Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Huwa nashangaa sana kuona hapa ukumbini kuna watu wengi wanamfagilia huyu fisadi Magufuli.
 
How Magufuli, Mkapa gave billions to an Asian mogul

2008-10-05 11:29:40
By The Guardian on Sunday Team

President Kikwete, addressing the Parliament in August, this year, hinted about the huge cost that taxpayers as well as the state can incur due to lack of good governance.

But before an ink dries, taxpayers are now forced to pay a Mwanza based tycoon a close to 2bn/- due to what High Court Judge described as `Out of either ignorance of the law or arrogance and flagrant disregard to the due process of the law.`

John Pombe Magufuli, a man former President Benjamin Mkapa once described as an exemplary model among his cabinet ministers, has made one Mwanza businessman a billionaire, following his controversial decision to demolish a petrol station valued at 490m/- at the time.

The Guardian on Sunday has established that Mansoor has already received a down payment amounting to 490m/- from the government`s coffer.

The payments were done recently by the treasurer in Dar es Salaam.

State counsels from the Attorney General`s Chamber in Mwanza have failed to appeal against the decision by the High Court to award the proprietor another 730m/- as loss suffered over six years, plus an interest of over 17 per cent per annum, after establishing that the evidence tabled by the minister is weak and baseless.

The state counsels don't object to the main ruling that the plot was acquired and developed legally, but they are against the amount awarded to the proprietor.

Mansoor earlier demanded about 18bn/- for the total loss he suffered during the projected period of his title deed, which has a 33-year lifespan.

The 2bn/- being paid to Mansoor is taxpayers` money, money that could have built 200 classrooms at 10m/- each, and an amount equal to that which President Jakaya Kikwete issued to two regions to fight poverty in 2006/7.

From owning a demolished fuel station worth only 490m/- to reaping a bounty of 2bn/-, Mansoor is one of the few lucky guys who have taken advantage of the lack of good governance to screw the Government - and taxpayers.

What transpired?
It all started in December 2000, in what six months later became a huge scandal involving Minister Magufuli, the Mwanza City Council and Shanifu Mansoor, the Asian businessman who had bought the petrol station, which Magufuli said was built illegally within an area reserved for road construction.

Magufuli had argued that Mansoor had been granted the station corruptly and was denying citizens of valuable land, but what made Magufuli a hero at the time has cost taxpayers dearly today, The Guardian on Sunday has learnt.

Reliable sources disclosed to The Guardian on Sunday this week that Magufuli was fully backed by the former head of state, and Mkapa`s support gave Magufuli the validation to demolish the disputed fuel station at Plot No. 78 Block A, Kirumba Street.

Magufuli, who was then the Minister for Works, stood firmly before all Members of Parliament from Mwanza region, and declared that the plot and the building permits had been acquired illegally.

He added that since the Mwanza City Council was clouded by corruption, the possibility that the proprietor had been granted the plot through crooked means couldn�t be ruled out.

The Mwanza petrol station became a national scandal, making the front pages of all the major newspapers in the country.

After weeks of back-and-forth, Magufuli finally ordered the petrol station demolished on June 21, 2001, despite being warned that the Mwanza City Council had issued the building permits legally.

Magufuli insisted that no compensation would be paid to the proprietor because, based on the available evidence, the plot was acquired imprudently.

In this battle, Magufuli was strongly supported by Mkapa and the then-Minister for Local Government, Hassan Ngwilizi.

Shanifu Mansoor, the owner of the petrol station, decided to take legal action to get what compensation for the losses he said he suffered following the demolition.

He collected evidence with the assistance of some top officials from the previous regime, and after obtaining proof that the plot was legally allocated, Mansoor filed a civil suit on February 5, 2002, at the Mwanza High Court.

Although the case took five years, the High Court in Mwanza ruled last year that the minister had acted unlawfully in demolishing the petrol station, and ordered the Government to pay Mansoor compensation amounting to nearly Sh2 billion.

In his ruling, Judge Lawrence Mchome ruled that the plaintiff obtained and owns the disputed plot lawfully, and ordered the first, second and third defendants to pay the plaintiff�s costs in the suit.

But, some government officials maintain that Mansoor can�t be blamed for fighting against a decision that never should have been made in the first place.

In his ruling Judge Mchome wrote, ``Out of either ignorance of the law or arrogance and flagrant disregard to the due process of the law, or both, the advice to invoke the President`s powers to revoke the right of occupancy and acquire the public land for public purpose was disregarded and the due process of the law abused.``

In what seemed a response to the defense issued by Magufuli, Judge Mchome added, ``Laws were made by our Parliament to be obeyed.

