Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Muanzisha uzi huu nataka nimwambie tu kuwa huyo mwenyeji wako na yeye haijui vizuri Arusha,pia inaonyesha ulikuja huna pesa broo coz Arusha ni mji wa matanuzi,zaidi Sana kipindi hichi Cha Corona huwezi ifaidi Arusha Mkuu,siku nyingine ukija usifikie kwa shemeji yako Kaka,kuzaliwa tu Arusha ni tayari Upo form four hata Kama hujaenda shule,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mf. Kipi kikubwa arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema umekuzwa vipi ungeeleweka, lakini unaonekana una kawivu tu na jiji la watu, kati ya sehemu modern au urbanised Tanzania ukitoa dar ni arusha ata ubishe mpaka ufe, wana mall ya pili kwa ukubwa Africa mashariki, AIMMALL, wana hotel s nzuri Tanzania hakuna, ndio maana ata celebrities na viongozi wakimataifa hawapati shida ya accommodation arusha, uwanja wa KIA japo upo Kilimanjaro, unaserve arusha kama wakwao, shopping complexes, hospitality, cinema, etc bwana we tuache wivu tuwasifu wanapostahili. Arusha siyo overrated, sisis tuliozoea kuishi majiji makubwa tukienda arusha hatuisi tumepungukiwa na kitu. Acha wivu mwenzetu. Kubali tu.
Hehehe
 
Arusha ardhi ni bei ghali sana... mji haujapimwa... ukitaka kulikopimwa gharama kubwaaa... eti square meter moja 30,000 njia ya nduruma uko.... ufala mttupu arusha
 
Muanzisha uzi huu nataka nimwambie tu kuwa huyo mwenyeji wako na yeye haijui vizuri Arusha,pia inaonyesha ulikuja huna pesa broo coz Arusha ni mji wa matanuzi,zaidi Sana kipindi hichi Cha Corona huwezi ifaidi Arusha Mkuu,siku nyingine ukija usifikie kwa shemeji yako Kaka,kuzaliwa tu Arusha ni tayari Upo form four hata Kama hujaenda shule,

Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi nilifikia kwa nani,point itabaki palepale kwamba Arusha is overrated city.
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Umekaa kwa shangazi yako wiki moja halafu unataka kutuaminisha umeijua Arusha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muanzisha uzi huu nataka nimwambie tu kuwa huyo mwenyeji wako na yeye haijui vizuri Arusha,pia inaonyesha ulikuja huna pesa broo coz Arusha ni mji wa matanuzi,zaidi Sana kipindi hichi Cha Corona huwezi ifaidi Arusha Mkuu,siku nyingine ukija usifikie kwa shemeji yako Kaka,kuzaliwa tu Arusha ni tayari Upo form four hata Kama hujaenda shule,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo wote form four Arusha,ndio mana mnakula mirungi tu,na sigara Kali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha over everything
Msipoteze muda kubishana na hao wavuvi ambao wameona wameshapitwa na arusha hawaishi kuanzisha thread jamii forum wakidhani wataishusha arusha but arusha kwa mwanza tumeiacha usawa wa mbingu na ardhi
 
Siku mwanza wakifikia hapa uniambie

Screenshot_20210421-101656.png
 
lkn Arusha ni ya kawaida sn
🤣🤣🤣 Milele na milele huo mkoa wenu unaoongoza kwa umaskini haitaifikia arusha na bahati mbaya mwendazake now hayupo watoto wa kanda pendwa mmebaki yatima maskini
Endelea kuangalia picha za mjini mkuu😎

Screenshot_20210421-103832.png

Screenshot_20210421-103812.png

Screenshot_20210421-101859.png
 
Wiki ijayo nina safari ya Arusha ngoja nikaone kama mji umekuwa.
 
Back
Top Bottom