Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Mimi huyu jamaa bado na mwaminia

Inawezekana ni deal tu la ku block mapema ili asije wania pale ikulu ,Kama sumaye walivyomuwahi.

Kusema ameuzia sijui ndg zake wangapi nyumba sita sikatai wala sikubali Maana nijuavyo mimi huyu jamaa hana ndg mkuu wa kununua hizo nyumba nawajua niwapiga jembe tu kule kijijini Labda kama ndg zake ni hao walio ktk baraza lake pamoja ama mke hawala n.k.

Pili huyo jamaa kushinda kesi si hoja kabisa ya kusema jamaa mbabe ama fisadi Maana yawezekana MAFISADI walioko serikalini ama majaji wetu wamekula njama jamaa kumuondoa kwenye uso ama njia ya kifisadi tu ya kawaida kesi utashinda na 10% itakua yangu.
Kwani ninyi mnaamini kabisa hukumu inayotolewa na mahakama zile??

Mimi ningeshauri ama kuomba kuhusu hizo nyumba zitajwe namba za nyumba na aliyekua amenunua ili tumjadili vizuri FISADI MAGUFULI.
Kuna lile suala la barabara inayotoka Biharamulo kwenda Bukoba ambayo alilazimisha michoro ibadilishwe ili barabara ipite kijijini kwao. Hiyo iliongeza urefu wa barabara hiyo na kugharimu fedha zaidi.
 
Siku zote huwa nina some sympathy na hii rule ya kuuza baadhi ya nyumba za serikali kusaidia viongozi, kwa mfano ninaelewa kuwa kiongozi kama Adam Sapi, na Bob Makani wamenufaika sana na hiki kitendo wka sababu hawakuwa na nyumba za kwenda baada ya kutoka serikalini,.

Mkuu FM ES heshima,
kweli kuna sympath kwa hawa wazee. Lakini Mkuu ukiangalia sana kuna wazee ambao nao tunatakiwa kuwaonea pia huruma, kuna watu maisha yao yote yamekuwa ni wakulima, wafugaji, wafanyabiashara nk. Nadhani nao wana haki ya kupata hizi nyumba pia. Kwangu mimi hata hili zoezi lingeendeshwa kwa kufuata utaratibu halali, kuwauzia tu wafanyakazi wa serikali hizi nyumba hilo ni kosa, hizi nyumba hazikujengwakwa kodi wanazotoa wafanyakazi tu, bali ni kodi za watanzania wote. Hivyo haikuwa na haja ya kuuza nyumba, then utumie kodi ya wananchi kujenga nyumba tena nje ya mji (kama walivyotoa mifano wachangiaji waliopita). Ukumbuke unapokaa nje ya mji,mbali na ofisi kwa wale wanaohudumiwa na magari ya serikali pia huongeza gharama za mafuta. Wakuu hapa jamaa walichemsha kuziuza hizi nyumba.
 
Kwa MAHAKAMA tulizonazo na SERIKALI iliyopo, HAKUNA kesi ambayo SERIKALI itashinda hasa za MADAI na FIDIA.
 
Mimi huyu jamaa bado na mwaminia

Inawezekana ni deal tu la ku block mapema ili asije wania pale ikulu ,Kama sumaye walivyomuwahi.

Kusema ameuzia sijui ndg zake wangapi nyumba sita sikatai wala sikubali Maana nijuavyo mimi huyu jamaa hana ndg mkuu wa kununua hizo nyumba nawajua niwapiga jembe tu kule kijijini Labda kama ndg zake ni hao walio ktk baraza lake pamoja ama mke hawala n.k.

Pili huyo jamaa kushinda kesi si hoja kabisa ya kusema jamaa mbabe ama fisadi Maana yawezekana MAFISADI walioko serikalini ama majaji wetu wamekula njama jamaa kumuondoa kwenye uso ama njia ya kifisadi tu ya kawaida kesi utashinda na 10% itakua yangu.
Kwani ninyi mnaamini kabisa hukumu inayotolewa na mahakama zile??