It is ridiculous if one disobeys or breaks the law and pretends to do so for public interests laws were made for public interest and both public interest and good governance require that they be obeyed, not vice versa.``

Ignored the warning
According to investigations conducted by The Guardian on Sunday, despite being warned by a team of experts from Mwanza City Council and his own ministry that the plot was legally acquired, Magufuli soldiered on with his demolition plan.

Testifying before the High Court, engineer Marwa Rubirya, who is currently an assistant director in the Ministry of Infrastructure, told the court, ``His office was satisfied that the construction of the fuel station was lawful.``

Mwanza city, in its defense, clearly told Minister Magufuli that the plot in dispute was legally acquired and developed, distancing itself from any compensation due to the proprietor of the demolished fuel station.

Reports from Mwanza city shows that, Magufuli was officially informed that Plot No. 78 Block A was first surveyed in 1963 and marked for residential and commercial purposes, and that the current city planning shows that there`s no need for a new road to be constructed through the petrol station.

The Mwanza city director at the time, Paul Baruti, wrote a letter in March 2001 to the Ministry of Local Government, and copied to Magufuli, stating that city plans indicated the plot was legally established under the town drawings No.14/165/781/21, and that there were no records to indicate that these drawings had been legally revoked by the concerned authorities.

Dr Charles Tizeba, who was the Mwanza city engineer during the scandal, told The Guardian on Sunday this week, ``I personally informed the minister in writing about the legality of the disputed plot, but he ignored my advice and chose to proceed with what has today cost taxpayers billions of shillings.``

A reliable source who worked at the State House during the third phase regime told The Guardian on Sunday this week, ``He did what he did because he was fully backed by Mkapa, who had promised to build Mwanza roads before he left office due to his strong trust to Magufuli, he didn`t bother with what impact the government would endure.``

Next week: Why the government lost

SOURCE: Sunday Observer

Hiyo Guradian and Sunday team haina majina au ndio wale wale ..na MWAANDISHI WETU?
 
They should add this to their article:

"...In what appeared to be double standard by the then minister of lands. He issued title deed to his friend who had built a temporary bar on the road reserve in Kinondoni Municipality...Rose garden Bar is built on road reserve and got title deed just after order to demolish it was issued by the mayor..."
 
Duh!kazi ya kuwajua mafisadi ni ngumu mno............nae huyu yumo???? maana kuna wananchi wanaona huyu ndo waziri pekkee anae weza kudhubutu.........

Watanzania kazi tunayo.........????????
 
whaaat........this is what we say........some of the best time of ufisadi
 
Mimi huyu jamaa bado na mwaminia

Inawezekana ni deal tu la ku block mapema ili asije wania pale ikulu ,Kama sumaye walivyomuwahi.

Kusema ameuzia sijui ndg zake wangapi nyumba sita sikatai wala sikubali Maana nijuavyo mimi huyu jamaa hana ndg mkuu wa kununua hizo nyumba nawajua niwapiga jembe tu kule kijijini Labda kama ndg zake ni hao walio ktk baraza lake pamoja ama mke hawala n.k.

Pili huyo jamaa kushinda kesi si hoja kabisa ya kusema jamaa mbabe ama fisadi Maana yawezekana MAFISADI walioko serikalini ama majaji wetu wamekula njama jamaa kumuondoa kwenye uso ama njia ya kifisadi tu ya kawaida kesi utashinda na 10% itakua yangu.
Kwani ninyi mnaamini kabisa hukumu inayotolewa na mahakama zile??

Mimi ningeshauri ama kuomba kuhusu hizo nyumba zitajwe namba za nyumba na aliyekua amenunua ili tumjadili vizuri FISADI MAGUFULI.
 
Mkuu sababu iliyofanya kurudishwa kwa nyumba ni yeye binafsi kuhusika na uuzaji huo, mojawapo ikiwa kwa Mwapachu, kuhusu undugu na mtu aliyemuuzia sijui ukoje, isispokuwa ninajua kuwa kati ya nyumba 68 zilizorudishwa sita kati yake zimenyang'nywa kutoka kwa one of his relative,

Kwamba ndugu zake wote ni wakulima sio kweli, nimemuona Magufuli siku ya uapisho pale kwenye viwanja vya Iklulu, alijitambulisha na ndugu wengi sana akiwemo mkewe na watoto na ndugu wengine,

Magufuli angekwua msafi, asingekua na tatizo hili la kufikia kurudishwa nyumba 68 za serikali kwa amri ya rais, kama kuna aliyekaribu naye amfahamishe kua maana yake ni moja tu nayo ni tatizo kwenye political career yake, sisi kazi yetu ni ku-deal with facts tu kama tunavyopewa au kuzichunguza akutoka serikalini, unless ana majibu ya kujiosha kwamba ni kwa nini rais ameamuru nyumba hizo 68 alizoamuru yeye na watu wa kuuziwa kurudishwa serikalini?
 
