Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,870
- 32,650
Jamaa hana hata aibu. Nakuambia jamaa anaweza kuhamisha magoli huku anakuangalia usoni. Kwa mfano yule anayejiita BAK nae pia ni mmojawapo.Mkuu unatamani Mods waiondoe hii thread
Jamaa hana hata aibu. Nakuambia jamaa anaweza kuhamisha magoli huku anakuangalia usoni. Kwa mfano yule anayejiita BAK nae pia ni mmojawapo.Mkuu unatamani Mods waiondoe hii thread
Duuh,,,LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Leo hii unamsujudiaLowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Binafsi nafahamu wana-CHADEMA wawili hapa JF ambao hawajapata kuyumba ktk hili; kuna MTAZAMO na meningitis... anyway, I know wapo wengine lakini hao ndo nina uhakika nao! Hawa wengine; hamna kitu... wamejaa mayowe tu na ndio kuna cku nilishawahi kuwaambia hapa; hata cku JK huyu mnayemuita fisadi, cku akiingia CHADEMA, kila atakopita watampokea kwa shangwe na mashada ya maua! Unafiki ulioje!Hapa ki ujumla umemaliza mkuu
Mi mwenyewe nilipo jiunga na Jf nilikuwa namuaminia, hadi kubishana naye nilikuwa sipendi namchukulia kama jamaa mmoja muelewa.
Kuanzia leo nime muona ni wa hovyo halafu anafikiri kuwa watu wanamuheshim kwa kuwa hivo kumbe wana mpuuzia tuu.
Siku hizi anaitwa Muungwana Lowassa!Kutoka Fisadi papa mpaka kuitwa Nywele nyeupe na Roho nyeupe fisadi amekuja kwa mlango wa nyuma.
Hivi bado uko Ukawa Mkuu?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Wewe ni 'msaliti'..inabidi uvuliwe Ukamanda.Huyu ni mwiz tu
Haya sasa uliyemwita shetani ndo mkuu wa nyumba hivi sasa...hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Mkuu rudisha kisu alani.Usikurupuke na kuandika jambo ambalo halipo, hebu weka ushahidi wa pale ambapo nilimeza maneno yangu. Lowassa kwangu mimi bado ni fisadi na hakustahili kukaribishwa CHADEMA.
Wewe hapoNani taahira sasa hapo?
Sana aisee.Naona nyumbu za mbowe zinapata shida sana kutokana na huu Uzi.
Lizaboni.Huyu yupo ila kwa id nyingine, id hii ya Ocampo four ilikuwa maalum kwa uchaguzi kama ya yule mpinzani wake aliyekuwaga sisiemu, id yake imenitoka kidogo.

Mkuu hizo ni jazba sasa. Wacha dawa iingie kidogo kidogo. Utapona tu.Tatizo lako wewe ni mpu.mbavu wa hali ya juu. Trump kule GOP wengi wanampinga na hawatampigia kura na hawana mpango wa kujitoa GOP, lakini mimi kumpinga fisadi Lowassa na kuendelea kuiunga mkono CHADEMA unaona kitu cha ajabu. Taahira mkubwa sana wewe mwenye uelewa finyu sana.
Mungu anakuonaLowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Maajabu hayaishi hapa duniani, na mengine huanzia Tanzania!
Wewe jamaa ni mnafiki wa kiwango cha mwendo haraka.Wewe hapo