Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Ninachobisha ni kuwa itachukua muda mrefu sana. Katika muda huo arusha nayo itakuwa inapiga hatua sio kwamba imesimama.
Yes nimeish dodoma kwa kipind kiref kidogo.. disadvantage ambayo dodoma wanayo.. dodoma ni jangwa.. and hilo ni tatizo. Dodoma mjini tu penyewe ni padogo sana. Maji ni tatizo la muda mrefu.... imefanya ujenz kuwa wa tabu sana.
Itachukua muda kuifikia lakin arusha itakuwa imepiga hatua kubwa sana muda huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma kuwa jangwani sio tatizo ,kuna miji uko kwa waarabu ipo jangwani lakini imepiga hatua kubwa sana
 
Unajua how much investment serikal yao iliwekeza mpaka miji ikasimama? Zile project wameanza 1980s.
Thats a very long time. + uchumi wao uko juu zaid ya wetu.
So speed of developmet haita match na ya kwao.. wao wako capable sana kuliko sisi.

Serikal itabid ikope sana kuweza kutimiza hilo suala. Tena itachukua muda mrefu. Mji haujengwi in 10 years.. it might be more than that.
By muda huo serikal inakazana, haimaanish miji mingine itakuwa.imesimama.kimaendeleo.

Naona eneo la uchumi unaitaji kupigwa msasa wa kutosha,logic zako za kiuchumi haziko sawa.kiufupi umeongea kimazoea
 
Ungesema Ilboru sawa.
Ilboru tunawapigisha magoti kila siku, wanachotuzidi ni majengo tu bali sisi tunawazidi kwa mbali sana almost kwa kila kitu.
Hakuna mshamba wala kilaza pale Kisshigh.
Nimekuuliza umewahi kufika Kisshigh?
 
Kama hutaki kusema basi nina mashaka na maeneo uliyotembelea. Kama umetembelea maeneo ya hovyo halaf ndio ukatumia hayo ku judge mji mzima.. basi umefeli.

Ungesema kama unaficha basi unaweza kuwa una agenda yako. Anyway kama ww unapaona arusha hapakufahi, wako wenzio wa miko mingine wanaopapenda. Mwisho wa siku hatiwez kuwa sawa.. utapachukia wengine watapapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuwa na agenda na mji wa Arusha
 
Unazungumzia Arusha hii hii kule unakopatikana Mjani.??? au Arusha ya China..

ChuGa kupo vizuri sana ila wewe sijui umeangalia kipi haswa
 
Back
Top Bottom