- Thread starter
- #61
Kweli,hakuna ubishi Kwa hiloNi kweli sehemu za kishua Arusha ni chache sana the rest ni kwa kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli,hakuna ubishi Kwa hiloNi kweli sehemu za kishua Arusha ni chache sana the rest ni kwa kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli wapunguze misifaHakuna uzuri wowote ARUSHA, no flyover, no skyscrapers, barabara za mji za kugombania tu, mirungi kwa sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza ndo jiji bongo linaloikimbiza dar .Sawa,lakini Arusha hakuna kitu misifaa tu
Kwa kweli Mza wanajitahidi sana
Watu kama hawa ndo wa kufukuza jamii forum baada ya kutoa kigreat thinker unatoa hoja za kitoto na matusi
Povu ruksaMkuu subiri mapovu ya watu wa oldonyo sambu.
Ukiondoa Dar es Salaama[emoji117] MwanzaArusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa basilica sifa unaweza Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.
Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.
Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.
Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Hakuna lolote Arusha la maana sana.ukiondoa Dar mji unaofuata ni Mwanza.nimefanya kazi hapo Njiro toka 2009-2016 ninajua A to Z ya miji yote mikubwa ya hapa TZKumbe umekaa tu weeki 4 halafu utengemee uyaone maajabu ya Arusha? Utakuwa umefikia kwa shemeji yako amekubania kutembea sehemu za wajanja
Bangi na iheshimiwe na watu wote. Tuseme Ameen!Acha ukuda hamna cha ziada ukiacha vibaka na wanywa pombe na mbege na bangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea fact mkuuMOSHI ni mji mzuri sana, kuliko ARUSHA, Halafu MOSHI kila kitu kizuri kipo kuanzia pombe mpaka makanisa, vibaka wachache, kelele ni hafifu.
Nimekaa MOSHI 9 years, Na nilikaa ARUSHA 2 years.
In short Dodoma will be a best city to enjoy in Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Shaka Kwa hiloArusha sio pabaya lakini si pazuri kiiivyo kama panavyokuzwa
Mza ni mji wenye viwango
Ata mimi nimethibitisha hilo bila shaka