Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Ni kweli Mwalimu hakuwa na uwezo wa kimungu. Na makosa aliyoyafanya ni pamoja na:
1) Kushindwa kuona ni kwa namna gani CUF ingetawala Zanzibar na CCM ikatawala muungano (kumbuka alivyolazimisha kura za Maalimu ziharibiwe ili kura halali za Salmin zizidi - 1995)
2) Kushindwa kuwakatalia akina Kombo na kukubali kubadirishwa kwa utaratibu uliokua umezoeleka wa waziri kiongozi kuchukua nafasi ya rais wa Zanzibar pale nafasi ya rais inapokuwa wazi.(Kumbuka Maalim alivyopokonywa nafasi hiyo akiwa waziri kiongozi) Na hii ndiyo iliyochochea wapemba kujiona hawatakiwi kushika uongozi wa juu Zanzibar. Nakumbuka mwalimu alikwenda Pemba akahutubia masaa mengi tu, lakini wapemba walimwambia "Mwalimu tumekubaliana na wewe katika mabo mengi sana, lakini katika hili tunaomba tukueleze kuwa HAPANA) Mwalimu alikiri wazi kuambiwa hivyo.

Kwa hiyo Mwalimu hakuwa na uwezo wa Kimungu na ndiyo maana alikosea na alifikia mahali akaitwa mzee HAAMBILIKI!. Na katika hili la Mkapa, si ajabu!
 
RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa amekanusha matumizi mabaya ya ofisi yake na kuanzisha biashara akiwa madarakani.

Akihutubia wananchi katika Kijiji alichozaliwa cha Lupaso, Wilaya ya Masasi, Mkapa alisema wanaomtuhumu wanamchukia kwa kutowapendelea wakati wa utawala wake.

Katika hotuba yake hiyo aliyoitoa wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya tiba kwa Kituo cha Afya kinachomilikiwa na Kanisa la Katoliki kijijini hapo, alisema; "Msisikilize uongo huo kwa sababu hauna msingi wowote isipokuwa ni chuki …hasa inayotokana na watu ambao walifikiri nitawapendelea … sikuwapendelea," alisema Mkapa huku akishangiliwa na wanakijiji wenzake waliohudhuria makabidhiano hayo.

Alisema kuwa yeye si tajiri na kwamba tuhuma hizo ni za uongo na hivyo kuwataka wananchi kuzipuuza kwa kuwa hazina msingi wowote wala chembe ya ukweli.

"Sina uwezo wa fedha ingawa najua mnasikia na kusoma mengi …naishi kwa pensheni yangu kutoka serikalini kutokana na kuwa kiongozi kwa miaka 10 ambayo hata Mzee Mwinyi anaishi hivyo maana sisi sote ni wastaafu. Huo (uvumi) ni uongo …uongo ….uongo ….uongo …uongo….uongo….uongo," alisema Mkapa.

Katika hotuba yake hiyo Mkapa hakujibu tuhuma dhidi yake moja kwa moja Kwa kipindi kirefu sasa Mkapa amekuwa akituhumiwa kwa kuendesha biashara akiwa Ikulu na hasa kuhusu umiliki wa Kampuni ya Tanpower inayomiliki hisa nyingi katika Mgodi wa Makaa ya Mawe ya Kiwira mkoani Mbeya. Imekuwa ikidaiwa kwamba Mkapa alishirikiana na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona katika kununua hisa za Kiwira kwa matarajio kwamba umeme ungezalishwa kutoka hapo baada ya muda mfupi ujao na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) lingelazimika kuwalipa takribani Sh milioni 140 kwa siku, hata bila umeme kuzalishwa.

Taarifa hii kwa hisani ya http://lukwangule.blogspot.com/
 
Shameless old man, na kiwira je, anasingiziwa, kampuni ya anaben nayo, huyu jamaa mpuuzi kweli. Hakuruhusu maswali kutoka kwa waandishi wa habari, au wananchi?
 
Kama kaanza kuongea, ni mwanzo mzuri! Kilichohitajika ni wananchi wa Lupaso kumuuliza maswali magumu.
 
Kaenda huko kijijini kujisafisha kama wenzake akina Lowasa na Chenge. Hawa jamaa wanaogopa kujisafisha hapa Dar sababu wanaogopa kuumbuliwa kwa maswali. Huko kijijini wakipewa pilau kidogo na mwishowe wanasahau. Pole sana wenzetu wa vijijini mwabuluzwa kama gari bovu
 
Kwahiyo Kanisa bado linapokea misaada kutoka kwa Mkapa pamoja na scandals zote alizonazo? Mafundisho ya Dini niliyopewa primary school yaliwahi toa maelezo yanayokingana na matendo yanayofanywa na kanisa leo hii. Vilevile, biblia inakemea waziwazi uungaji mkono wa mambo ya dizaini hii. Ama kweli njaa mbaya.... Duh!!!!!

Kanisa Katoliki lilitakiwa kuonyesha mfano mzuri kwa kukataa msaada kutoka kwa muumini fisadi anayefahamika kuwaongezea umaskini Wadanganyika kwa kiasi kikubwa; na muumini huyo kwa kiburi chake mpaka leo hii hajatoa maelezo in details kupinga DHAMBI alizowatendea Wadanganyika. Nitawaheshimu viongozi wa kanisa waliopokea msaada huu wakija tangaza siku za karibuni kwamba wametafakari na kuona kwamba walipokea kimakosa msaada huo ambao unaenda kinyume na mafundisho ya Biblia.
 
Kashifa tayari nafikiri kuna haja ya kuwauliza viongozi wa dini kuhusu hili. Ina maana wao wanapokewa misaada yenye dhana ya ufisadi?

Si wasubiri Mkapa atakaswe, maana amechafuka.
 
B00005K32I.01._SCLZZZZZZZ_.jpg

Yeah, you know its been a long time since y'all heard my voice
Maybe what, 2, 3, years or somethin

The sound was broken, too many years being political
Its kinda hard to do when everything your seeing is critical
Is all my fault what they said in the news
But its funny how the public seems to get it confused
They act like they aint got nothin better to do
All they want is a statement, the hattin is blatin
But we never paid attention to those who hate us
Til my face was on the cover of all the local papers
But still un-phased, I kept my cool
Plottin, carefully, every step I choose
Everybody wanna know my side of the story
Well here it is, the whole truth, plain and simple

This'll finally explain all the pain I've been through
And in no way shape or form of my provoken violence
Please try to understand my "Broken Silence"
 
Kuhani Mkuu, You are right... Psychologists wanapendekeza kutoa donge likuwakalo moyoni kwa kuliongelea, hata kama ni kiduchu, kama njia mojawapo ya ku-heal yourself.

Bado hajatujibu lakini... He should be taken to task!!!
 
Yaani Mkapa katika hotuba anayosma kuwa anasingiziwa hapohapo anaongeza uongo mwingine, anataka kumdanganya nani kuwa anaishi kwa kutegemea pension fund!!!

This is starting to get outrageous!
 
Yaani Mkapa katika hotuba anayosma kuwa anasingiziwa hapohapo anaongeza uongo mwingine, anataka kumdanganya nani kuwa anaishi kwa kutegemea pension fund!!!

This is starting to get outrageous!

Umeyajua haya leo? Huko ccm mnafanya nini ili kukomesha hii unayoita outrageous? Badala ya kuhangaika na fisadi kama Mkapa wewe umekuwa unahangaika kupambana na Mbowe na Chadema. Ama kweli fisadi na unafiki ni kama mapacha vile.
 
kama unadhani kuwa Mbowe na CHADEMA wanapaswa kupewa free pass basi umekosea. kila ninapoona jambo lenye kasoro huwa nalikemea, liwe ni toka kwa Mbowe, Mkapa, CHADEMA au chama kingine chochote.

Tatizo lako umeomua kuchagua vitu vya kufuatilia, na una uwezo mdogo wa kuchambua mambo.

Ndio maana nimeamua kuwa sitaendelea kubishana na wewe.
 
kasubili Daudi amekufa ndio anaanza kuonekana sio???!!!!?? Najua yeye na genge lake wamefurahi kufariki kwa Daudi wakijua ushahidi umepotea,,,kumbukeni sauti ya watu ina muwakilisha mungu so atawaumbua enyi madalali
 
kama unadhani kuwa Mbowe na CHADEMA wanapaswa kupewa free pass basi umekosea. kila ninapoona jambo lenye kasoro huwa nalikemea, liwe ni toka kwa Mbowe, Mkapa, CHADEMA au chama kingine chochote.

Tatizo lako umeomua kuchagua vitu vya kufuatilia, na una uwezo mdogo wa kuchambua mambo.

Ndio maana nimeamua kuwa sitaendelea kubishana na wewe.

Nani amekuambia hili la kutaka free pass. Hapa ni wewe na ufisadi wako ndio mtaabishwa kila mara mkitokeza vichwa kama wenzenu wanavyazomewa kule bongo.
 
Umeyajua haya leo? Huko ccm mnafanya nini ili kukomesha hii unayoita outrageous? Badala ya kuhangaika na fisadi kama Mkapa wewe umekuwa unahangaika kupambana na Mbowe na Chadema. Ama kweli fisadi na unafiki ni kama mapacha vile.

bado tu unatapata hadi huku ?? haki ya nani jokeri mwaka huu atawanyoosha tu !
 
Nani amekuambia hili la kutaka free pass. Hapa ni wewe na ufisadi wako ndio mtaabishwa kila mara mkitokeza vichwa kama wenzenu wanavyazomewa kule bongo.

booty camp pia wanajua kuzomea ? wanazomea na nini ?
 
Back
Top Bottom