Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Binafsi nafahamu wana-CHADEMA wawili hapa JF ambao hawajapata kuyumba ktk hili; kuna MTAZAMO na meningitis... anyway, I know wapo wengine lakini hao ndo nina uhakika nao! Hawa wengine; hamna kitu... wamejaa mayowe tu na ndio kuna cku nilishawahi kuwaambia hapa; hata cku JK huyu mnayemuita fisadi, cku akiingia CHADEMA, kila atakopita watampokea kwa shangwe na mashada ya maua! Unafiki ulioje!
Usimsahau Mzito Kabwela na idawa.

Ila siku hizi CDM ina wafuasi mbumbumbu kabisa kama akina Mmawia.
 
Binafsi nafahamu wana-CHADEMA wawili hapa JF ambao hawajapata kuyumba ktk hili; kuna MTAZAMO na meningitis... anyway, I know wapo wengine lakini hao ndo nina uhakika nao! Hawa wengine; hamna kitu... wamejaa mayowe tu na ndio kuna cku nilishawahi kuwaambia hapa; hata cku JK huyu mnayemuita fisadi, cku akiingia CHADEMA, kila atakopita watampokea kwa shangwe na mashada ya maua! Unafiki ulioje!

Ila mbowe kiboko yaan aliwalambisha wanachama wake malimao jmn
 
Sema yote kwa yote, kuwa mfuasi mtiifu wa hivi vyama unatakiwa kwanza kwenda hospital kulegezwa screws za kichwani vinginevyo, ni ngumu sana... binafsi siwezi kabisa!
 
N kweli mara nyingi ni kujifunga fikra uki ingia kwenye vyama, unakuwa u ashindwa hata kujaji vitu kwa usahihi ila unatumia u chama tuu
 
Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea urais CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya urais.

Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni rais wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"

Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea urais.

Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.

Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
Hivi watu mnaoteshwa au ni nini hiki jamani! ndio maana kila post hapa JF naiheshimu maana sijui matokeo yake hapo baadae
 
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
ahahahahahahahahaah, aiseeee! maandishi ya JF hayafutikagi sijui kwanini!
 
Dah ..nikisoma huu uzi naona makamanda tulivyochemka
 
Japo ambalo si la siri kwamba kambi zote za wagombea urais CCM zinamuogopa sana Lowassa, hivyo kuna kila aina ya jitihada ya kuhakikisha jina la Lowassa halipitishwi kugombea nafasi ya urais.

Huku wapinzani wakijipanga kukata jina lake lakini Lowassa yeye anaendelea na mikakati yake ikiwa ni pamoja na kugawa fedha kama njugu kwani anaamini yeye ni rais wa Tanzania 2015-2025 "PIGA UA"

Lowassa anatishia kukiua chama (CCM) endapo hata pitishwa kugombea urais.

Wakati huo huo, endapo jina la Lowassa halitapitishwa CCM wanyetishaji wetu wanasema mkakati wa Lowassa kugombea kupitia UKAWA kwakuwa tayari ana mtaji wa wanaCCM wengi hivyo ni rahisi kwake kushinda nafasi ya uraisi.

Inasemekana kuwa tayari Lowassa ameshaanza mazungumzo ya chini chini na viongozi wa UKAWA lakini bado hawajafikia makubaliano rasmi.
JF ni kiboko yao.
Kuna watu huwa wanazo data nyeti sana.
Wakizitoa watu hubisha hadi pale ukweli unapokuwa dhahiri.
 
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Inabidi haya maneno uyameze...
Lowassa kamshinda ngamia..kapenya na kuteka ngome yote ya ukawa.
 
Back
Top Bottom