UKAWA haihitaji Sub-dakika ya 90, timu imeshakamilika, tunachosubiriwa ni KIPENGA tu ili mshuhudie timbwili.
Teh teh teh hiki chama bhana teh teh....Ama kweli jamaa kawashika vibaya kila siku Lowasa
UKAWA hakuna nafasi ya mafisadi aende zake huko. UKAWA hawawezi kufanya makosa ya kipumbavu ya kumkaribisha huyu fisadi.
ukawa tambueni wapiga kura ni zaidi ya hao mnaokuwa nao katika mikutano na maandamano tena hao si wapiga kura wanakuja kupitisha muda siku ipite, Watu wengi sana hawana muda wa maandamano wala mikutano, wao ni peni na karatasi katika kituo cha kupigia kura. Mnajipa matumani yasiyokuwepo, mtajishangaa kwenye matokeo yakitangazwa.Ushauri wa bure mpokeeni haraka huyo baba wa monduli anayetaka urais kwa nguvu zote. Ila angegombea irais wa wapiga madeal siyo wa kuongoza taifa la Tanzania.
umeandika kizembe sana .ukawa wana mipango yao mtu anayetaka kujiunga akiwa na sababu zake ajitafakari mara mbili ,ukawa haiwezi kuwa kivuko ina watu wake wa kuvuka nao wenye ajenda za vyeo na mambo mengine binafsi naona pagumu.
Raia mwema wameuliza , wewe mleta mada umeuliza kwani Lowassa si yupo ? Ingefaa akaulizwa yeye hili swali .
Mwaka 2005 Jakaya alimtisha Mkapa kwa stail kama hii kuwa atajiunga na CHADEMA na akina Emmanuel Nchimbi waliifanya hiyo kazi sawaswa kwa kutishia hata kuifanya UVCCM kuwa ya CHADEMA ..........msiwe wasahaulifu sana ......
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kumkataa Lowasa ndani ya ukawa wengi ni waganga njaa tu.UKAWA hakuna nafasi ya mafisadi aende zake huko. UKAWA hawawezi kufanya makosa ya kipumbavu ya kumkaribisha huyu fisadi.