Hiyo ilishabadirika ndio maana wanaume wenye misimamo walishajiondokea...UKAWA si kimbilio la wahalifu .
Unyumbu ni shida! Kwa hivo wewe ni taahira maana ulimdekia barabara!Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.
Ngamia alipenya mkuuLOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Wewe ndio mwenye akili ya kushikiwa... Tena imeshikwa hasa!Akili ya kushikiwa
Pole yako... Mnakesha humu kumtukana Magufuli.. Kumbe hamna kitu vichwani mwenu!Hayo magazeti yanakuza mambo bila sababu. Ukawa ya nini wakati anao mwaliko kutoka kwa Ayat.olah kujiunga na kupewa nafasi ya kugombea cheo anachokipenda kuliko ampendavyo mkewe?
Wasitusumbue na maugomvi yao wakati sie tunamachungu na ripoti ya CAG
Choo kilihama hahahahaMtakuwa vichaa mwaka huu Ukawa hakuna nafasi ya watu wachafu bora aende kubaki huko mafisadi wenzake huko ccm.
Hahahaha.... Mlichezeshwa kwata na mbowe mkabaki mnangaa macho!Heshima yako mkuu kama tulikuwa na wazo moja ccm wanafikiri Ukawa tuna nafasi ya kupokea watu wachafu labda akitoka ccm akaungane na kile chama cha wasaliti wenzake Act alishakaribishwa mapema.
Nani awaogope mbele ya hela?Heshima ikurudie Mkuu, hawa wahamiaji wa vyama vingine miezi michache kabla ya uchaguzi ni wa kuogopwa kama Ebola.
Kijana ebu pitia comment zangu tena, hiyo comment uliyoni-quote nilikuwa namjibu shabiki wa lowassa, sijawahi kuwa upande wake na bado nina msimamo wangu. Sio bavicha wa mbowe mimi!Kijana umeona sasa madhara ya kukabidhi akili kwa mbowe?
Ungekaa kimya kuficha up.umbavu huu. Nyie ndio makamanda mnaotegemewa kupewa dola? Pathetic sana!!!Mbona sijafukuzwa wewe punguani!? Acha kuonyesha utaahira wako wa kuandika vitu ambavyo havipo. Msimamo wangu kuhusu fisadi Lowassa unajulikana ndani ya chama hakuna hata mmoja aliyethubutu kunitaka nirudishe kadi ya uanachama au kunivua uanachama wangu ndani ya CHADEMA. Acha kuandika vitu vya kusadikika.
Kuna wagonjwa zaidi ya 450K wa akili nchini. Watch out brother!! Unasapoti chama na kupinga ufisadi wakati mshika bendera ya chama ni fisadi namba moja, sasa sijui kampeni ulifanya kwa ajili ya chama au yule mgombea wetu..teh teh...khe khe kheeeeee!!Dah! Naona unazidi kuonyesha kwamba uwezo wako wa kuchanganua mambo ni SIFURI. Eti huwezi kufananisha issue ya GOP kutomuunga mkono Trump lakini kuendelea kubaki ndani ya GOP na mimi kutomuunga mkono fisadi Lowassa lakini kubaki ndani ya CHADEMA!!! Una akili ndogo sana ya kushindwa kuelewa vitu ambavyo viko wazi kabisa. ELIMU MULUGO inakusumbua sana ndiyo sababu hata kilichoandikwa na CNN umeshindwa kukielewa. Unadhani CNN inasomwa na watu wangapi duniani ambao hicho unachodai kwamba hakiko sawa kama kweli kisingekuwa sawa wengi duniani wangekuwa wamekisha kukipeleka CNN ili kifanyiwe masahihisho. Tulizana acha kukurupuka na kuonyesha umburula wako hadharani wa kutaka kuleta ubishi usiokuwa na kichwa wala miguu. Mxciuuuuuuuuuuuu.
Ya kale dhahabuHa ha ha ha! Yalishapita hayo!
Kumbe ndio maana Mbowe hazungumzii tena ufisadi kabisaa. Anaogopa kumkwaza Lowasa.MCHAGGA mbele ya hela ,ni pumbavu tu ndio ataamini kuwa lowasa alipokelewa CDM na mikono mitupo , pamoja na matusi ,na udhalilishaji ulionekana kwenye hii post V
LOWSA ALIMPA MBOWE ZAIDI YA BILION TANO ili apate nafasi ya kugombea uraisi kupitia CDM
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Masikini.....na hivi chama chenu ni cha kifashist huna hata pa kupeleka mawazo zaidi ya hapa JF......
Na ukijaribu kuzungumza haya kwenye vikao vyenu vya Chama utaishia kufukuzwa kama mbwa koko.
LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM