Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

JK you can change the ownership of KCM as soon as possible without waiting for another recommendation of a probe a team...

Bubu,

Tume ya Madini imependekeza iundwe Tume ya Madini kuchunguza mgodi ulivyo milikishwa!

Tume ya Madini No.2 itashauri Mkurugenzi wa Mashitaki afanye tathmini kuona kama kuna kesi ya Kujibu!

DPP akimaliza tathmini yake tutahitaji Tume ya Katiba kuangalia, je, Mkapa anaweza kushitakiwa?

At that time, Kikwete yuko ngwe ya pili ya Awamu ya Nne, na Mkapa atakuwa "Mahutihuti" katika hospitali inayolipiwa - lakini isiyo julikana - na Serikali, au mtu yeyote isipokuwa Anna. The other one, sio Anna Muganda.

Ili kum locate Mkapa na hospitali aliko, tutahitaji Tume kuchunguza hili: Hundi za Serikali za kulipa bills za hospitali huwa zimeandikwa nani azikeshi, zimeandikiwa ziende hospitali gani, kama sio ya Prof. Maji Marefu?

Hiyo ndio script ya maonyesho ya Mchiriku wa Kikwete Administration!
 
Sijui na huyu Kikwete naye anfanya nini hapo Ikulu grrrrrrrrrrrrr!!!!!

watu wazima wanaiba Ikulu mchana kweupe halafu yanaenda yakitamba mitaani kuwa yanasingiziwa
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!

nimekututana na wafanyakazi wa mgodi wa kiwira hapa mbeya jana, kula hali ni mbaya, kabla hawajanunua huo mgodi akina mkapa ulikuwa unaweza kuzalisha nadhani kilowati moja ya umeme, ambayo iliuzwa tanesco na kuweza kulipa mshahara. leo hawawezi hata kuzalisha hata wati moja, isitoshe makampuni kama mbeya cement wamesimama kununua mkaa pale tangu imejulikana kuwa mgodi ni wa fisadi mkapa,

kinachoendelea pale ni uuzaji wa mshine zilizoachwa na wachina(wajenzi wa mgodi huu kwenye miaka ya 1980) kama scrap metals, sasa najiuliza

je ni kweli akina mkapa wanatakakuwekeza hapa, au walinunua mgodi wakachota pesa za mkopo(manake walidhaminiwa na serikali wakakopa 21bilioni benki tangu miaka mitatu iliyopita kwa ajili upanuzi wa mgodi)

je huu si ufisadi wa wazi yaani mgodi umenunuliwa kifisadi, mkopo umepatikana kifisadi, na sasa pesa zimehifadhiwa uswisi?

mh!!! sijui

ngoja na miye niende hapo mbeya carnival nikapate kilimanjaro moja manake huku ni kuchanganikiwa
[/LIST]
 
Baada Ya Ukimya Wa Siku Nyingi Mala Baada Ya Aliyekuwa Gavanor Wa Bot, Daudi Balali Kufariki, Ooh Bubu Mkapa Kapata Delivarence Sasa, Anaongea Kwani Ushaidi Umekufa,na Vimemo Hatuta Viona Tena,so Automatical Kawa Safi Kuhusu Epa,kazi Kwao Dagaa Wadogo Wadogo,sasa Netx Move Ni Kupanchi Kiwila Scando,na Ufisadi Mwingine.
 
Oh.. it its like that NN? haya bwana... mwenyewe jana nilikuwa najipongeza na tushemeji twako tuwili twa weekend baada ya kugundua kuwa Mkapa "anasingiziwa". I had to leave the computer and go to the Metro Beach just to osha macho yangu maana wakati mwingine unaweza kuamini kuwa "ndivyo tulivyo".

Nah man...you know what is it....

Haki ya nani tena hata mimi niliposoma eti "anasingiziwa" ikabidi nimpigie lil sis simu aje.....the rest you can ask my favorite person....she got pictures....and no, there is no video tape......
 
kwi kwi kwi...

No please... just say it aint true!

Mkjj aint no midget ..... You know that Ngabu unless you want a fight with Lydia! ..... I will be staying away.... flying like an eagle... no rescue missions

Hey his "midget" swag is on point but it needs just a little bit of a tune up to be where it should be....he has a lot of swag potential.....hahahahaaaa
 
Mnauliza tume ya nini?

Ktk mechi timu iliyopata goli mapema hujitahidi kuchezea chezea mpira kwa kipa wao ili kupoteza muda. JK anataka sitaki kuhusu masuala ya Mkapa, lakini ndugu zangu ule usemi wa aishiye ndani ya nyumba ya vioo.......... Akifanya yeye leo, akitoka?
 
Oh.. it its like that NN? haya bwana... mwenyewe jana nilikuwa najipongeza na tushemeji twako tuwili twa weekend baada ya kugundua kuwa Mkapa "anasingiziwa". I had to leave the computer and go to the Metro Beach just to osha macho yangu maana wakati mwingine unaweza kuamini kuwa "ndivyo tulivyo".

HIyo Metro beach hivi hakuna "beach cameras" ili tupate ushahidi kwenye hii case?
 
