mikopo iwawezeshe?
 
Mi sioni hata kama kuna haja ya kuzungumzia haya masuala kwani kila kukicha zinaibuliwa skendo za vigogo lakini serikali haichukui hatua tunazozitegemea sisi wananchi zinazimwa pasi kuelewa kwamba wanaoumia ni sisi walalahoi.
 
Wafanyakazi sasa kuuanika mgodi wa Kiwira

2008-10-31 13:38:45
Na Thobias Mwanakatwe, Mbeya

Wafanyakazi na maafisa wa Mgodi wa Makaa ya Mawe Kiwira mkoani hapa, wamesema watatoa ushirikiano kwa Kamati ya Bunge itakayoundwa kuuchunguza mgodi huo.

Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini juzi ilitoa pendekezo la kutaka ufanyike uchunguzi jinsi serikali ilivyouza hisa zake katika migodi huo, Bulyanhulu na Mwadui na fedha zilizopatikana zilivyotumika na taarifa yake kupelekwa bungeni.

Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi hao, Kiongozi mmoja wa Chama cha Wafanyakazi wa Migodini (TAMICO), alisema wamepokea kwa furaha kauli za wabunge ambao wanaendelea na kikao mjini Dodoma kwamba Kiwira Coal Mines ichunguzwe.

Mgodi huo uliuzwa kwa kampuni ya Kiwira Coal and Power Co. Limited ambayo ndiyo yenye hisa nyingi huku serikali ikibakiwa na hisa asilimia 15 tu.

Wafanyakazi hao, walisema pendekezo la Kamati hiyo kutaka migodi hiyo ichunguzwe ni muhimu hasa ikizingatia kuwa mgodi huo umekuwa na utata mkubwa juu ya mmiliki halali na kugeuka kero kwa watumishi kwa kuchelewa kulipwa mishahara.

Oktoba 12 mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete akiwa ziarani mkoani Mbeya, alimwagiza Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mashimba Husein Mashimba kumbana mwekezaji wa Mgodi huo awalipe mishahara ya miezi miwili wanayodai wafanyakazi hao.

Agizo hilo lilifuatia baada ya wafanyakazi hao kumuomba Kikwete kumbana mwekezaji wa mgodi huo awalipe mishahara yao.

Hata hivyo, Kikwete alimweleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa suala hilo lipo chini ya uwezo wake na kumtaka afanye kila jitihada za kumbana mwekezaji huyo ili aweze kuwalipa wafanyakazi mishahara iliyobaki.

Tatizo la Mgodi huo pia lilijitokeza katika Wilaya ya Ileje ambako Halmashauri, ilimweleza Kikwete kuwa mgodi huo umekataa kulipa ushuru wa shilingi milioni 7.5.

SOURCE: Nipashe
 
Ghanaian University honours Mkapa
Correspondent
Daily News; Saturday,November 22, 2008 @21:15

Former President Benjamin Mkapa was honoured by the University of Cape Coast (UCC) Friday last week for his distinguished service to humanity, as part of the Kwame Nkrumah Memorial Lectures. He was given a doctor of letters degree at a colourful ceremony, which brought students and other distinguished guests together at the university's Science Auditorium.

He was decorated by the vice-chancellor, Prof Jane Naana Opoku-Agyemang, and the chairman of the UCC Council, Dr Charles Mensah. He was given a certificate and citation, which described him as an accomplished journalist, diplomat, politician, democrat, peace-maker, human rights advocate, promoter of good governance, statesman, role model and distinguished former president of the United Republic of Tanzania.

The honour served as the climax of a three-day lecture series, addressed by Mkapa on the themes; Rethinking the political, social and economic paradigm of African development; 'The First 40 years: a Flawed Development Dependence Model, and Developing in Dignity: Self-reliance, an Afro-centric Strategy. Mkapa, who turned 70 on November 12, this year, aroused the spirit of the students as he espoused the ideals of Dr Kwame Nkrumah - the first president of Ghana.

He said Nkrumah would weep if he were to witness the kind of leadership Africans were having today, contrary to the ideals he stood for. Mkapa called on African leaders to fashion out African-oriented economic, social and political policies that would enhance development of the continent. He charged the African media to portray Africa in a good light, rather than following the Western media to portray Africa as a poor continent.

