Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa huna huruma "nguo yenyewe ni ndogo mnagawana hadi mnatuacha tu uchi" Serikali yako ilikuwa na kauli mbiu "UKWELI NA UWAZI" mbona ulifanya mambo mengi kwa siri? Mfano ulijimilikisha mgodi wa KIWIRA kule Mbeya?
Hiyo Kiwira walishajitayarisha mkewe alishanunua nyumba za Partizanski mjini Mbeya kinyemela wakati si mfanyakazi wa serikali. Sasa uwongo wa yaliyowazi katika makaratasi unatoka wapi. Si Watanzania wote wavivu wa kufikiri na wenye wivu na maendeleo yake. Kikwete sijui anachoogopa nini, YUKOC ya Urusi ilirudishwa kwa umma baada ya kudhihirika kuwa kulikuwa na mizengwe ambayo ingeliyumbisha Taifa la Urusi. Je jinsi sekta ya umeme ilivyo'binafsishwa' serikali yetu ina usalama na udhibiti wa uchumi wa nchi? Fungua tu faili la kodi la hizo kampuni zao na mabo yatakwisha kama yalivyoanza.
 
harafu weekends uwe unakuja vilevilie... kuna issue kibao zinazotaka ushauri wako...

Itabidi uitishe vikao vingi sana kwenye hili... Kuna mambo mengi yanaendelea kwenye Club Afrique siku za weekend na itakuwa vita sana kukosekana huko.

Anyway... maisha haya mafupi sana na inabidi mtu uyafurahie kabla hayajachukuliwa na mwenye kuyamiliki - MUNGU
 
Say what...?

You mean Mwanakijiji is gonna have a fit with you not going there on weekends?
 
Dont get me started on that... it's gonna be like.. a big fat Italian fight...

.........a mob fight.. I mean ... a mob fight.... a group of 18 strong members!
 
Hahahahaaa....I know..
You are the last one I would want to pick a fight with coz fighting you is fighting the whole clan....

Trust me, I speaking from experience....
Tell my boo I'm going out of town this weekend...
 
Hey Mwanakijiji, you better step your game up or you may lose this broad....you've been warned.....
 
Inaboa pale unafungua threads na kukuta posts kama hizi. Mtu unakwenda post by post, kumbe watu wanatakana uchumba sijui badala ya kuchangia hoja. Kuna forum kibao za mahusiano, huko ndio naona mngepeleka posts kama hizi.

Heads up guys. Stick to what we do the best!
 
Stop complaining like a little kindergarten girl....you hear me?
 
Inaboa pale unafungua threads na kukuta posts kama hizi. Mtu unakwenda post by post, kumbe watu wanatakana uchumba sijui badala ya kuchangia hoja. Kuna forum kibao za mahusiano, huko ndio naona mngepeleka posts kama hizi.

Heads up guys. Stick to what we do the best!

Zero,

dont worry... this is part of what we do best..... having more FUN than any human being should be allowed to have - By Nyani Ngabu!
 
Nimewaona wabunge wa taifa letu na ninayo kanda kama kumbu kumbu, wakimpiga Lowassa usoni, ninasema hata siku moja sitarusha maneno ya kuwakatisha taama wabunge wetu walioamua kukataa mamilioni ya mapesa ya bure ili waipinge ripoti ya Mwakyembe,

Sijawahi kuona waziri wa Tanzania, licha ya waziri mkuu akijuzulu kwa rushwa, sijawahi kuona mawaziri wawili wakijiuzlu kwa mpigo ktokana na rushwa, sijawahi kuona makataba wa rais wetu wa zamani kama wa bandari ukitupwa nje na wabunge,

Lakini yote haya nimeyaona hivi karibuni kwa macho yangu na masikio yangu, sihitaji kuambiwa na mtu yoyote tena kinachofuatia kwa Mkapa, niseme hivi mbunge Kimaro hakuongea bila sababu, kulikuwa na sababu nzito sana na hata kumpa yeye aiseme ile hoja, haikuwa hoja yake peke yake, very soon utajua ilikuwa ni hoja ya watu wangapi nyuma yake, na ni kwa nini aliombwa mbunge wa kabila mama Mkapa aiteme bungeni!

Mungu Ibariki Tanzania!
 
FMES,

Lakini hayo je yanatosha? Kwa mawazo yangu hayatoshi kabisa, labda mpaka watu watwangwe na risasi ndio ufisadi utapungua.

Serikali inatakiwa iwajibike zaidi maana hatua walizochukua hata kama ni positive lakini bado ni ndogo na hazitoshi.

Inatakiwa watu wawe Keko na sio kuendelea kutanua na pesa walizopata kwa ufisadi.
 
FMES,

Lakini hayo je yanatosha? Kwa mawazo yangu hayatoshi kabisa, labda mpaka watu watwangwe na risasi ndio ufisadi utapungua.

Mtanzania you got my attention here.. huku kutwangana risasi kunafanywa na nani, kwaweza kufanywa na nani, au kufanywe na nani ili kupunguza ufisadi?
 
Kutafanywa na special trained sharp shooterz..... na kutafanyika kwenye uwanja mpya wa taifa na kurushwa live na vituo vyote vya radio na TV hapo bongo ili wote waone na kusikia
 
Nasikia hata KLHNEWS International itarusha matangazo ya tukio hilo moja kwa moja....ni kweli?
 
Back
Top Bottom