mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,759
HahahaMbowe anapenda watu kama ninyi ,msiojua mnachotaka
Kwahiyo kura yako ulimpa JPM.?Kwanini nimpigie kura fisadi!?
Wewe ndio mjinga halafu BAK hakuna ujinga mbaya kama wakujiona uko sahihi, na ndio ujinga ulio nao wewe asee, ndio maana nakwambia umeza maneno yako, Jamaa alipita na kebehi zote ulizo mtolea najua lazma ulimsapot tu na bila aibu tena unaendelea kubisha, bora hata ungekausha ningekuona wa maana, sasa kama hukuona sababu ya kumleta mbona alikuja!!? Na umeiona sababu kuwa yeye anafuata sera za chama!!? Sasa si unajipinga mwenyewe hapo ndio maana nakushangaa
Nadhani utakua unasema Mr ChinHuyu yupo ila kwa id nyingine, id hii ya Ocampo four ilikuwa maalum kwa uchaguzi kama ya yule mpinzani wake aliyekuwaga sisiemu, id yake imenitoka kidogo.
Kijana unazidi kujichafua tu..bora unyamaze kimya....mabadilikooooooooo!Tatizo lako wewe ni mpu.mbavu wa hali ya juu. Trump kule GOP wengi wanampinga na hawatampigia kura na hawana mpango wa kujitoa GOP, lakini mimi kumpinga fisadi Lowassa na kuendelea kuiunga mkono CHADEMA unaona kitu cha ajabu. Taahira mkubwa sana wewe mwenye uelewa finyu sana.
Wewe ni Unaweza ukawa kati ya wale watu Laki 4 wenye mattzo ya akili waliotajwa jana, sasa utamfanishaje Trump na Lowassa!!? Kadiri unavojibu unajivua heshima yako hata kidogo iliyo baki, wenzenu kule GOP walifanya primaries Trump akapata kura na kuweka rekodi kura milion 14, hapa Lowassa waliamka kina mbowe wakabadikisha gia angani, halafu Trump hakuhama democrat yeye ni Republican toka kitambo, halafu Trump si fisadi wala mla rushwa, Halafu utasemaje huyo Lowassa ni fisad wakat mwenyekiti wenu alisema siyo fisadi, viongoz wako kina Msigwa wakamuomba mpaka msamaha!!! Kwa hiyo wewe unapingana na wenye chama!!?Tatizo lako ni wewe ni mpu.mbavu wa hali ya juu. Trump kule GOP wengi wanampinga na hawatampigia kura na hawana mpango wa kujitoa GOP, lakini mimi kumpinga fisadi Lowassa na kuendelea kuiunga mkono CHADEMA unaona kitu cha ajabu. Taahira mkubwa sana wewe mwenye uelewa finyu sana.
Mbona unakasirika namna hii? Oga, huu mchezo hautaki hasirao.Tatizo lako wewe ni mpu.mbavu wa hali ya juu...
Lowassa hajawahi kuisaliti CCM na hatokuja kuisaliti milele.
LOWASSA hawezi bila CCM, Acheni kujidanganya!
Wewe ni Unaweza ukawa kati ya wale watu Laki 4 wenye mattzo ya akili waliotajwa jana, sasa utamfanishaje Trump na Lowassa!!? Kadiri unavojibu unajivua heshima yako hata kidogo iliyo baki, wenzenu kule GOP walifanya primaries Trump akapata kura na kuweka rekodi kura milion 14, hapa Lowassa waliamka kina mbowe wakabadikisha gia angani, halafu Trump hakuhama democrat yeye ni Republican toka kitambo, halafu Trump si fisadi wala mla rushwa, Halafu utasemaje huyo Lowassa ni fisad wakat mwenyekiti wenu alisema siyo fisadi, viongoz wako kina Msigwa wakamuomba mpaka msamaha!!! Kwa hiyo wewe unapingana na wenye chama!!?
Hivi mkuu kimekupata nini kichwani huko!!?
Najua utarudi na gazet tena la kujietea, endelea kuonesha ujinga wako bro. Na mimi ntakuwa nakupa elim hapa hapa
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Ukawa wakimpokea lowassa ntaipigia kura ccm
Lowasa atahangaika sana lakini uraisi utakuwa ndoto kwake
endeleeni kumpa moyo 2015 siyo huyu lowasa asiposhinda uraisi sijui mtakula wapi
kukwagua gwaride hataweza .Lowasa akishinda uraisi ntatembea uchi dar-moro
mtakufa njaa lowasa amewahonga sh.ngapi mna spidi sana za kumsafisha lakini hata mngemsafisha na omo bado uchafu uko pale pale
majembe yanalima huko vijini kama Lowassa ni jembe mwacheni huko monduli aendelea kulima uraisi ataishia kusikiliza kwenye redio tuu.
DAAAAViongozi wakisema mtafuata.