Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Alisema kuwa yeye si tajiri na kwamba tuhuma hizo ni za uongo na hivyo kuwataka wananchi kuzipuuza kwa kuwa hazina msingi wowote wala chembe ya ukweli.

"Sina uwezo wa fedha ingawa najua mnasikia na kusoma mengi …naishi kwa pensheni yangu kutoka serikalini kutokana na kuwa kiongozi kwa miaka 10 ambayo hata Mzee Mwinyi anaishi hivyo maana sisi sote ni wastaafu. Huo (uvumi) ni uongo …uongo ….uongo ….uongo …uongo….uongo….uongo," alisema Mkapa.

http://lukwangule.blogspot.com/

Wote huwa wanaanza hivi hivi. hata zamani yeye mwenyewe alishawahi kusema wanaosema mambo ya rushwa ktk serikali yake wana wivu, sijui alikuwa anamaanisha kuwa ni rukusa kujichukulia mali za umma?

Nafikiri Labda yeye mara nyingi ana matatizo ya kujua uongo na ukweli ni kitu gani, kwa nini hata hajaenda kwenye kiini cha tuhuma zenyewe? Badala yake amebakia kulialia na uongo?

Mkapa inatakiwa hajue kuwa wanatanzania wako macho sana hawajalala kabisa. Alikuwa kimya alipoona EPA inapungua nguvu anaanza kuwa mwanasiasa tena. EPA ndo inaanza mzee.
 
Kikwete atatoka mchafu kuliko Mkapa. Nina wahakikishia kwa hili! Ni kwavile ameingia madarakani kwa rushwa na amekusanya genge la wala rushwa ambao wanamsaidia kuendesha nchi. yeye mwenyewe anauza sura tu( si unajua tena sura ya mauzo/mvuto kama Zagreb mutamu wa Acudo Impact). Kama nchi imefikia kuwa na kiongozi anayekwenda kwenye visherehe vya ajabu; we are in deep shit!!

Ni katika uongozi wa huyu Zagreb sura ya mauzo wa CCM tumeweza kuwa na Rais Rostam Aziz ambaye anaishi nje ya ikulu. Umewahi kuona wapi mambo haya. Mwalimu aliwahi kumfukuza mtu kwa kusema tu serikali yake ipo kwenye kiganja chake. Huyu Muiran Rostam anadaiwa ni rais wa Tanzania aishie nje ya ikulu.

Kwa hiyo rais wetu kwa kura 80% ni sawa na yule mwanasesere wa matambala aliyefungwa kamba kisha kuchezeshwa muziki kwa kuvuta kamba.

Tuna shida siye!!
 
Hivi akina Dk Slaa nao walitaka vyeo katika serikali ya mkapa wakanyimwa?!!!!!!?
 
MKapa, Mkapa, hata watoto wanajua uwekezaji wako. Nakumbuka nadhalia ya ukweli na uwazi enzi za huyu Mkuu wa nchi. alishadadia sana uwekezaji na ubinafsishaji. alipenda sana kudai kuwapa uwezo wawekezaji wa ndani, wakishidwa na kwa kuwa hawana mitaji basi watakuja wenye mitaji kutoka nje....comredi huyu.....walijiuzia kwa bei che makampuni ya walala hoi.....Mkumbukeni yule waziri wake, Kigoda........aaah!!!!!!yuko wapi huyu........mbona kafunikwa sana........naambiwa anamiliki mabasi kati ya handeni tanga na dar huyu... kazi ipo watanzania. kujifunga kibwebwe ndo kumeanza tuu.
 
JK you can change the ownership of KCM as soon as possible without waiting for another recommendation of a probe a team. Also, all payments that were made to fisadi Mkapa and Yona by TANESCO should be return to Treasury together with interest charges.

Bomani mining sector review team recommends: Formal probe into Kiwira

-Also advises against privatization of government mining firm

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE report of the presidential mining sector review committee has called for a swift, formal investigation into the privatization of the formerly state-owned Kiwira coal mine, which was sold under dubious circumstances in 2005 to a private company formed by ex-president Benjamin Mkapa and his cabinet minister Daniel Yona.