Mimi ningeshauri ama kuomba kuhusu hizo nyumba zitajwe namba za nyumba na aliyekua amenunua ili tumjadili vizuri FISADI MAGUFULI.


Kawaida ya wahaya ni kwamba kila muhaya ni ndugu na wala si lazima wazaliwe pamoja.
 
Kithuku,Pundamilia,B-A-K,...

..kuna watumishi wengi tu ambao wamelitumikia taifa kwa uadilifu na hawakupewa chochote zaidi ya pensheni zao.

..viongozi wakuu hugharimiwa kila kitu wanapokuwa madarakani. haiyumkini wawe hawana akiba ya kuwawezesha kuishi wakati wamestaafu.

..kama watumishi wa ngazi za nyingine wanaishi kwa kujitegemea wanapostaafu, ni nini kinawashinda hawa viongozi wakuu?

..kinachofanyika sasa hivi siyo kuwahifadhi na kuwasitiri viongozi wastaafu wakuu, bali ni kuwamilikisha wao, na familia zao, majumba ya kifahari, kwa gharama za walipa kodi.


NB:

..samahani nimeserereka kidogo nje ya mada.

..John Magufuli alikuwa na style ya ajabu-ajabu sana ya uongozi na utendaji.

..viongozi wanaofanya kazi zao kwa ubabe, na kujitangaza-tangaza, huwa wananikera sana.

..tena nakumbuka Magufuli akiwa naibu waziri alikuwa na matatizo ktk madai yake ya gharama za kuhamisha vyungu,sufuria, na magodoro yake, alipoteuliwa kuja Dar-Es-Salaam. hii habari ilitoka kwenye magazeti wakati ule.
 
Kawaida ya wahaya ni kwamba kila muhaya ni ndugu na wala si lazima wazaliwe pamoja.

Wakikusikia wahaya unamtaja Magufuli kuwa ni mhaya mtagombana kabisa! Magufuli anatoka Biharamulo, kwa wasubi. Wahaya kwao ni Bukoba, na wanajisikia vibaya sana kusikia watu wengine kama wasubi (Biharamulo), Wanyambo (Karagwe), Wahangaza (Ngara) nao ati wakijiita "wahaya". Rafiki yangu mmoja mhaya huwa ananiambia kuwa makabila mengine yanayojiita wahaya wanafanya hivyo kutokana na "inferiority"!
 
Magufuli siyo mhaya ni msukuma!


Teh teh teh teh

First lady.

Nafahamu vizuri mkuu wangu nilitaka kuwasikilizia hawa watu wanao attack watu badala ya kujenga hoja.

Kithuku.
Hata hiyo biharamulo anayoka makufuli haina wasubi nasikia siku hizi wamejitenga kabisa wanayo wilaya yao CHATO.

Unajua mfano wajuluo wengi wanatoka kenya lakini hata hivyo bado tz kunawajuluo hivyo kumuita mjuluo wa Tarime ni mkurya nafikiri nimakossa.

Wilaya ya chato hapo mwanzo biharamulo mashariki population yake ni WASUKUMA, WAZINZA pamoja na WAJITA.
Wasubi kama wapo ni asilimia 0.001
 
kuna taratibu zimewekwa kisheria ambazo zinatakiwa kufuatwa iwapo serikali inaona umuhimu wa kutwaa kiwanja cha mtu whether kilitolewa halali ama vinginevyo. sasa hapa utaratubu haukufuatwa. magufuli and co wao walikurupuka, wakidhani uwaziri unawapa mamlaka ya kupuuza sheria.
 
I have always regarded Mr John Pombe Magufuli, the Minister very high, especially when he was the "minister" in the road and public works. If any thing he did in that ministry was nothing short of wonders until he left the ministry and other stuff started popping up! I am just interested with Mr Pombe Magufuli right now in his current post, his national news here and there really beats my understanding.
 
