MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
Huyu jamaa kama hukuwahi kuyasoma mabandiko yake kabla ya Lowassa kuingia CHADEMA unaweza ukadhani ni mtu mwenye msimamo na mzalendo kumbe ni mtu wa hovyo.Hahahaa
Kumbe wakuu mlikuwaga ile mna msitiri tuu.
Hakuwaza kesho maskini jaman
Kinachonishangaza ni uwezo wake wa kutokuwa na aibu. Kuna wengine wengi tu wa aina yake kwa sasa hawaonekani kuchangia katika mijadala ya kisiasa na kama wanaonekana watakuwa wamebadili ID's.
Jaribu kuangalia kwa sasa kuna ID's nyingi sana mpya ambazo zimeanzishwa baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.