Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa ...the man could be a good case study for a student of psychiatry.From an "Ujamaa" (a student of Mwalimu ) to a BIG MFISADI.The saying that" behind a successful man is a woman" In Mkapas case - behind the Corrupt Man was a very corrupt Woman.
I sometimes wonder what his close buddies from the days of Tangayika Standard would have to say about him today
 
Nafikiri jibu umelitoa mwenyewe kwamba dua la kuku halimpati mwewe CCM ndiyo inaimarika kinachofanyika ni kuweka mambo wazi maana unaweza ukawa na mtoto mwizi ndani ya nyumba nafikiri kwa mzazi yeyote mwenye busara huanza kwa kumkanya asipojirekebisha unachukua hatua nyingie zaidi ndicho kinachafanyika ndani ya CCM
 
Fisadi Mkapa alijivisha ngozi ya kondoo wakati wote alipokuwa katika serikali ya Mwalimu hivyo Mwalimu alikuwa ana kila sababu ya kumwamini. Kama kungekuwa na chochote katika utendaji wa fisadi Mkapa basi Mwalimu asingesita kumtolea nje. Wangapi aliwaogundua kwamba wana uroho wa utajiri aliowasemea hadharani? Hivyo hapa tumsilaumu Mwalimu, kwa sababu hakuwa na uwezo wa Mungu wa kumtambua fisadi aliyejivisha ngozi ya uungwana, uchapa kazi, asiye mroho wa utajiri n.k.. Wa kulaumiwa ni huyu huyu dhalimu fisadi Mkapa.
HUYO MKAPA ANAJULIKANA KWA KUJIKOMBA WAKATI HUO ALIJIKOMBA KWA AKINA BUTIKU WAKAMPIGIA CHAPUO TANGU SHULE HUYO ALIKUWA MTU WA DRAMA SANA HIYO NI KAZI YAKE SIKU ZA MWISHO NA MWALIMU WALIKUWA HAWA IVI KWANI DILI YA NBC.
 
Mmmmh hatuwezi kusema haya ni uongo au ni kweli kwa kuwa yeye mwenyewe BMW amekuwa kimya mimi nafikiri kwa kwa kuwa haya mambo yamekuwa yakiongelewa sana ni vema akajitokeza na kuyafafanua ili kutuweka wananchi wenzake wazi maana hatukumtuma ikulu kwenda kujilimbikizia mali hata huyo fix LW mbona alijitokeza na kutufafanulia BMW jitokeze uyaweke wazi mambo haya ather wise watu asume ni ya kweli
 
HAKUNA KINACHO MSUMBUA MKAPA NI MTU ROHO MBAYA KWANI MAKUZI YAKE YALIKUWA YA SHIDA SANA SO KULA KWA MIKONO MIWILI AMEZOEA S DONT THIK ATAKUJA FUNUA MDOMO WAKE ....
 
Ningependa kutoa wito kwa watanzania wote popote pale walipo wakiwaona mafisadi ni kuwazomea mtindo mmoja na ikibidi kuandamana hadi majumbani kwa hayo mafisadi tufanye hivyo, na tuone kama polisi itakamata watanzania wote milioni 35
 
duh !naona idadi ya members wa butty camp inaongezeka ! ebu niwaangalie wakijiregister !
 
Mkapa is one good example of how Nyerere was sometimes wrong in major decission making!

Sijui ni hadi lini watanzania tutaendelea kuishi kwenye kivuli cha uzushi na kuzusha mambo,mimi nilikuwepo pale Chimwaga wakati mwalimu Kwa ustadi akijenga hoja ya kwa nini kura zirudiwe. Alisema kuwa kanuni za uchaguzi za CCM zinasema mtua anayetaka kugombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho ni lazima apate zaidi ya Asilimia 50% ya kura zote zilizopigwa.

kwa bahati mbaya aliyekuwa anaongoza wakati huo,Jakaya kikwete alikuwa hana kura hizo. na kura ziliporudiwa wafuasi wa Cleopa Msuya walihamia kwa Mkapa na kumpa ushindi alioupata. Sasa hapa Mwalimu alilazimisha nini?

Pili mwalimu alikuwa hana tabia ya kutumia ubabe kama Mkapa au Usanii kama Kikwete katika kujadili mambo makubwa yanayohusu nchi,lakini pia alikuwa hana simile kwa wale waliokuwa wanataka kucheza na madaraka yake aliyokuwa nayo kikatiba.