Mkuu FM ES heshima,
kweli kuna sympath kwa hawa wazee. Lakini Mkuu ukiangalia sana kuna wazee ambao nao tunatakiwa kuwaonea pia huruma, kuna watu maisha yao yote yamekuwa ni wakulima, wafugaji, wafanyabiashara nk. Nadhani nao wana haki ya kupata hizi nyumba pia. Kwangu mimi hata hili zoezi lingeendeshwa kwa kufuata utaratibu halali, kuwauzia tu wafanyakazi wa serikali hizi nyumba hilo ni kosa, hizi nyumba hazikujengwakwa kodi wanazotoa wafanyakazi tu, bali ni kodi za watanzania wote. Hivyo haikuwa na haja ya kuuza nyumba, then utumie kodi ya wananchi kujenga nyumba tena nje ya mji (kama walivyotoa mifano wachangiaji waliopita). Ukumbuke unapokaa nje ya mji,mbali na ofisi kwa wale wanaohudumiwa na magari ya serikali pia huongeza gharama za mafuta. Wakuu hapa jamaa walichemsha kuziuza hizi nyumba.

Mkuu Mfumwa,

Siku zote nina heshima sana na michango yako kwa sababu huwa ina elimu na imetulia, ninaomba kesema hivi huwa sikubaliani na maaamuzi mengi ya Mkapa, akiwa rais, lakini this is one desicion ninakubaliana naye kwa 100%,

Unajua kwa sababu fairness ya sheria ilisababisha OJ Simpson kuachiwa huru na kesi ya mauaji ya watu wawili, haina maana kuwa sheria ile ni mbaya sasa ifutwe, kwa kuwa sheria hii ya kuwauzia nyumba wastaafu, kuanzia wafanyakazi wa chini mpaka wa juu, imekua abused na viongozi wachache haina maana kwamba ifutwe na kwamba haifai, badala yake tutumie changamoto hiyo kwa kuwaamusha wananchi ili watakapopiga kura next time wawe makini ni nani wanawachagua,

Binafsi niliwahi kumuona uso kwa uso, Mkapa akilijibu hili swali na ni the only one thing ninamewahi kumuamini, alisema wazi kua "...ni mimi Mkapa ndiye niliyeamua kwa sababu ya kuwaonea huruma wananchi na viongozi wastaafu.." sasa uzuri na ubaya wa hii sheria ni kweli debatable, lakini binafsi ninawafahamu wananchi wengi sana walionufaika na hii sheria, tena wengi wao ni wananchi wa hali ya chini sana, na pia nimewaona viongozi wahuni walioamua kufanya uhuni kwa kweli ninaweza kukubali kutokubaliana na wewe, lakini bado ninaamini kuwa ilikuwa ni sheria yenye nia njema kwa wananchi at large.

Ahsante Mkuu.
 
Kuna lile suala la barabara inayotoka Biharamulo kwenda Bukoba ambayo alilazimisha michoro ibadilishwe ili barabara ipite kijijini kwao. Hiyo iliongeza urefu wa barabara hiyo na kugharimu fedha zaidi.


huyu ndio mbuge tunaye mtaka sasa sio wengine hata barabara ya vumbi hakuna....tatizo nini si kufika bwana....na rami iwepo ingekuwa imepita kijijini kwao harafu na rami haipo kwa kweli ingekuwa ni issur ingine.

long live John.
 
Kuna campaig za kumaliza nini jamani.....kama kuna mtu yuko maeneo ya karibu na ziwa victoria anaweza kusema ukweli kuhusu bei ya samaki ilivyo juu maeneo ya lamadi,musoma hadi mwaloni....

Guess what?ni kwasababu jamaa kabana wale wavuaji haramu wa samaki kwa sumu na mabomu,na nyavu ambazo hazikizi viwango husika..so wale wanao vua kwa halani na nyavu za kweli wanapata kilicho halali kuliko kuharibiwa soko na wahuni wachache wanaotumia sumu kwenye kuvua.

