bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,713
Binafai niko Arusha ila sijaona kitu cha kilinganisha na dsm, kuanzia socialization, economic wise, popularity labda ambaye haijui dsm anaweza ilinganisha na Arusha.Umeibukia wapi na wewe
Huu ni mji mmoja wa kawaida mno kusema kweli, ukiulinganisha na dodoma, Tanga na Mbeya vitashindana ila acheni upuuzi Arusha ikalingane na dsm inaanzia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app