macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,327
- 57,182
'TABASAMU' LA MKAPA KWA R. MENGI
Wabongo maneno mengi? Kama hivyo vyote ni vyake na hajavipata kihalali kwa nini msiende mahakamani. Majibu mmeshapewa kwamba anaishi kwa pensheni sasa mnataka mlazimishe aseme hivyo vitu vyote ni vyake? Kwa kweli sasa naona tunakoelekea siyo kuzuri imefika wakati mtu akimiliki hekari 50 basi ni adui wa taifa. Mzee Mkoa wa Pwani kuna viwanja na mashamba ya bure changamkeni badala ya kushinda hapa 24/7 kupiga domo. Nenda Pwani ukachukue shamba na unapimiwa kabisa na hati unapewa bure. Viwanja vikiisha mtaanza kulikuwa na ufisadi Pwani. Changamkeni watu wengi hawataki hivyo viwanja na mashamba kwa kuwa usafiri ni kasheshe lakini baada ya muda mtajutia na kuanza kudai ufisadi. Kama kazi za BOT zilipokuwa zinatoka hakuna mtu aliyekuwa anazitaka kwa maana mshahara ulikuwa mdogo na huwezi kupandishwa cheo, washkaji wangu kibao waliamua kwenda kwenye makampuni binafsi kwa kuwa mshiko ulikuwa wa nguvu leo hii mambo yamebadilika BOT watu wanaanza kunyoshena vidole.Source-mwananchi
Waziri Wa Ofisi Ya Raisi Na Utawala Bora Sophia Simba Amesema Shutuma Zidi Ya Fisadi Mkapa Ni Uongo Na Uzushi Mtupu...mh Simba Alyasema Hayo Katika Khitma Ya Aliekuwa Mkuu Wa Tabora Mh Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe Mzuzuri....alisema Shutuma Zote Ni Uzushi Mtupu Akawaomba Waandishi Wajitahidi Kuzama Kuwaelimisha Wananchi Katika Kuleta Maendeleo Badala Ya Kufwatilia Vitu Visivyo Na Ukweli...""nawashangaa Wananchi Wanaacha Kufanya Vitu Vinavyoleta Maendeleo Nawanaanza Kujadili Viongozi Kwa Tuhuma Ambazo Hazina Ukweli Wowote..kama Yupo Mwenye Uthibitisho Aende Maahakamani""wakati Waziri Akisema Hilo Ex Presidaa Nkapa Alikuwepo Mahali Hapo Na Hakuongea Chochote Zaidi Ya Kuondoka Baada Ya Kumaliza Hafla..
Watanzania Huyu Ndie Waziri Wa Utawala Bora Tunaemtegemea Katika Kumwelekeza Raisi Wapi Pachafu Nani Si Mwadilifu Leo Hii Anaongea Utumbo Kama Huu Sasa Nafikiri Imefika Wakati Wa Wananchi Kuwaonyesha Makucha Yetu Hawa Watu Jamani....
Wewe Mama Sikujui Na Wala Hunijui Mimi Nashukuru Kwa Kuongea Kile Mdomo Unachotaka Ukizingatia Ndie Aliekupa Ulaji Muda Wote Akiwa Raisi Sina Cha Kusema Ila Kama Waziri Unijibu Maswali Yafuatayo Hata Kwa Kutumia Hausigeli Wako Kuandika Kwenye Jf
Tunaomba Ujibu Kashfa Zifuatazo Za Mh Nkapa Kabla Ya Kumshauri Raisi Ujiuzulu Kwanza Kwa Kutumia Msiba Kudangannya Umma...nilitumaini Wewe Ni Muislam Safi La Hasha Kumbe Marjisi Mtupu...naomba Utujibu Maswali Haya
1)))zile Nyumba 3 Kubwa Pale Masaki Za Mh Mkapa Alizipataje????
2)))kile Kiwanda Cha Kiwira Alichojiuzia Na Nduguye Yona Kwa Sh Million 700 Na Kulipa Sh Million 70 Ambazo Hata Hivyo Alizipata Kwa Kupewa Mkop[o Na Crdb Unaweza Kutueleza Kwanini Ajalipa Zilizobaki Mpaka Sasa?????unaweza Kutuonyesha Au Kuwaandikia Jf Members Bodi Membaz Wa Hiyo Bodi....???na Akija Mtu Kukwambia Kile Kiwanda Analipwa Million 140 Kwa Siku Wewe Kama Simba Waziri Uanweza Kukataa Na Kuonyesha Nini Wanalipwa????
3))ukiwa Nae Huyo Nkapa Chumbani Ama Sehemu Yoyote Muulize Nzee Pesa Za Lile He=kalu Kule Tanga Nani Alikufadhili????nzee Mbona Hailingani Na Pensheni Yako???ukipata Jibu Nimekuomba Mtafute Hausigeli Ajibu Humu Ndani...nasi Tuendelee Kukumwagia Dataz
4))muulize Ati Lile Hotel Pale South Africa Wale Jamaa ((muunganiko Wa Southafrikan Kampani))zilizopewa Madini Na Baadhi Ya Kampuni Yetu Hapa Nchini Nzee Kweli Ni Yako??naomba Utuletee Jibu Kabla Hatujakujibu Kwa Maandishi
5))lile Shamba Kubwa La Hekari Kadhaa Pale Mtibwa Sugar Mzee Jamani Kweli Umechukua Lote????we Muunganishie Wakati Mkiwa Mnakunywa Chai Na Juisi Ya Miwa Ya Mtibwa Uone Atasemaje Tunaitaji Majibu Humu
6))zile Hekari 50 Za Bagamoyo Mzee Ulizipata Kwa Hii Hii Pensheni Jamani???
Ukimaliza Tunaomba Majibu Mama Simba Kabla Hatujamshauri Raisi Kukuondoa Hapo Ulipo Na Yeye Kuamua Ama Akupige Chini Kama Chenge Au Akuamishe Kupunguza Gasia......
Shame On You Madam
Wabongo maneno mengi? Kama hivyo vyote ni vyake na hajavipata kihalali kwa nini msiende mahakamani. Majibu mmeshapewa kwamba anaishi kwa pensheni sasa mnataka mlazimishe aseme hivyo vitu vyote ni vyake? Kwa kweli sasa naona tunakoelekea siyo kuzuri imefika wakati mtu akimiliki hekari 50 basi ni adui wa taifa. Mzee Mkoa wa Pwani kuna viwanja na mashamba ya bure changamkeni badala ya kushinda hapa 24/7 kupiga domo. Nenda Pwani ukachukue shamba na unapimiwa kabisa na hati unapewa bure. Viwanja vikiisha mtaanza kulikuwa na ufisadi Pwani. Changamkeni watu wengi hawataki hivyo viwanja na mashamba kwa kuwa usafiri ni kasheshe lakini baada ya muda mtajutia na kuanza kudai ufisadi. Kama kazi za BOT zilipokuwa zinatoka hakuna mtu aliyekuwa anazitaka kwa maana mshahara ulikuwa mdogo na huwezi kupandishwa cheo, washkaji wangu kibao waliamua kwenda kwenye makampuni binafsi kwa kuwa mshiko ulikuwa wa nguvu leo hii mambo yamebadilika BOT watu wanaanza kunyoshena vidole.
haya bwana.. nyie tuzugeni tu.. !
Source-mwananchi