OK KITILA VIPI KUHUSU SICANDALI YA EPA,BADO HAKUNA TANGIBLE EVIDENCE? PIA NAONA KAMA SAED KUBENEA THE WAY ANAVYO ANDIKA NI KAMA MTU MWENYE USHAHIDI WA KUTOSHA,SASA NAONA HATA MUUNGWANA ANA JILAUMU KWA NINI ALIKWENDA PALE MOI.. So far katika kusomasoma kwangu kuhusu issues za Kiwira, sijaona mwandishi aliyekwishajenga hoja ya kumbana Mkapa, basing on credible evidence, siku wakikutana uso kwa uso.
.
WEW MWAFRIKA WA KIKE NAKUAMINIA UNAWEZA KUWA NA KADI YA RECEPTION ACAPULCO, ILA UYO BWANA AWE ANA ANAVAA CONDOM.kwi kwi kwi....
wewe unacheza na Anna Muganda.... atafanyia ndoa kule Acapulco Bay..lol
WEW MWAFRIKA WA KIKE NAKUAMINIA UNAWEZA KUWA NA KADI YA RECEPTION ACAPULCO, ILA UYO BWANA AWE ANA ANAVAA CONDOM.
NAAMINI AMEKUFA KAMA JAMAA AMEANZA KUESEMA SAS KAANZA KIJIAMINI,ILA WANA JF WA USA KAENI CHONJO, MKIONA ANNA MUGANDA ANAOLEWA HARKA NA JAMAA WA KIMO CHA BALALI WITH NEW ID,BASI MJUWE KIFO KILIKUWA CHANGA LA MACHO.
Hivi ni nani anayeweza kututhibitisha kuwa Balalli amefariki? Ni serikali, familia yake, au madaktari waliokuwa wakimtibu, au ubalozi wa Marekani TZ?
I see, jamaa ana hoja hapa. Labda historia ibadilike, lakini tukienda kwa kumbukumbu za nyuma uulizaji wa maswali wa media zetu hauwezi kumbana Mkapa. Sio siri waandishi wetu wengi wapo shallow na wanaandika zaidi kwa hisia kuliko evidence. Nina uhakika hapa tulipo sio waandishi wengi wenye kujua undani kuhusu Kiwira kiasi kwamba siku wakikutana na Mkapa watabaki kutikisa vichwa na kesho yake watatwambia jinsi Mkapa alivyobwata. Tusisahau pia kwamba tofauti kubwa kati ya Mkapa na viongozi wengine wa CCM ni kwamba yeye sio mswahili wa kubwabwaja kama wanavyohangaika akina Membe-hujenga hoja zake kwa ushaidi sana na ana uwezo wa kutetea yale ambayo kwa macho ya kawaida hayateteeki. Sasa lazima waandishi wetu wajiandae hasa. So far katika kusomasoma kwangu kuhusu issues za Kiwira, sijaona mwandishi aliyekwishajenga hoja ya kumbana Mkapa, basing on credible evidence, siku wakikutana uso kwa uso.
Mtu peke ambaye naamini anaweza akamuweka Mkapa pabaya ni shujaa wetu Dr Slaa kwa sababu huyu naye hajengi hoja kwa hisia bali kwa ushahidi ambao huufanyia kazi muda mrefu.
I am sorry but this is how I feel about our media. Huko tunapoenda mbele ni ulimwengu wa competence- everything will be driven by evidence. Only evidence bearers will carry the day; speculators will easily banish.
Sasa madamu Mkapa ameshaanza kuongea, tuanze kukusanya ushahidi wa kutosha kama anavyofanya Dr Slaa.
Tell me about it!
Right there on ....
OK KITILA VIPI KUHUSU SICANDALI YA EPA,BADO HAKUNA TANGIBLE EVIDENCE? PIA NAONA KAMA SAED KUBENEA THE WAY ANAVYO ANDIKA NI KAMA MTU MWENYE USHAHIDI WA KUTOSHA,SASA NAONA HATA MUUNGWANA ANA JILAUMU KWA NINI ALIKWENDA PALE MOI.
Hivi ni nani anayeweza kututhibitisha kuwa Balalli amefariki? Ni serikali, familia yake, au madaktari waliokuwa wakimtibu, au ubalozi wa Marekani TZ?
OF COUSE PICHA ZA HARUSI UTAZIPATA KWANI BAUNCER ANNA MUGANDA ATAKUWA ALTALE MALA HIGHTABLE SO, NA SUBILI HIZO PICHA HAYO YA MIPILA UWEZI JUA TUACHIE SISI WATU WA KALIBU NA JENEZA.hayo ya Condom siyajui lakini nakuhakikishia kuwa nitakuwa nimenunua special camera ya kuchukua picha na nitakupatia picha zote za tukio hilo kadri litakavyokuwa. Jambo moja ni kuwa, sitakuwa mpole kwenye issue ya picha kama ilivyotokea kwenye misa ya kumwombea marehemu juzi DC.
Naamini kabisa Mkapa ni mtu makini na hajachukua muda mrefu kuanza kuzungumzia tuhuma hizi kwa bure. Msikute mwenzenu baada ya tuhuma kuanza kutolewa, akakaa chini na kupitia kila kitu na baada ya kuhakikisha kuwa mbele ya mahakama atakuwa exonerated sasa ndio anaanza kujibu mapigo. Trust me, these fisadis know how to cover their as.ses very well.....they have mastered the concept of CYA!!!
kwi kwi kwi....
wewe unacheza na Anna Muganda.... atafanyia ndoa kule Acapulco Bay..lol
Hmm.. wasn't Anna Muganda who introduced Ballali to Mkapa pale DC, jioni moja ya mwaka 1996?
Yani Tanzania bado pakipumbavu sana wote wapinzani na serikali. Yani hii tume imekaa miezi yote kufatilia huu ujinga mtupu. Issue ya maana ni kuangalia kwanini hela ndogo inapatikana kwenye mining sector. Wenyewe wanaendelea na stori za magazeti which wont get resolved anytime soon (Mkapa/Yona). Mimi naona kina zitto wamekula rushwa wote wajinga wale mbona hawaongelei kweli ndege zinaondoka na mchanga wa gold na almasi. Hii tume naona ilikuwa kikao cha kahawa tuu ujingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
That's correct... kulingana na ninavyojua mimi na mengine niliyosoma hapa JF na kwingineko mtandaoni.
Ni kweli,
Unajua kuna kitu kimoja sijakielewa, tunataka Mkapa hajibu tuhuma zinazoandikwa magazetini au tunataka ajibu nini hasa? Amepata wasaa wa kuzungumza bado tunasema kwa nini ameenda kuzungumzia kijijini kwao lol...Very simple waandishi waset up an appointment wafanye naye mahojiano na wamuulize hayo maswali.
... JK ilikabidhi vitabu vitatu.
Kitabu kimoja kikiwa na taarifa ya masuala yote yahusuyo madini, kina kurasa 170; kitabu cha pili kina viambatanisho, kina kurasa 80; na kitabu cha tatu kina muhtasari wa taarifa, kina kurasa 40.
Sasa subiri ukiona tumefika ukurasa wa 170 bila issue ya mchanga kuzungumzwa, hapo una haki ya kupayuka na ...