Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.
Unyumbu ni shida! Kwa hivo wewe ni taahira maana ulimdekia barabara!
 
Hayo magazeti yanakuza mambo bila sababu. Ukawa ya nini wakati anao mwaliko kutoka kwa Ayat.olah kujiunga na kupewa nafasi ya kugombea cheo anachokipenda kuliko ampendavyo mkewe?
Wasitusumbue na maugomvi yao wakati sie tunamachungu na ripoti ya CAG
Pole yako... Mnakesha humu kumtukana Magufuli.. Kumbe hamna kitu vichwani mwenu!

Mwanaume kukosa msimamo ni kipimo tosha kwamba hata familia yako inashida maana huwezi kuicontrol.
 
Heshima yako mkuu kama tulikuwa na wazo moja ccm wanafikiri Ukawa tuna nafasi ya kupokea watu wachafu labda akitoka ccm akaungane na kile chama cha wasaliti wenzake Act alishakaribishwa mapema.
Hahahaha.... Mlichezeshwa kwata na mbowe mkabaki mnangaa macho!
 
Dah! Nikikumbuka matusi humu wengine tulivyogoma kugeuzwa kunguru hadi unakosa usingizi kwa kutoamini kinachotokea. Kuna wana JF nilikuwa nawaheshimu sana ila walivyoanza kujustify matusi kwa Dr Slaa na kumpamba EL nilivua heshima YOTE kwao. Hili la EL lazima Chadema litutafune hadi tutubu hadharani.
 
Ungekaa kimya kuficha up.umbavu huu. Nyie ndio makamanda mnaotegemewa kupewa dola? Pathetic sana!!!
 
Kuna wagonjwa zaidi ya 450K wa akili nchini. Watch out brother!! Unasapoti chama na kupinga ufisadi wakati mshika bendera ya chama ni fisadi namba moja, sasa sijui kampeni ulifanya kwa ajili ya chama au yule mgombea wetu..teh teh...khe khe kheeeeee!!
 
MCHAGGA mbele ya hela ,ni pumbavu tu ndio ataamini kuwa lowasa alipokelewa CDM na mikono mitupo , pamoja na matusi ,na udhalilishaji ulionekana kwenye hii post V
LOWSA ALIMPA MBOWE ZAIDI YA BILION TANO ili apate nafasi ya kugombea uraisi kupitia CDM
 
MCHAGGA mbele ya hela ,ni pumbavu tu ndio ataamini kuwa lowasa alipokelewa CDM na mikono mitupo , pamoja na matusi ,na udhalilishaji ulionekana kwenye hii post V
LOWSA ALIMPA MBOWE ZAIDI YA BILION TANO ili apate nafasi ya kugombea uraisi kupitia CDM
Kumbe ndio maana Mbowe hazungumzii tena ufisadi kabisaa. Anaogopa kumkwaza Lowasa.
 
Masikini.....na hivi chama chenu ni cha kifashist huna hata pa kupeleka mawazo zaidi ya hapa JF......

Na ukijaribu kuzungumza haya kwenye vikao vyenu vya Chama utaishia kufukuzwa kama mbwa koko.

na kwa bahati nzuri chama chao hakiruhusu kukipeleka mahakamani. , ukifanya hivyo unajifukuza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…