MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,859
Eti maisha bora, watu kibao Arusha wanakula mlo mmoja, niambie kipato kikubwa cha mtu Arusha nini?? Mnadanganywa na vihela vya watalii ambavyo wazungu wanavipora na kutimua navyo ulaya.
Wawekezaji wakubwa wa utalii Arusha ni wazungu na wameweka viofisi kiduchu pesa wanavuna na kurudi nazo ulaya. Vijana mapota na wanaopata masalia ya vidola ndiyo mseme kuna uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi kanielewa inatosha, nahisi wewe sio aina yangu ya kufanya mjadala wa akili!