Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,627
- 16,595
Usiwe tumelinganisha na mji wa jimbo la Jenista Mhagama tutagombana!Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.
Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.
Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.
Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Sent using Jamii Forums mobile app