FMES, kwa maoni yangu hizo nyumba zote walizouziwa viongozi mbali mbali serikalini, kama sikosei ni nyumba 2,200 zinastahili kurudishwa serikalini maana wameuziana katika mazingara yaliyojaa ufisadi na ya kutatatanisha. Hakuna sababu yoyote muhimu iliyosababisha nyumba hizo ziuzwe.
 
Siku zote huwa nina some sympathy na hii rule ya kuuza baadhi ya nyumba za serikali kusaidia viongozi, kwa mfano ninaelewa kuwa kiongozi kama Adam Sapi, na Bob Makani wamenufaika sana na hiki kitendo wka sababu hawakuwa na nyumba za kwenda baada ya kutoka serikalini,

Ninaamini kuwa nia ya sheria ilikuwa njema, lakini in the process wametokea vibaka na kuharibu the whole good intent ya serikali na hasa wabunge katika kuipitisha hii rule, sasa kama kuna cha kufanyika iundwe kamati ya bunge na kuamua publicily kama nani ana meet the creteria za kuuziwa hizo nyumba na wasiozi-meet, zirudishwe mara moja.
 
Nakubaliana na hilo la kuwasaidia viongozi wachache ambao baada ya retirement zao walikuwa hawana nyumba. Lakini hili la kuwauzia nyumba 'viongozi' 2,200 ambao wote walikuwa bado wako kazini na nguvu zao sikubaliani nalo maana limeigharimu serikali pesa nyingi mno kwa kuwaweka mahotelini wafanyakazi wengi na familia zao maana nyumba walizokuwa wanastahili kuhamia zote zimeuzwa.
 
Mimi huyu jamaa bado na mwaminia

Inawezekana ni deal tu la ku block mapema ili asije wania pale ikulu ,Kama sumaye walivyomuwahi.

Kusema ameuzia sijui ndg zake wangapi nyumba sita sikatai wala sikubali Maana nijuavyo mimi huyu jamaa hana ndg mkuu wa kununua hizo nyumba nawajua niwapiga jembe tu kule kijijini Labda kama ndg zake ni hao walio ktk baraza lake pamoja ama mke hawala n.k.

Pili huyo jamaa kushinda kesi si hoja kabisa ya kusema jamaa mbabe ama fisadi Maana yawezekana MAFISADI walioko serikalini ama majaji wetu wamekula njama jamaa kumuondoa kwenye uso ama njia ya kifisadi tu ya kawaida kesi utashinda na 10% itakua yangu.
Kwani ninyi mnaamini kabisa hukumu inayotolewa na mahakama zile??

Mimi ningeshauri ama kuomba kuhusu hizo nyumba zitajwe namba za nyumba na aliyekua amenunua ili tumjadili vizuri FISADI MAGUFULI.

mkamap,
John si msafi hata kidogo.

Hata hivyo maamuzi yake aliyochukua dhidi ya kile kituo cha mafuta pale Mwanza, baadhi yetu tulijua yalikuwa na mapungufu makubwa ya kisheria na tulijua kuwa serikali haiwezi kushinda ile kesi.
 
Nakubaliana na hilo la kuwasaidia viongozi wachache ambao baada ya retirement zao walikuwa hawana nyumba. Lakini hili la kuwauzia nyumba 'viongozi' 2,200 ambao wote walikuwa bado wako kazini na nguvu zao sikubaliani nazo maana limeigharimu serikali pesa nyingi mno kwa kuwaweka mahotelini wafanyakazi wengi na familia zao maana nyumba walizokuwa wanastahili kuhamia zote zimeuzwa.

Badala ya kuwauzia hizo nyumba za serikali, kama inawapenda hao viongozi kwa nini isiwawezeshe kununua ama kujenga nyumba sehemu nyingine na hizo za serikali zikabakia hivyo? Hivi hamuoni kuna upuuzi hapa, serikali inauza nyumba, halafu mawaziri wa awamu inayofuata wanaenda kupangishiwa hotelini! Hivi kuna busara gani kuuza nyumba za serikali na baadae kujenga nyingine za bilioni 90 Dar? Tena zimejengwa mbali na mji, na 'wahusika' hawazipendi ati wanadai ziko kama 'makambi' (of course ni kweli, ukilinganisha na zile za Oysterbay na Masaki zilizouzwa!). One of my former students kamaliza mwaka juzi BA(Ed.), kapata kazi ya serikali na kuteuliwa 'second master' wa shule moja maarufu tena iko mjini, lakini kaniambia anakaa 14km toka shuleni, nyumba iliyokuwa karibu na shule ambayo alikaa 2nd master aliyetangulia imeuzwa! Huu ndio ufanisi? Mimi nadhani huko 14km ndiko angewezeshwa huyo mstaafu akajenge huko, na hapo karibu na shule wakae walioko kwenye service. Sasa serikali ya kina Magufuli inafanya kinyume kabisa!
 