Ndugu yangu nadhani umechanganyikiwa
____

I see, jamaa ana hoja hapa. Labda historia ibadilike, lakini tukienda kwa kumbukumbu za nyuma uulizaji wa maswali wa media zetu hauwezi kumbana Mkapa. Sio siri waandishi wetu wengi wapo shallow na wanaandika zaidi kwa hisia kuliko evidence. Nina uhakika hapa tulipo sio waandishi wengi wenye kujua undani kuhusu Kiwira kiasi kwamba siku wakikutana na Mkapa watabaki kutikisa vichwa na kesho yake watatwambia jinsi Mkapa alivyobwata. Tusisahau pia kwamba tofauti kubwa kati ya Mkapa na viongozi wengine wa CCM ni kwamba yeye sio mswahili wa kubwabwaja kama wanavyohangaika akina Membe-hujenga hoja zake kwa ushaidi sana na ana uwezo wa kutetea yale ambayo kwa macho ya kawaida hayateteeki. Sasa lazima waandishi wetu wajiandae hasa. So far katika kusomasoma kwangu kuhusu issues za Kiwira, sijaona mwandishi aliyekwishajenga hoja ya kumbana Mkapa, basing on credible evidence, siku wakikutana uso kwa uso.

Mtu peke ambaye naamini anaweza akamuweka Mkapa pabaya ni shujaa wetu Dr Slaa kwa sababu huyu naye hajengi hoja kwa hisia bali kwa ushahidi ambao huufanyia kazi muda mrefu.

I am sorry but this is how I feel about our media. Huko tunapoenda mbele ni ulimwengu wa competence- everything will be driven by evidence. Only evidence bearers will carry the day; speculators will easily banish.

Sasa madamu Mkapa ameshaanza kuongea, tuanze kukusanya ushahidi wa kutosha kama anavyofanya Dr Slaa.
 
Baada Ya Ukimya Wa Siku Nyingi Mala Baada Ya Aliyekuwa Gavanor Wa Bot, Daudi Balali Kufariki, Ooh Bubu Mkapa Kapata Delivarence Sasa, Anaongea Kwani Ushaidi Umekufa,na Vimemo Hatuta Viona Tena,so Automatical Kawa Safi Kuhusu Epa,kazi Kwao Dagaa Wadogo Wadogo,sasa Netx Move Ni Kupanchi Kiwila Scando,na Ufisadi Mwingine.

Ngoma kwamba wanaelekea kufanya hivyo hii hapa..

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13140
 
Ni heri Ballali afufuke...Maana akibakia mfu mambo yatakuwa mabaya zaidi!
 
Mwanakiji what do you Mean,Mie nina wasiwasi..Hivi balali amekufa??naweza amini alipewa Sumu ila kama amekufa nataka kuona picha za video za msiba
NAAMINI AMEKUFA KAMA JAMAA AMEANZA KUESEMA SAS KAANZA KIJIAMINI,ILA WANA JF WA USA KAENI CHONJO, MKIONA ANNA MUGANDA ANAOLEWA HARKA NA JAMAA WA KIMO CHA BALALI WITH NEW ID,BASI MJUWE KIFO KILIKUWA CHANGA LA MACHO.
 
Baada Ya Ukimya Wa Siku Nyingi Mala Baada Ya Aliyekuwa Gavanor Wa Bot, Daudi Balali Kufariki, Ooh Bubu Mkapa Kapata Delivarence Sasa, Anaongea Kwani Ushaidi Umekufa,na Vimemo Hatuta Viona Tena,so Automatical Kawa Safi Kuhusu Epa,kazi Kwao Dagaa Wadogo Wadogo,sasa Netx Move Ni Kupanchi Kiwila Scando,na Ufisadi Mwingine.

A. Nafikiri kumaintain scores zake za kifisadi.... angeendelea na Ukimya wa kifisadi.

B. Nakama fikra zake zisingekuwa poluted kifisadi... angetakiwa aelewe kuwa ukimya wa kifisadi unalipa kuliko kubwabajika kifisadi.

C. Ingawa in both directions..He is done. It is just a matter of time.

D. Na labda nivunje ukimya na kufungua ukurasa muhimu.TUNAPOSEMA BALALI AMEKUFA TUNAMAANISHA NINI HASA? Kwa mfano ili iwe ni advantage kwa mafisadi wa EPA nk. Kifo kipi kinachuzungumziwa hapa amabcho ni Kikwazo kwa mafisadi kuwa exposed to what they are... Kifo cha Kiroho....kifikra.... Kimwili..kisiasa..etc. Yes ..Swali ni kuwa Balali kafa kifo kipi?
 
NAAMINI AMEKUFA KAMA JAMAA AMEANZA KUESEMA SAS KAANZA KIJIAMINI,ILA WANA JF WA USA KAENI CHONJO, MKIONA ANNA MUGANDA ANAOLEWA HARKA NA JAMAA WA KIMO CHA BALALI WITH NEW ID,BASI MJUWE KIFO KILIKUWA CHANGA LA MACHO.

kwi kwi kwi....

wewe unacheza na Anna Muganda.... atafanyia ndoa kule Acapulco Bay..lol
 
Hivi ni nani anayeweza kututhibitisha kuwa Balalli amefariki? Ni serikali, familia yake, au madaktari waliokuwa wakimtibu, au ubalozi wa Marekani TZ?
 
Back
Top Bottom