BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
This makes me sad when I read this.
Hivi kama una proof, kwanini usimburuze mahakamani? Why cant people do that?
Kwanini aje mbele yako ajishitaki?
This makes me sad to see some Tanzanians defend mafisadis at any cost. Kuna ushahidi wa kutosha kwamba fisadi Mkapa alitumia wadhifa wake kufanya ufisadi na hata viongozi wa sasa na wa zamani wameshaanza kulizungumzia hilo kama Warioba, Butiku, Mwinyi, Anna kilango etc.
Sielewi kwanini Watanzania hawa wanaendelea kumtetea fisadi Mkapa. Haingii akilini kabisa labda walinufaika kwa namna moja au nyingine lakini kuna ushahidi wa kutosha kabisa unaonyesha kwamba fisadi Mkapa aliwafisadi Watanzania. Kama kweli yeye si fisadi ajitete hadharani kuhusu tuhuma mbali mbali. Haya mambo ya kwenda kuongelea kijijini au kumtuma Mama Simba amtetee ni kinyume na jinsi tulivyomjua Fisadi Mkapa ambaye aliwahi kuwatukana Watanzania mara chungu nzima.
Kwani hukusikia Mtikila alitaka kumburuza mahakamani Wabunge wa CCM wakamzuia? Za mwizi arobaini na za fisadi Mkapa zinaelekea ukingoni.