Mfano wa mapema kabisa ni pale wakati TANU walipokuwa wako kwenye kikao wakijadili kama chama hicho kiingie kwenye kura TATU au wasiingie. Mwalimu kwa kutumia ushawishi wake alikishawishi kikao hicho kuingia kwenye kura tatu.

Wajumbe wengine wakiongozwa na Kina Mtemvu walisema nguvu ya mwalimu katika kikoa hicho haitokani na ushawishi wa hoja bali inatokana na hofu ya baadhi ya wajumbe kuogopa kubishana na mwenyekiti wao

kiungwana kabisa mwalimu akakubali kujiondoa kwenye Uenyekiti wa kikao na kumwachia Mwalimu Kihere wa Tanga na yeye kuwa mjumbe wa kawaida. hata hivyo mwalimu aliwashinda kina Mtemvu kwa hoja na hatimaye TANU akaingia kwenye uchaguzi na kushinda na hatimaye kupewa serikali ya Madaraka ya watanganyika.
 
Last edited:
Kubenea Huyu Hizo Story Zenye Maslahi Makubwa Kwa Nchi Hii Anazipata Toka Ikulu, Mtu Asibishe. Hakuna Mwandishi Yeyote Hata Kama Ni Investigatve Kiasi Gani, Anaweza Kuzipata. Zake Ni First Hand Information. Wana Jf Naamini Kikwete Anafanya Makusudi Ili Tuelewe Mambo Yaliyokuwa Nyuma Ya Pazia Bila Ya Yeye Kubebeshwa Lawama. Shida Ni Kwamba Anaongoza Chama Kilichosheheni Wahini Na Wezi. Si Ajitoe?
 
Sijui ni hadi lini watanzania tutaendelea kuishi kwenye kivuli cha uzushi na kuzusha mambo,mimi nilikuwepo pale Chimwaga wakati mwalimu Kwa ustadi akijenga hoja ya kwa nini kura zirudiwe. Alisema kuwa kanuni za uchaguzi za CCM zinasema mtua anayetaka kugombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho ni lazima apate zaidi ya Asilimia 50% ya kura zote zilizopigwa.

kwa bahati mbaya aliyekuwa anaongoza wakati huo,Jakaya kikwete alikuwa hana kura hizo. na kura ziliporudiwa wafuasi wa Cleopa Msuya walihamia kwa Mkapa na kumpa ushindi alioupata. Sasa hapa Mwalimu alilazimisha nini?

Pili mwalimu alikuwa hana tabia ya kutumia ubabe kama Mkapa au Usanii kama Kikwete katika kujadili mambo makubwa yanayohusu nchi,lakini pia alikuwa hana simile kwa wale waliokuwa wanataka kucheza na madaraka yake aliyokuwa nayo kikatiba.

Mfano wa mapema kabisa ni pale wakati TANU walipokuwa wako kwenye kikao wakijadili kama chama hicho kiingie kwenye kura TATU au wasiingie. Mwalimu kwa kutumia ushawishi wake alikishawishi kikao hicho kuingia kwenye kura tatu.

Wajumbe wengine wakiongozwa na Kina Mtemvu walisema nguvu ya mwalimu katika kikoa hicho haitokani na ushawishi wa hoja bali inatokana na hofu ya baadhi ya wajumbe kuogopa kubishana na mwenyekiti wao

kiungwana kabisa mwalimu akakubali kujiondoa kwenye Uenyekiti wa kikao na kumwachia Mwalimu Kihere wa Tanga na yeye kuwa mjumbe wa kawaida. hata hivyo mwalimu aliwashinda kina Mtemvu kwa hoja na hatimaye TANU akaingia kwenye uchaguzi na kushinda na hatimaye kupewa serikali ya Madaraka ya watanganyika.

Kigarama thanks for the clarification and the history lesson.Lakini hilo la mwalimu kujiondoa katika uenyekiti nalo ni usanii tu kwani kamawatu walijua atarudi basi lina discredit the whole thing.

Kifupi watu walimwogopa Mwalimu the person, not the Chairman/ President.Ndiyo maana hata baada ya kustaafu vyeo vyote akawa anachachafya watu.
 
SO SAD, kama kiongozi mkuu wa nchi anakuwa mwizi, je wa chini watakuwaje, utakuwa na nguvu gani kuwasema? Najiona mjinga sana nilipokuwa natazama TV na kumsifu Mkapa kuwa kiongozi mzuri, kumbe naye mwizi tu, kama kweli hizo hela ameweka Uswisi wanakoweka wezi wengine basi na yeye ni mmoja wao.

