Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Njoo Minjingu mkuu,Arusha ulikuwa wapi? NGALIMI au NGAREROOO?
 
Ukitaka uone maaajabu kwanza uwe na hela za kukuwezesha kuyaona ayo maajabu ,si unaenda stand unashangaa utegemee maajabu, kwa kifup kama hukuwa vizur lazima uone kawaida.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Nipo chuga kitambo sana
Kitu ambacho nimegundua machalii wengi wa r hawajatembea kwenda sehemu nyingine wakizid sana moshi
Ndomana wanakua na misifa ya ajabu coz hawajui wanajilinganisha na nn
My view Arusha ni sehemu ya kawaida na maisha ya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
True
 
Basi kwa mfano huu mji mzuri Tanzania nzima kwa sasa ni Dar kwa sababu ndio kuna flyover. Nadhani wengi bado hatujajua maana ya "uzuri" wa mji. Binafsi napapenda sana lushoto na wala hakuna flyover kwangu ni sehemu nzuri ya kuishi.navutiwa na hali ya hewa , mandhari, upatikanaji wa vyakula na matunda " organic foods"

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hapa ikisoma vizuri hii mada, inaongelea zaidi, ujenzi wa mji na uwepo wa vitu vya kimaendeleo.

Sio mambo ya kilimo na hali ya hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huna fedha huwezi jua Arusha ni jiji zuri,hivyo hivyo Mwanza na Dar unapopasifia kimya kimya.. assume unaishi kule bondeni jangwani au mitaa mingine ya dhiki..pia si kila mtu atapapenda Arusha,Kuna watu wapo Arusha na bado hawapapendi Dar sababu ya joto nk. Overrating/Underrating inategemea na perception ya Mtu ila Statistics inaonesha Arusha ni jiji zuri ila si kwa imagination uliyokuwa nayo..ata kuna watu wakitoka Nzega huwa wanaona jinsi Dar ilivyo Overrated kwa sababu Masaki si kama Mbagala nk
 
Tofauti ya Arusha na Majiji mengine ni kwamba wenye mikwanja mirefu ni vijana kati ya 25 na 40 yrs kwa sababu ya mgodi wa tanzanite na biashara ya utalii. Dar na Mwz mkwanja mrefu unamilikiwa na wazee. Ukibahatisha kijana basi ni unga/msanii au mkwanja wa urithi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu anakuja m2 hapa anaifananisha arusha na MWANZA!😁😁 wapi arusha na wapi Mwanza

Binafsi Majiji mazuri ya kuishi hapa tz ni MWANZA then DAR. Na ndio mazuri kuzidi majiji/mikoa yote nchini tanzania
Mwanza kupo poa sana
 
Back
Top Bottom