KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 93
mungu hapendi watetezi wa mafisadi mama, jua hilo kama ulikuwa hulijui
kada ni kidume sawa binti ! butty boy naona box zimekuelemea !
mungu hapendi watetezi wa mafisadi mama, jua hilo kama ulikuwa hulijui
kada ni kidume sawa binti ! butty boy naona box zimekuelemea !
Naona umeshaacha kutetea ufisadi. Mwanzo mzuri huu mama, endelea tu
butty boy booty man = butty camp !
Inaonekana kumfaa Mkapa hii ambaye yeye na mafisadi wenzake watazomewa kila mahali hata hapa JF.
Narudi Kwenye Hoja Ya Lusinde..........jamani Mafisadi Wote Wavuliwe Uanachama La Sivyo.....chama Kitajapasuka...........
What CCM are missing ni kwamba JK ndio anavujisha hizi habari kwenye public. Yeye na wenzie ndio wanampa hint Kubena. So, CCM i worn you that there is a rat in your team. It's about the time to find the rat or things will turn to be chaos.
Mkapa is one good example of how Nyerere was sometimes wrong in major decission making!