The committee�s long-awaited report, presented to President Jakaya Kikwete at State House on Saturday, has also recommended an urgent probe into reports that some assets of the Kiwira mine were being sold off as scrap metal by the Mkapa-Yona company, Tanpower Resources Limited.

According to THISDAY findings, the report proposes a full review of the mine’s privatization contract, to establish whether or not the investor company is fulfilling its contractual obligation, and an official investigation into reports that ex-workers of the coal mine were given a raw deal in the payment of their terminal benefits.

The committee, chaired by retired Judge Mark Bomani, also recommends an assessment of reports that the coal mining operations are polluting the nearby Kiwira River in Mbeya Region, and verification of claims by Tanpower Resources that it has invested 13bn/- in developing the coal mine since buying a majority 70 per cent stake some three years ago.

According to a source familiar with the committee�s workings: ”Members of the committee who visited the Kiwira mine were unconvinced that the investors had really spent the stated 13bn/- to develop the mine.”

It is understood that Tanpower Resources bought the 70 per cent majority stake in the Kiwira coal mine for just 700m/-, while the mine itself was built in the 1980s at a cost of over 4bn/-.

The coal-fired power project at the mine signed a 20-year, $271.8m (approx. 340bn/-) deal with the state-run Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) in 2006 for the generation of 200 megawatts of electricity, but has so far been failing to meet production deadlines.

Investigations by THISDAY have long established that way back in December 2004, Mkapa and Yona � while still serving as president and minister for energy and minerals, respectively � jointly founded Tanpower Resources Limited, with various close relatives including wives, children and in-laws in tandem.

At the time of its registration, the first listed directors of Tanpower Resources were the then first lady Mrs Anna Mkapa; Yona himself; Nicholas Mkapa (the then president and first lady�s son); Joseph Mbuna (Nicholas Mkapa�s father-in-law); and one Evans Mapundi.

Among other things, the company was licensed to �deal with coal mining in order to generate electricity for consumption and sale; to generate power generators, transmitters and general distributors; and to provide power and general projects management, project appraisers and consultants.�

It has further been established that Mkapa and Yona - through their positions in government - were also directly involved in the privatization of the then state-owned Kiwira coal mine. And in mid-2005 - just a few months after its incorporation - Tanpower Resources entered into a joint venture with the government to acquire 70 per cent of the Kiwira coal mine shares. The private company later reportedly increased its shareholding in the coal mine to 85 per cent, leaving the government with just 15 per cent.

Apart from commenting on the controversial privatization of the Kiwira mine, the larger part of the report dwells on the country’s gold mining sector.

It advises the government to shelve plans for the privatization of the State Mining Corporation (STAMICO) and the sale of its remaining shares in the Williamson Diamond Mine in Shinyanga Region, as part of a major policy u-turn on state involvement in large-scale mining activities in the country.

Before its sale to Tanpower Resources, the Kiwira coal mine was owned 100 per cent by STAMICO.

The final report of the mining sector review committee has also called for a radical shift in policy towards direct government participation in large-scale mining operations.

It is suggested that the government and Tanzanian citizens should play a more prominent role in the country’s mining sector and reduce the dominance of foreign companies in the sector.

”The committee has recommended that the government should remove STAMICO from the list of parastatals earmarked for privatization,” said a well-placed source, adding: ”Instead, the report recommends that the parastatal be strengthened and turned into a government executive agency responsible for resource development, through exploration, development of mines and engagement in other businesses in the mining sector on behalf of the government.”

STAMICO, an ailing parastatal under the Ministry of Energy and Minerals, is currently responsible for mineral exploration and production activities.

Apart from Judge Bomani, other members of the committee included Pricewaterhouse Coopers tax administration expert David Tarimo, former industries and trade minister Iddi Simba, Kigoma North Member of Parliament Zitto Kabwe (CHADEMA), and Bariadi East legislator John Cheyo (UDP).

Also in the team were CCM legislators Dr Harrison Mwakyembe (Kyela) and Ezekiel Maige (Msalala), as well as Ms Maria Kejo from the Ministry of Justice and Constitutional Affairs, Edward Kihundwa from the Ministry of Lands, Housing and Human Settlement, Mugisha Kamugisha from the Ministry of Finance and Economic Affairs, Ms Salome Makange from the Ministry of Energy and Minerals, and Peter Machunde from the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
 
wewe ukiwa kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yako unashauri nini kifanyike?
ila pia ni kwli unachokiongea mheshimiwa wetu asipokuwa makini atamaliza kipindi chake cha uongozi akiwa mchafu kwa maana kwamba watu wake wa karibu na wanaomzunguka ndo watakaomchafua aonekane hafai, "mimi nadhani afuate tabia ya miti pindi inapokosa maji ya kutosha basi hupukutisha majani yake ili mti uweze kuendelea kuishi vinginevyo ukiendelea kuyang'ang'ania majani yake utakauka na kufa kabisa"asitake kufa kijerumani na tai shingoni, vua tai (watose mafisadi) rudi kwa wapiga kura wako na ndo hao watakaokupa kura 2010
 
Haya, Nafikiri mambo yanaanza kuiva. Ndiyo maana Nkapa ameanza kuonga. I hope JK hataikalia hiyo ripoti.
 
Tume ya nini? Suala la Kiwira linaweza kuwekwa wazi bila ya kuwa na tume. Kinachihitajika ni hiki:
1. Kwenda Brela/Wizara ya Nishati na Madini kuangalia nyaraka za umiliki wa mgodi huu.
2. Kama ni kweli Mkapa ndio mmiliki, Je, alifanya hivyo akiwa madarakani? Muda aliokaa madarakani tunaujua.
3. Je taratibu za manunuzi zilifuatwa?

Sasa maswali haya matatu yanahitaji tume kweli au ni njia nyingine za ubadhirifu wa fedha za umma?
 
JK hathubutu kumgusa Mkapa kamwe, anaogopa "kutukana wakunga na uzazi ungalipo". Hayo anayosemwa nayo Mkapa ndiyo "yaliyomzalishia" JK urais alio nao, na bado anautaka!
 
Kikwete atatoka mchafu kuliko Mkapa. Nina wahakikishia kwa hili! Ni kwavile ameingia madarakani kwa rushwa na amekusanya genge la wala rushwa ambao wanamsaidia kuendesha nchi. yeye mwenyewe anauza sura tu( si unajua tena sura ya mauzo/mvuto kama Zagreb mutamu wa Acudo Impact). Kama nchi imefikia kuwa na kiongozi anayekwenda kwenye visherehe vya ajabu; we are in deep shit!!

Ni katika uongozi wa huyu Zagreb sura ya mauzo wa CCM tumeweza kuwa na Rais Rostam Aziz ambaye anaishi nje ya ikulu. Umewahi kuona wapi mambo haya. Mwalimu aliwahi kumfukuza mtu kwa kusema tu serikali yake ipo kwenye kiganja chake. Huyu Muiran Rostam anadaiwa ni rais wa Tanzania aishie nje ya ikulu.

Kwa hiyo rais wetu kwa kura 80% ni sawa na yule mwanasesere wa matambala aliyefungwa kamba kisha kuchezeshwa muziki kwa kuvuta kamba.

Tuna shida siye!!

Ndugu yangu hapa anaongelewa Mkapa, tusichanganye Masomo. Ukitaka ya Kikwete kuna thread nyingi tu zina muongelea , hata Nyerere na Mzeee Rukhsa.
 
Mkapa ni jeuri kitambo, nakumbuka mdingi wangu alinihadithia enzi hizo ndo bado yuko daily news, akapishana naye kwenye lift, mdingi kanyoosha mkono kamsalimu kinyumbani kama vile hamuoni huyooo akayoyoma, yaani noma kweli i cant imagine mtu unajisikiaje ukifanyiwa hivyo halafu leo anaona watu wa nyumbani bora eh? yeye si mdhungu aende akajitetee kwa malkia.
 
Na kuna tetesi kuwa hivi pia ni sehemu (ana shares kubwa) ya Mheshimiwa Mkapa... Nasisitiza kuwa ni tetesi:

  1. Barrick Gold Mines
  2. Kiwanda cha sukari Kilombero
Sasa mheshimiwa bado anasingiziwa? Kuna wenye data za hizi vitu?
 
Sasa Nkapa anadai eti anaishi kwa Pensheni kama Mzee Rukhsa, Je kwanini ajifananishe nae? au amtumie kama Ngao? mbona kuna wazee wengi tu wa kima cha chini wanaishi kwa kutumia hizo pensheni japo kiduchu kuliko yake?
Pili wanao msingizia kwa kutowapa madaraka ni akina nani?
Warioba? Butiku? Bomani? Malecela ? Nk
Tatu kwanini asiseme Mali zake alizo nazo baada ya kustaafu kama alivyo tueleza alivyo ingia? na Walio karibu nae?
Nne yeye kama Msafi kwanini asiruhusu uchunguzi ufanyike ili akina Doubting Thomas wajue ukweli wa mambo?
Tano je ni halali kwa kanisa katoliki kupokea msaada kwa Mtu mwenye tuhuma kama hizo?
Maana kuna Dini Moja ina kataza kupokea kitu kisicho halali? Je kwa Katoliki ni tofauti?
Nakumbuka siku moja Mwl alitoa mfano wa Mke wa Mfalme ,kwamba hatakiwi hata kutuhumiwa......, na kama akituhumiwa ni sawa kama kafanya kosa
 
Aaah mkuu Melo mbona hicho kiwanda cha sukari Kilombero inajulikana toka siku nyingi mkuu vilevile hicho vina ushirika wa karibu na kile cha Kagera sugar watonyaji wandai vipo chini ya kampuni ya Super Star mwenye matruck malefu yule ya Coke Cola na tank za mafuta kadhaa ndio mweupe anayemiliki kwa mgongo wa Mkapa na Anna.
 
Mimi naishi kwa pensheni kama Mzee Mwinyi - mbona mwenzako hajashutumiwa kwa ufisadi au ndio yeye unataka tuamini anapendwa kuliko wewe?

Na vijisenti vilioko Uswisi jee unasingiziwa?
 
Mimi naishi kwa pensheni kama Mzee Mwinyi - mbona mwenzako hajashutumiwa kwa ufisadi au ndio yeye unataka tuamini anapendwa kuliko wewe?

Na vijisenti vilioko Uswisi jee unasingiziwa?

Na hata kama Mzee Ruksa alishutumiwa au alikuwa na mapungufu yake ,lakini sio kama ya huyu Mtoto, tena tulifikiri kwa mwenzetu ka-elimika zaidi kuliko enzi za mzee rukhsa, amekuwa more expose maana alikuwa Balozi wetu Canada, na kushikilia uwaziri wa Mambo ya Njeee etc , kumbe ni mbakaji mkubwa kabisa, kuliko wale vijana wa manzese, maana wale wanafanya kwa sababu ya frustration na kuvuta bangi.
 
Aaah mkuu Melo mbona hicho kiwanda cha sukari Kilombero inajulikana toka siku nyingi mkuu vilevile hicho vina ushirika wa karibu na kile cha Kagera sugar watonyaji wandai vipo chini ya kampuni ya Super Star mwenye matruck malefu yule ya Coke Cola na tank za mafuta kadhaa ndio mweupe anayemiliki kwa mgongo wa Mkapa na Anna.
Ohoo, I got you mkuu. Thanks for the info
 
NAJIULIZA aliyetoa taarifa zote za ANBEM Limited, Tanpower Resources Limited na Kiwira Coal Mine Limited ni Andrew Mkapa, Naibu Msajili wa BRELA, sasa najiuliza je, A. Mkapa anaweza kuwa anamsingizia B.W.MKAPA?
 
Na kuna tetesi kuwa hivi pia ni sehemu (ana shares kubwa) ya Mheshimiwa Mkapa... Nasisitiza kuwa ni tetesi:

  1. Barrick Gold Mines
  2. Kiwanda cha sukari Kilombero
Sasa mheshimiwa bado anasingiziwa? Kuna wenye data za hizi vitu?

Hizo tetesi pia zina sikika na kule kwenye kiwanda cha sukari turiani. ila yeye na sumaye wana mashamba makubwa sana ya miwa tuna yako barabarani kabisa kama unaelekea turiani (hii ya mashamba si tetesi)
 
Back
Top Bottom