Nyama je ile wanaita steki kilo saa hii ni sh ngapi?Lets get to the fact jamaa wizara zinazoshidwa ma mazee mengine yaliyoko kwenye utawala...wanampa mtu huyu mwenye kudhubutu....wengi wa viongozi wetu hawawezi kudhubutu...kuogopa kupoteza kifungua kinywa..

Kauli mbiu ya Jamii forums ni kuongea kwa uwazi leo hii tunataka kupigana...

Coffee time now.
 
kwa mahakama tulizonazo na serikali iliyopo, hakuna kesi ambayo serikali itashinda hasa za madai na fidia.

mkuu heshima mbele je unaweza kuthibitisha hili ?
Au ndio unaongozwa na nguvu ya kiza
 
They should add this to their article:

"...In what appeared to be double standard by the then minister of lands. He issued title deed to his friend who had built a temporary bar on the road reserve in Kinondoni Municipality...Rose garden Bar is built on road reserve and got title deed just after order to demolish it was issued by the mayor..."

Huu ni upakaziaji mtukufu kwa huyu mchapa kazi, tafuteni hoja ingine waungwana hili la petrol station, nyumba za serikali na Rose Garden ni uchakavu wa hoja ndani ya JF.
Rejeeni viapo vya mawaziri wakuu hapo mtaona kwanini nasema tusijichakaze kwa hoja nyepesi ambazo hata wao wanaonyosheana vidole hawana mulekeo.

Nakubaliana na kurejeshwa kwa nyumba zile ambazo ziko ktk eneo moja na maofisi ya dola halafu zikamilikishwa kwa wananchi hapo haikubaliki.

Lakini makosa ya akina Kimweri pale TBA hayawezi kuwa hukumu dhidi ya Magufuli, ninadhani ipo haja kuangalia pande wa pili unamshutumu Magufuli kama wana lipi against huyu bwana hasa kwa dhati.

Washeni hoja kwa msingi huo ili tujue pia maadui wa Magufuli na kisa cha uadui wao.
 
huyu ndio mbuge tunaye mtaka sasa sio wengine hata barabara ya vumbi hakuna....tatizo nini si kufika bwana....na rami iwepo ingekuwa imepita kijijini kwao harafu na rami haipo kwa kweli ingekuwa ni issur ingine.

Long live john.

kwani yeye magufuli aliwaomba wananchi wake ubunge ili awafanyie nini?

Lobbying inaruhusiwa as long ni kwa faida ya wananchi, ametumia vizuri wadhifa wake serikalini kwa kuwaletea maendeleo watu wake,wamepewa wilaya akiwa miundo mbinu, barabara, umeme kapeleka mradi wa ujenzi majumba kule akiwa ardhi. Huyu ni mtu ambaye chato hawatakaa wamsahau kiurahisi jamani.

Hana tofauti sana na mzee cdm kwa kila kitu cha maendeleo jimboni mwake hivyo tunao uhuru wa kumpongeza au kumnanga but daima historia itamkumbuka kwa mema mengi aliyowapatia watz na pia wenzetu wa chato.

Msuya 79-81 alitumia madaraka yake kutunyang'anya nguzo za umeme na kuzipeleka kwao mwanga, sasa hapo ilikuwa ubabe ambao kambarage alilazimika kuingilia kati na kuwatuliza wana kilombero wote na mbunge wao mzee wangu jaji edward mwesiumo.

Jk huenda hamkubali jpm lakini anafahamu kuwa ni mmoja wa wachapa kazi mahiri alionao na ndio wanaohuisha sirikali yake kwa sasa.

