Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

kariba ya lowasa ni sawa na zitto.....yeye mwenyewe ndo plan A, plan B, plan C
 
There's no need for idle speculations. The only sure way for Lowasa to remain shining is to remain within 'magamba circles' only. And it'd be his only wise decision to split this chama into two if they don't give him mandate to run for presidency. Aanzishe CCM Asilia, au jina linalofanana na hapo. Watamfuata wengi.
 
Heshima ikurudie Mkuu, hawa wahamiaji wa vyama vingine miezi michache kabla ya uchaguzi ni wa kuogopwa kama Ebola.

Heshima yako mkuu kama tulikuwa na wazo moja ccm wanafikiri Ukawa tuna nafasi ya kupokea watu wachafu labda akitoka ccm akaungane na kile chama cha wasaliti wenzake Act alishakaribishwa mapema.
 
Kwani nini, ninani, na ana nini? Watanzania wa leo sio kama wewe na yeye. Kaa mbali na huyu mtu.
 
1510456_860134494073373_1082684416883556314_n.jpg
 
Ingekuwa mimi ni UKAWA,ningemkaribisha kwa masharti.
1.Sharti la kwanza,atoke hadharani na kueleza kinagaubaga jinsi alivyohusika na kashfa ya Richmondi,AICC n.k
2.Aseme alimaanisha nini wakati wa kuijuzulu aliposema ameamua kung'atuka ili kuiokoa serikali ilhali yeye ndio alikuwa kiongozi mkuu wa serikali na kujiuzulu kwake maana yake serikali ilianguka.
3.Aeleze fedha zote alizogawa misikitini,makanisani,kwenye saccos mbalimbali alikuwa anazitoa wapi na lengo lake lilikuwa nini maana kabla ya kujiuzulu hakufanya hivyo.
4.Akane kutamani nafasi yeyote kisiasa kupitia UKAWA kinyume na utaratibu ulipo wa UKAWA.
5.Aeleze sababu zinazomfanya ahame ccm ambazo hizo sababu hazipo kwenye hichi chama kwenye UKAWA.
Akijibu haya yoote kiufasaha mbele ya waandishi wa habari,NINGEMPATIA kadi ya uanachama wa chama na ningemtumia kwa kadiri nitakavyomhitaji.

Mkuu kwani hujui lipi katika hayo unayosema. Kwa kukukumbusha tu Ibrahim Msabaha alisema nimefanywa bangusilo (neno nalikumbuka mpka leo) ikiwa na maana ng'ombe wa kafara.

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom