booty camp pia wanajua kuzomea ? wanazomea na nini ?
hoja zimeisha? nakushauri urudi shule angalau upate cha kutetea na namna ya kutetea..... otherwise utaimba kama kasuku.... booty camp hadi uchoke mwenyewe. Tafuta jina lingine. Au unataka nikuhesabie... moja, mbili...