Mkapa said the African media should set their own agenda, and stop destroying Africa’s image with bad stories and also urged students of the university to refrain from the old thinking that Africa was poor, and everything connected to Africa was bad. Mr Mkapa said he was impressed by the warm reception given to him by the University, and pledged to contribute to its development. Prof Nana Opoku- Agyemang, on her part, said Mkapa epitomized the ideals of Kwame Nkrumah, and that was why the award was bestowed on him. She said he was the first East African personality to receive the honourary award, and the 33rd person.
 
Kama kweli walitaka kumpa tuzo mtu anaye epitomize ideals za Kwame Nkrumah wangeanza na Jerry Rawlings na si huyu kibaka wetu.
 
Hopefully, Prof. Lipumba atawaandikia hao waliompa hiyo degree Mkapa ili watueleze kama wanamaanisha - kama alivyofanya kwa IMF kuhusu suala la EPA!
 
ya mkapa tulishayaona ....itakuwa na upotezaji muda kuangalia nyuma na kusahau kuangalia mbele...tunao uwezo wa kufanya makosa ya mkapa yasitokee tena na kubeba mazuri yake....kama vile tunavyopenda kachana na makosa ya nyerere na mwinyi....na kurudia mazuri yao ..hasa sera za mwalimu kuhusu maadili na mengineyo.....

..kama wenye chuo wameona kuwa mkapa anafaa kwa PHD ..thats there problem ...if you like it or not theres no way you can change..he has satisfied the respective college senate..in fulfilment of that award..kama vile nyerere alipewa degree zaidi ya 30 za heshima na yet mawazo yake mengine hayakubaliki......

hata kikwete juzi naye kapewa phd marekani kama karume ...yet aliweza kumshinda salim ambaye naye ni mtanzania pekee mwenye degree nyingi za heshima ..baada ya nyerere....salim anazo honoraria zaidi ya 15.......

so honoraria zisituumize kichwa....mimi mwenyewe sijui vigezo vyake vya wazi...la ningependa mtu kama mwinyi naye mlimani wampe hasa kutambua mchango wake kwenye lugha...
 
Ugomvi hapa ni nini hasa?! Kwamba Mkapa alikuwa bora kuliko hawa jamaa zetu wa sasa hivi nalo ni jambo la kujadili? Of course, hata kwa Africa, kwa aina ya viongozi tulio nao, huwezi kumkwepa Mkapa katika list ya viongozi bora! Inaweza ikauma lakini ndio ukweli huo. Hii inakuonyesha jinsi tulivyo na uhaba wa viongozi bora katika bara letu.
 
Ugomvi hapa ni nini hasa?! Kwamba Mkapa alikuwa bora kuliko hawa jamaa zetu wa sasa hivi nalo ni jambo la kujadili? Of course, hata kwa Africa, kwa aina ya viongozi tulio nao, huwezi kumkwepa Mkapa katika list ya viongozi bora! Inaweza ikauma lakini ndio ukweli huo. Hii inakuonyesha jinsi tulivyo na uhaba wa viongozi bora katika bara letu.



kitila ..thats short and clear...tatizo hapa watu waanafanya mob justice......tusiwalinganishe..kikwete na mkapa ..kwani its obvious ..kikwete is weak.....muweke mkapa na kina kagame,moi,museveni et al......then you will see africa has problem.....big problem,so at least nkapa meets minimum requirements....
 
Kitila na Phillemon,
Wakuu mnaposema Kikwete ni weak kuliko Mkapa mna maana gani?..
Ni jambo gani ambalo Kikwete ameshindwa na Mkapa aliweza! haya yote yanayotokea leo yameanza na kuwezeshwa na Mkapa na hukumu mnayoitaka nyote ni Kikwete kufagia uchafu alouweka Mkapa..
Sasa huo Uongozi bora mnaouzungumzia ni UPI?..The one who messed up the country au yule anayeshindwa kuufagia!
Hakuna mbora laa sivyo tungekuwa na maendeleo yanayoonekana..!
 
Kitila na Phillemon,
Wakuu mnaposema Kikwete ni weak kuliko Mkapa mna maana gani?..
Ni jambo gani ambalo Kikwete ameshindwa na Mkapa aliweza! haya yote yanayotokea leo yameanza na kuwezeshwa na Mkapa na hukumu mnayoitaka nyote ni Kikwete kufagia uchafu alouweka Mkapa..
Sasa huo Uongozi bora mnaouzungumzia ni UPI?..The one who messed up the country au yule anayeshindwa kuufagia!
Hakuna mbora laa sivyo tungekuwa na maendeleo yanayoonekana..!

..hizi tabia za kutafuta excuse kwa kila jambo ..ndo maana hatutaendelea......kama kila mtu ataanza kumblame aliyemtangulia basi hapangekuwa na maendelea......

mtu ukiingia madarakani unachapa kazi kwa uwezo wake wote....what i mean is we want to see kikwete perfoming rather than him and his conies keeping on saying ...mmh it wasn"t me ....so what!!!..okay hata kama utasema kapokea nchi ikiwa mbovu .......yeye amefanya nini binafsi hadi leo..tuacheni tabia ya kutafuta pa kutokea bana!..hizo inakuwa ni dalili za kushindwa....

...mkapa kapokea nchi haina kitu ....lakini akapokea nchi ikiwa tayari mwinyi ameshafungua milango ya kibiashara ..na sera ya ubinafsishaji..mwinyi did his best at that given time....when mkapa step in he never wasted time with serial of blames to his descendant..he went straight to the job and did his best.....akafika alipotufikisha .....ameondoka katuacha sehemu nzuri kuliko alipopokea[usibishie ushabiki..fanya facts analysis]....we expected kikwete kwenda straght kwenye kazi ...lakini kosa kubwa alilofanya kikwete alipoingia ...[hakuna mashaka juu ya hili] tu alianza kampeni ya siri ya ku potray mafanikio ya mtangulizi wake....ikiwa ni dalili ya kumuonesha kuwa he was the best choice for presidency even in 1995...kimsingi bado alikuwa na zile asira za kizota 1995..kisasi!....hakukemea kabisa kampeni za kumchafua mkapa [hatukatai madhambi ya mkapa ..lakini haikuwa kazi ya kikwete na watu wake kubow mafanikio yake na kuhubiri mabaya tu....sisi tupo tungeifanya kama wananchi.....at late alipogundua kuwa things are not working out na kazi ni ngumu kuliko alivyofikiri..akiwa ziarani songea ndio kwa mara ya kwanza alikemea tabia ya kubeza mafanikio ya mkapa........]

mimi nafikiri kazi ya kujua nani ni best president ni ya wananchi ....kikwete needs to work!!!!

dinia ingekuwa inaendeshwa kwa kila tawala kupeleka blames za failure zao ..basi isingeendelea........marekani na canada ....zisingeendelea zingebaki zinalaumu kushindwa kwao kunatokana na ufalme wa uingereza....
hali kadhalika india .......

china wangeendelea kupeleka lawama kwa japan...........thats too low....

..tazameni mtazamo wa barrack obama ..anajiandaa kuingia white house...wakati wa kampeni alikuwa akilaumu sera za bush...lakini sasa yupo busy anapanga safu yake kutekeleza sera zake ..kwani atakapoingia januari wamarekani hawatakuwa na muda wa kumuonea huruma kwa kuridhi nchi iliyovurugwa kiuchumi na bush ..they will want to see him perfoming....no excuses....rating inaanza tu anapoingia ..hakuna kupeana muda.......si hapa miaka mitatu bado ..kuna wajinga wanaosema ..tuwe na subira...!!!....shame on us...

ukija jirani tu hapa ...angalieni rwanda ...kagame [wherever dirt he is]....ameipa rwanda mafanikio fulani....lakini hata angeshindwa kwa mtazamo wetu ..tungekuwa na sababu nyingi za kuhalalisha kushindwa kwake..si ameridhi taifa lililokuwa limevunjika.....lakini leo uchumi upo stable...no looking back!!!........museveni naye kwa taifa alilochukua ...angekuwa na sababu nyingi za kushindwa na kueleweka ..au sio....

siamini kama kuna kushindwa........naamini kuna watu ambao wanaamini hawawezi!!!
 
Mkapa is way smarter than Kikwete as far is akili goes. His macroeconomic policies zimesaidia sana Tanzania. Tatizo lake ni kwamba alikuwa ana 'flush sanitary towels' matokeo yake choo kimeziba when someone else was using it.. Kaiba sana, lakini in Africa nani haibi..? Sio kwamba tukubali tuu kuibiwa...

He was stronger when it came to CCM, alikuwa ana a good hold on the Party at least, na Serikali, kulikuwa hakuna open dissent. No one dared. I only wish asingefuga mafisadi nakufumba macho pale ambapo alipewa report ya Warioba iliyo mueleza exactly who was draining Tanzania.. akachuna... Angemuondoa Chenge along with a lot of other corrupt elements... lakini yeye alifikiri kutokuwa na ma scandal was the best way.. SO aliona nibora kuzika mauchafu ya watu wake kuliko kuwaexpose nakujidistance... Akalanao vizuri tuu...
 
