Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.

Ni wewe kweli kamanda au kuna mtu aliiba nywila yako kipindi hicho?
 
Heshima ikurudie Mkuu, hawa wahamiaji wa vyama vingine miezi michache kabla ya uchaguzi ni wa kuogopwa kama Ebola.

Hivi sasa hivi unaweza.kumwambia maneno hayon kipenzi chako Lowassa?
 
Uzi huu una uhusiano upi na mimi kumshutumu Lipumba? Kwa taarifa yako kwangu mimi Lowassa bado ni fisadi tu ingekuwa ni amri yangu asingekaribishwa CHADEMA. Acha kukurupuka na kuhitimisha jambo usilolijua. Kitu kama hukijui uliza kwanza badala ya KUKURUPUKA.
Sijakurupuka....bali sioni jitihada unazotumia kumkosoa Lowasa kama unavyojitahidi kumkosoa Lipumba au Magufuli.

Na kwa bahati mbaya au nzuri huyu Lipumba anaendele kumkosoa Lowasa kuhusiana na maadili. I thought you have one thing in common.....kumbe unachagua kuwashambulia wa nje ukiogopa wa ndani.
 
Uzi huu una uhusiano upi na mimi kumshutumu Lipumba? Kwa taarifa yako kwangu mimi Lowassa bado ni fisadi tu ingekuwa ni amri yangu asingekaribishwa CHADEMA. Acha kukurupuka na kuhitimisha jambo usilolijua. Kitu kama hukijui uliza kwanza badala ya KUKURUPUKA.
CC: kwa wanaufipa wote.....@Mmawia Daudi Mchambuzi Chakaza Salary Slip na wengineo
 
hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani

Tena akome anajua jasho la wananchi wanaopigania UKAWA abaki na mazimwi wenzie CCM

Hahahahahahaaaa! Lowassa hana ubavu wa kubaki CCM kama atatoswa kwenye kuwania Urais. Kwa sababu anajua hawezi tena kusubiri miaka kumi ijayo kama alivyokubali kumsubiri Kikwete hadi atakapomaliza ungwe yake. Akitoshwa Urais atatoka tu CCM, na kuna kila dalili kuwa CCM hawatampa nafasi ya kuwania Urais mwakani.
Ova
Duh......akiba ya maneno
 
Acha ujinga wewe CHADEMA ilikuwepo kabla ya Lowassa na itaendelea kuwepo baada ya Lowassa. Kwanini nihamie vyama ambavyo sikubaliani navyo? Kwa taarifa yako kama ambavyo waliokuja na Lowassa baadhi wameamua kurudi CCM Lowassa naye anaweza kabisa kufanya hivyo. Mimi siungi mkono chama kutokana na mtu A au B bali ni sera za chama. Hivyo kwangu mimi Lowassa bado ni fisadi tu. Na siku akiamua kurudi CCM nitakuwa wa kwanza kushangilia.
Masikini.....na hivi chama chenu ni cha kifashist huna hata pa kupeleka mawazo zaidi ya hapa JF......

Na ukijaribu kuzungumza haya kwenye vikao vyenu vya Chama utaishia kufukuzwa kama mbwa koko.
 
Wewe ndio mjinga halafu BAK hakuna ujinga mbaya kama wakujiona uko sahihi, na ndio ujinga ulio nao wewe asee, ndio maana nakwambia umeza maneno yako, Jamaa alipita na kebehi zote ulizo mtolea najua lazma ulimsapot tu na bila aibu tena unaendelea kubisha, bora hata ungekausha ningekuona wa maana, sasa kama hukuona sababu ya kumleta mbona alikuja!!? Na umeiona sababu kuwa yeye anafuata sera za chama!!? Sasa si unajipinga mwenyewe hapo ndio maana nakushangaa
Hao hufuata wanachoambiwa na Sultan
 
Back
Top Bottom