Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,529
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
 
Umetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
 
Nakubaliana na wewe ,nilichosema ni kwamba sifa inayopewa Arusha zimepitiliza
 
Umetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
Kipindi fulani nilikula ule mkate wa Tsh 2,500 mzima mzima, na vikombe kadhaa vya uji. Aise, nilikuwa kituko pale stendi.
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa basilica sifa unaweza Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Kweli hamna kitu cha maana vibaka kila kona tu wanatusumbua mwenyewe napanga kujirudia jijini hawa machalii wasenge tupu..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
Acha ukuda hamna cha ziada ukiacha vibaka na wanywa pombe na mbege na bangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpangilio wa mji,ubora wa majengo, ubora wa Makazi ya watu etc
Basi hujakujua Arusha. Moshi ni kuzuri lakini si kufananisha na Arusha. Labda kama ungefananicha moshi na mikoa/ manispaa mingine.

Moshi hakuna majengo ya kusumbua kabisa. Arusha kama miji mingine ya zamani lazima kuwe na Some mipangilio mibovu.

Lakini all in all Moshi hamna kitu.

Sema kwamba. ARusha hajameet expectations zako. Lakini sio kufananisha na moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom