Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,635
- 38,247
Mkuu sasa mlipokuwa mnamdekia barabara hamkuona kama kachoka?hukumwona JK akiwa anafanya mazoezi ya kukimbia huyu Lowasa amechoka sana
Mkuu sasa mlipokuwa mnamdekia barabara hamkuona kama kachoka?hukumwona JK akiwa anafanya mazoezi ya kukimbia huyu Lowasa amechoka sana
Naona mko na mwizi mwenzenuWenye kuwania urais kupitia sisiemu na wanaokubalika wapo kimya, nashangaa nyie mapovu kila siku. Huyo ni mwizi, na silaha ambayo upinzani wataitumia dhidi yake ni Richmond. Tambua watz si wajinga kama wewe na team yako mnavyodhani.
Hahahaha.... Hivi chadema aliinunua kwa bei gani?mtakufa njaa lowasa amewahonga sh.ngapi mna spidi sana za kumsafisha lakini hata mngemsafisha na omo bado uchafu uko pale pale
Kule kwenu alikuja mkamsafishaKuna jitihada zozote amezifanya za kuwahakikishia wananchi kuwa alionewa? Au anavyogawa pesa kama njugu ndo kuwaonyesha kuwa alionewa? Sijapandikizwa chuki. Ni kwamba hana sifa na ana skendo.
Mkuu wangu... Tulitaka kukabidhi ikulu kwa fisi!Lowasa ni fisadi namba tanzania
Hahahahahata akijisafisha na magadi bado ataendelea kuwa mchafu
Mkuu Kill 3, lowassa hafaimajembe yanalima huko vijini kama Lowassa ni jembe mwacheni huko monduli aendelea kulima uraisi ataishia kusikiliza kwenye redio tuu.
Wewe na nani? Kwani wewe ndio mbowe? Mwenye chama akiamua wewe utasema ninisisi hatutaki
Wewe uliona mbali mkuu kama Nostra DamusViongozi wakisema mtafuata.
Nyie watu mlikuwa na maswali magumu sana
Na sasa shetani yuko umalaikaniShetani hawezi kuungana na malaika
Upo ukawa au ulishatoka?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Wewe ni nani bwana ? Wenye chama wakiamua wewe utasema nini?Utadhani ulikuwa kichwani mwangu Mkuu, hakuna sababu yoyote ya huyu fisadi kukaribishwa UKAWA.
Naona sasa mko umadoaninyekundu ikichanganywa na nyeupe hayo ni madoa tena
Ulishaacha siasa ?lowassa akija ukawa naachana na siasa!
Mkuu... Ndio hivo upimbavu ulishafanyika... Sasa wewe utasema nini wakati wewe ni mpiga ngoma tu hapo ufipa?UKAWA hakuna nafasi ya mafisadi aende zake huko. UKAWA hawawezi kufanya makosa ya kipumbavu ya kumkaribisha huyu fisadi.
Leo Ufipa wanapita wanachungulia na kulala mbele. Mbowe kweli hafai, kawakata vilimi bavicha woteCC: ufipa street
Vipi mkuu... Bado uko shambaHapa lazima iwe UGOMVI wa wanandugu..... :sorry:mie naenda shamba.................Maana:rain:yaja........