Mkapa asingemfikisha JEETU mahakamani. Uozo wote huu ukiondoa Richmond umeanza wakati wa Mkapa.
 
Mkapa asingemfikisha JEETU mahakamani. Uozo wote huu ukiondoa Richmond umeanza wakati wa Mkapa.

Hayo ni mambo madogo sana ukilinganisha na sera za kuimarisha uchumi wa nchi. Mkapa alikuwa anafanya sana kazi. Sio huyu jamaa yetu tuliyenaye anaongozwa na magazeti.

Hivi tangu JK ameingia madarakani, amefanya nini? Angalau kimoja tu ambacho hakitokani na sera za maendeleo zilizowekwa na serikali ya Mkapa? Ujenzi wa barabara na miundombinu mingine umezorota sana, watendaji wa serikalini nao pia wanajifanyia mambo yao tu kwa jinsi wanavyoona inafaa kwa sababu hawana mwongozo toka kwa Rais.

Nachelea kusema kwamba, nina wasiwasi sana kikao cha Baraza la Mawaziri hata hawajui walikaa lini mara ya mwisho. Rais kila siku kasafiri tu, hakai ofisini!

Yatakuwa maajabu ya Mussa kama JK hatakwenda USA kuhudhuria kuapishwa kwa Obama!
 
Ugomvi hapa ni nini hasa?! Kwamba Mkapa alikuwa bora kuliko hawa jamaa zetu wa sasa hivi nalo ni jambo la kujadili? Of course, hata kwa Africa, kwa aina ya viongozi tulio nao, huwezi kumkwepa Mkapa katika list ya viongozi bora! Inaweza ikauma lakini ndio ukweli huo. Hii inakuonyesha jinsi tulivyo na uhaba wa viongozi bora katika bara letu.


Hii kauli inapotosha. Sio kweli hata chembe!




.
 
Hayo ni mambo madogo sana ukilinganisha na sera za kuimarisha uchumi wa nchi. Mkapa alikuwa anafanya sana kazi. Sio huyu jamaa yetu tuliyenaye anaongozwa na magazeti.

Hivi tangu JK ameingia madarakani, amefanya nini? Angalau kimoja tu ambacho hakitokani na sera za maendeleo zilizowekwa na serikali ya Mkapa? Ujenzi wa barabara na miundombinu mingine umezorota sana, watendaji wa serikalini nao pia wanajifanyia mambo yao tu kwa jinsi wanavyoona inafaa kwa sababu hawana mwongozo toka kwa Rais.

Nachelea kusema kwamba, nina wasiwasi sana kikao cha Baraza la Mawaziri hata hawajui walikaa lini mara ya mwisho. Rais kila siku kasafiri tu, hakai ofisini!

Yatakuwa maajabu ya Mussa kama JK hatakwenda USA kuhudhuria kuapishwa kwa Obama!
Ni uchumi gani alooacha umeimarika? Huduma zote za jamii ikiwemo ELIMU, AFYA, MAJI, USALAMA WA RAIA na MALI ZAO zilikuwa zimezorota kwa kiwango kikubwa.
Vijijini ameacha watu wanakula mlo mmoja kwa siku, umasikini wa watu wetu ulifikia kiwango cha juu kabisa nadhani tangu tupate uhuru. Fedha za UMMA zilitafunwa bila woga kila idara ya Serikali.
 
Kamuulizeni nalaila kiula mkapa ni nani? Mlingwa na wengine wengi tu wa aina hiyo na ile kampuni iliyojenga pugu kajiungeni rd
 
Ugomvi hapa ni nini hasa?! Kwamba Mkapa alikuwa bora kuliko hawa jamaa zetu wa sasa hivi nalo ni jambo la kujadili? Of course, hata kwa Africa, kwa aina ya viongozi tulio nao, huwezi kumkwepa Mkapa katika list ya viongozi bora! Inaweza ikauma lakini ndio ukweli huo. Hii inakuonyesha jinsi tulivyo na uhaba wa viongozi bora katika bara letu.

Kitila Mkumbo mkuu kama ikiwezekana ningeomba uniwekee udhibitisho wa jinsi Mkapa alivyokuwa kiongozi bora...Naomba unielezee huo ubora wa uongozi wake tafadhali....Kwamba ni vigezo gani hasa ulitumia.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom