Single D
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 457
- 15
its not about kuchangia milioni 70.
kama mkapa na yona walijiuzia mgodi kwa pesa hizo na wao wanalipwa kila siku milioni kadhaa, basi wao ndio wanapaswa kuturudishia sisi wananchi pesa na riba!
haiwezikani kiongozi avunje maadili ya uongozi 100 ya 100 ikisha tuambiwe tuchange tumrudishie!
Hata mimi sioni sababu ya kuanza kutoboa mifuko yetu wakati tuliowapa dhamana ya kulinda uchumi walitupora,kwa hiyo kutekeleza siasa za Azimio la Arusha,"jama mabepari wanalia sana,tumenyonywa vya kutosha"