DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,930
- 4,280
Sasa kama dar sio city vipi majiji kama dodoma,tanga,mbeya na mwanza?Kama umebahatika kuruka na mwewe kwenda nje ya Africa na kutua majiji kadhaa huko duniani utabaini kua Dar ni Big Center na sio City
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app












