Dhana yako si sahihi. Ingekuwa hivyo, watu wote waliowahi kuwa marais au viongozi wa nchi duniani wangekuwa ni matajiri sana kama yeye. Lakini ukweli siyo hivyo ila kwa wale wachache waliowahi kupata tuzo kama za Noble prizes. Huyu Mkapa hakupata tuzo zozote za kimataifa kama zile alizopata Nyerere lakini yeye ni tajiri mkubwa kuliko Nyerere liocvha ya kuwa Nyerere alikuwa ni mwalimu wake na ndiye aliyempa kazi ya Urais, kama siyo matokeo ya wizi kutumia nafasi yake ya urais. Sasa hivi anatafuta nafasi ya kuhalaliasha wizi wake kwa kutumia mlangoi wa nyuma. Tunamsubiri Sumaye naye arudi atufungulie benki kubwa au kampuni kubwa ili kuhalalisha pesa alizovuna kinyume cha sheria wakati wa utawala wake.Kwa mtu aliekuwa Rais kwa miaka 10 kununua nyumba ni sawa tu. Ukizingatia kipato chake na mkewe na uwezo wa kupata mikopo kutoka kwa mabenki mbalimbali. Mwandishi hajatufafanulia kama nyumba hii alinunua kwa cash au mkopo. Look tuache ujinga hapa wangapi wana majumba bongo hawa ThisDay wanakuwa hawana cha kuandika wakati mwingine ushabiki tu.
Uzuri ni kuwa wala hakuficha jina, na amewekeza nyumbani kama alivyosema mzee yebo yebo, to me its OK.
Theorem: President Mkapa, who happens to be the first president of Tanzania after the demise of President Nyerere, was the the chief builder of corrupt governement system in Tanzania with strong support of the British Prime Minister Tony Brair.
Proof: Straightfoward
Tusubiri. Hawa THISDAY hawajaandika kila kitu, lakini kwa kawaida huwa wanaandika kwa mafungu. Jambo la msingi ni kuwapa support na si kuwakatisha tamaa. Kama Zambia waliweza kwanini sisi Watanzania tushindwe? Tena kwa kuwa Tony anaondoka huko majuu, nadhani sasa inawezekana hata kushitakiwa kama Chiluba. Sina hakika kama JK atafanya nini, ama kumlinda ama kuacha sheria ichukue mkondo wake
Wacha wamiliki kila wanachoweza...ili mradi watupe delivery ya uhakika.