Naomba wabunge, kwanza wamtoe hiyo immunity yake, pili wakate Pension yake by half, tatu wataifishe 90% ya malizake au mali zote alizopata kwa ufisadi, kunyanganya diplomatic passport, kuondoa jina lake kwenye majengo na shule na daraja, then wanaweza kumwachia huru itakuwa adhabu tosha kwake na nkewe, na kumuachia huo ulinzi kidogo, na atleast a reasonable hse ya kuishi