Siamini kama jmk atamtema jpm ktk baraza lake
 
ENEO HILI LA SHERIA KWA SASA KUNA TATIZO KUBWA SANA KULIKO WANAJF TUNAVYODHANIA, JK WAS RIGHT KUWA HANA WATAALAMU WAZURI KTK SHERIA. KWA NINI NAKUBALIANA NAYE MHESHIMIWA RAIS?

KUNA WIMBI LA WANASHERIA WALIOAJIRIWA NA SERIKALI KWA MAANA MAHAKIMU NA WANASHERIA KATI YA 2003-2007, UTAFITI UKO WAZI KUWA WALIOAJIRIWA WENGI NI PRODUCT ZA TUMAINI UNIVERSITY AMBAKO KUNASIFIKA KWA KUFAURISHA LAWYERS WETU KWA GPA KUBWA SANA NCHINI KWA SASA, KWANINI TUMAINI UNIVERSITY? NI KWA SABABU UDSM INA ZAIDI YA 20 YRS HAINA FIRST CLASS KTK FACULTY OF LAW HII NI MPAKA 2006 SIFAHAMU 2007 NA SASA 2008. SASA SERIKALI IMEJIKUTA IKITOA AJIRA KWA WINGI KWA HAWA JAMAA WA TUMAINI KULIKO VYUO VINGINE AMBAKO WAHITIMU WA SHERIA WAMECHUJWA SANA KTK VIWANGO AU WALIBANWA KWA MAKUSUDI NA WAHADHIRI (Mvungi,Kanywanyi,Mgongofimbo n.k style)

tatizo linalojitokeza sasa ni kwamba wazee wamewaachia vijana hawa wawashauri ktk maeneo mengi na pia kwa ma GPA wanayokuja nayo huko makazini lazima wazee wawapishe vijana. Matokeo yake wengi wanachemsha ktk kazi na tatizo ni kuwa upeo mdogo ktk field yao licha ya kuwa na GPA nene, kichekesho ni kwamba baadaye serikali ikasituka na kuanza kuwa employ hawa wenye GPA za kawaida za akina Mvungi pale UDSM na wameanza kuona tofauti ya wazi.

Kwa hiyo serikali inashindwa sana mahakamani kutokana na kuwa na State Attorneys wenye mapungufu kitaaluma na kibaya zaidi hawapendi kujisomea na kujifunza kwa maana ya kusaka uzoefu kwa wazee.

Kuna mahakimu wengi tu wa hovyo na wamefikia mahala wanaandika hukumu ya half page kwa kosa la kubwa tena lenye vielelezo vingi vyenye kukinzana kisheria.

UDSM wanatoa Lawyers wazuri sana ila waache kuwakomoa wanafunzi wao ktk alama maana wanawanyima fursa zao stahiki ktk jamii yetu ktk ulingo wa sheria.

Hivyo sidhani ni Magufuli aliyechemsha bali ni hawa Lawyers slakes wasiojua wajibu wao kwa umma na viongozi wao.
 
Magufuli huyo huyo alikuwa anata apewe percentage kwenye ujenzi wa DARAJA LA KIGAMBONI

na ndiye aliyekuwa analichelewesha

Na ndiyer alikazana kuzuia zile speed boats za Mwanza. Ingawa zilifika kupitia Kenya, lakini hadi leo zimekuwa ni hadithi
 
Jamani Magufuli sio malaika mbona ata Mwalimu aliwai flook ktk baazi ya vitu.
Iyo ya mwanza silifahamu vizuri ila nyuma za serikali ni shinikizo toka kwa Ben mwenyewe magufuli ilikuwa kutekeleza tuu a Rose garden jamaa yupo pale ata kabala magufuli hajakabiziwa iyo wizara.
Na ni mda mwingi watu wanajaribu kumchafulia jina Mr Pombe ila ndo ivyo nabii hakubaliki kwao.
Infact kila mtu kwa level kubwa au ndogo ni fisadi kwa sasa Tz.
Unapomnyoshea mwenzako kidole kimoja mind u vinne vinaelekea kwako
 
Back
Top Bottom