Magufuli huyo huyo alikuwa anata apewe percentage kwenye ujenzi wa DARAJA LA KIGAMBONI

na ndiye aliyekuwa analichelewesha
 
Nakubaliana na hilo la kuwasaidia viongozi wachache ambao baada ya retirement zao walikuwa hawana nyumba. Lakini hili la kuwauzia nyumba 'viongozi' 2,200 ambao wote walikuwa bado wako kazini na nguvu zao sikubaliani nazo maana limeigharimu serikali pesa nyingi mno kwa kuwaweka mahotelini wafanyakazi wengi na familia zao maana nyumba walizokuwa wanastahili kuhamia zote zimeuzwa.

Tupo ukurasa mmoja hapo mkuu.
 
Tupo ukurasa mmoja hapo mkuu.

Sina uhakika ni kiasi gani Magufuli ameigharimu serikali kutokana na maamuzi yake, lakini ninaamini kuwa uamuzi wa kuuza nyumba za serikali umeigharimu na utaendelea kuigharimu serikali mabilioni ya fedha kwa miaka mingi ijayo.

Kwa mfano waziri mkuu moja mstaafu aliuziwa nyumba pale oysterbay kwa Shilingi za kitanzania 320,000/= yaani Shilingi laki tatu na elfu ishirini tu.

Sina hakika ni kiasi gani mheshimiwa alivuta katika ujenzi wa barabara kwani alikuwa anaprotection kubwa ya mkuu wake wa kazi ambayo mkuu huyo kwa kujua Magufuli ni Cabinet Minister kama walivyo wengine, hakusita kumwambia mbele ya kamera kuwa 'fanya unaloweza kufanya mimi nitakuunga mkono'. Hii ilimjengea kiburi hata kwa wateuliwa wenzake bila ya kujali kuwa wote pia ni wawakilishi wa wananchi. Hakuna mtu ambaye angeliweza kupeleka kesi dhidi ya Magaufuli kwa mkuu wa kaya, kulikuwa na siri kubwa hapa, nadhani kadri siku zinavyokwenda ukweli utajitokeza.
 
Unajua mkuu tunachoweza kufanya ni kuwaelimisha wananchi kuhusu ukweli wa uhuni wa viongozi wao au wetu, sasa uamuzi ni wao/wetu when the time comes hasa kwenye uchaguzi ambao unakaribia.

Mimi Maghufuli ninamlinganisha na Keeenja alipokuwa City, wote wana style moja nayo ni jenga soemthing cha kuonyesha wananchi na wakubwa wako wa kazi, kikigharimu shillingi billioni moja, kwenye makaratasi sema ni bilioni sita, lipa moja na tano gawana na contractor.

Hawa viongozi wawili wameli-cost taifa letu kuliko viongozi wote mafisadiw aliowahi kututawala na kutuibia, hakuna anayewafikia hawa!
 
Siku zote huwa nina some sympathy na hii rule ya kuuza baadhi ya nyumba za serikali kusaidia viongozi, kwa mfano ninaelewa kuwa kiongozi kama Adam Sapi, na Bob Makani wamenufaika sana na hiki kitendo wka sababu hawakuwa na nyumba za kwenda baada ya kutoka serikalini,

Ninaamini kuwa nia ya sheria ilikuwa njema, lakini in the process wametokea vibaka na kuharibu the whole good intent ya serikali na hasa wabunge katika kuipitisha hii rule, sasa kama kuna cha kufanyika iundwe kamati ya bunge na kuamua publicily kama nani ana meet the creteria za kuuziwa hizo nyumba na wasiozi-meet, zirudishwe mara moja.

Serikali ingejenga za kuwauzia/kuwakopesha hao ambao hawakuwa na pa kwenda, kuuza zilizokuwepo haikuwa sahihi kwani inaleta gharama kwa walipa kodi na matatizo makubwa kwa wakaaji watarajiwa. Kudhibiti uuzaji wa nyumba mpya pia ingekuwa rahisi, kwani zingeuzwa zinapopatikana/zinapojengwa.
 
Duh!kazi ya kuwajua mafisadi ni ngumu mno............nae huyu yumo???? maana kuna wananchi wanaona huyu ndo waziri pekkee anae weza kudhubutu.........

Watanzania kazi tunayo.........????????

huyu ni fisadi mkongwe... futatilia uuzaji wa nyumba za serikali utaona how dirty he is!!!!
 
Back
Top Bottom