Man, wakati mwingine naona afadhali nikakae kijijini niwe na maisha ya kutolipa kodi ya aina yoyote ili nisiwaneemeshe hawa mafisadi.
 
Watu wa aina hii ya Mkapa,ningepewa nafasi nitowe adhabu ni kuwa filisi mpaka shilingi ya mwisho halafu unamtupa/unawatupa jela.
Ili iwe fundisho kwa wengine,hukumu kama hii ninahakikisha inakuwa sheria kwaajili ya kuwa adhibu wengine kwa siku za baadaye;na siyo kuanza kuunda kujadili chini kwa chini bila kupata ufumbuzi.
 
Mkapa kama Mkapa sidhani kama ana problem,issue ni yule mkewe Mama Ana Mkapa kale kamama ndo kamemwalibu Mkapa.Ebu fuatilia alikopita kwa Mramba.............
Thats why ata Mwalimu alimwamini tatizo ni kuwa akaja kuaribika baadae.
Ila ukimya wake ktk masingi yote aya unanitia hofu Ben
 
Mimi nafikiri kesi hii ya Mkapa inaprove Nyerere alikuwa anatumia advantage ya Watanganyika wa kipindi kile kumuogopa na kutokuwa exposed na issues muhimu kupitisha matakwa yake ambayo kwa kweli undani wake umejificha sana,hatujui alikuwa anakosea ama ni makusudi.
Nimekutana na Waganda kadhaa ,majority yao kama siyo wote wanamlaumu JKN kumng'oa Idd Amin bila kisa kinachoeleweka,kumlea Museven huku akiandaa mipango ya kumpa ile nchi,Rais ambaye ni kero kwao.
Kumweka huyu FISADI madarakani,katika hili vyovyote mtu atakavyoremba maelezo ukweli wabaki palepale kuwa alimweka madarakani,nina hofu sana kuamini kuwa kama angepita mwingine CCM Mwalimu angempigia kampeni namna ile, sidhani.Na ukisema kuwa alikuwa hamjui Mkapa kabla ,mbona alimwacha anawaingiza akina Mungai kwenye cabinet,miongoni mwa waliofanya ufisadi kule SUKITA wakati Mwalimu anashuhudia.
Hoja ya kusema Mwalimu alichukizwa na kuuzwa kwa NBC,mbona hakusema hadharani kuonesha chuki zake kama alivyokuwa akimsema ALI HASSAN MWINYI????
Mimi binafsi naona Mwalimu pamoja na mazuri aliyofanya pia mengi alikuwa ""akituuzia karanga"",mimi naamini in his presence hawa akina Mwakyembe na wengine tunaowaita mashujaa leo hii tusingewasikia,maana tungelewa na lecture za Mwalimu hadi kwenye kope.
Kingine kibaya cha BWM ni kauli zake za jeuri na kejeli kwa walipa kodi ambao takribani 70% ni maskini,kauli yake ya mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe angerekebisha na kusema mtaji wangu ni nguvu za maskini ili iendane na kile alichotufanyia sisi maskini
Yaani nikikumbuka hata ada ya primary school tshs 20/= nilkuwa nashindwa kulipa halafu jamaa wanaangamiza nchi........Griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Habari hii ingekuwa imetolewa na The Guardian la UK ungeona kesho yake Wabuunge wanavyolalama kuhusu Mkapa. Lakini sababu ya habari ni ya Kubena then utasia ni cheap story for the sake of making news.

What CCM are missing ni kwamba JK ndio anavujisha hizi habari kwenye public. Yeye na wenzie ndio wanampa hint Kubena. So, CCM i worn you that there is a rat in your team. It's about the time to find the rat or things will turn to be chaos.

Lazima hilo panya litakuwa ni panya buku..
 
yaani kumbe NA PESA WANATUMIA BENKI HIIII HIII YETU JAMANI HAWAONI HATA AIBU...CHENGE VIJISENT VIMETOLEWA NBC....KWENDA JERSEY,,FISDI BEN NAE ...DUH KAZI KWELIKWELI...JAMANI KUNA UMUHIMU WA KUZICHUNGUZA HIZI BANK NA MAMENEJA WAO WANA DEATIL NZURI SANA AMBAZO INAWEZEKANA WALA HATUNA HAJA YA BALALI HATA KAAMA ANGEKUWA HAI....A/C NA MENGINEYO YATATUAMBIA WAT NEXTY.....
 
Mkapa ni aibu na laana kwa taifa. Taifa litafaidika kama Mkapa akimfuata rafiki yake balali maana ukatoliki anaojifanya anao hatuuoni na atachukuliwa hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom