Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Basi hujakujua Arusha. Moshi ni kuzuri lakini si kufananisha na Arusha. Labda kama ungefananicha moshi na mikoa/ manispaa mingine.

Moshi hakuna majengo ya kusumbua kabisa. Arusha kama miji mingine ya zamani lazima kuwe na Some mipangilio mibovu.

Lakini all in all Moshi hamna kitu.

Sema kwamba. ARusha hajameet expectations zako. Lakini sio kufananisha na moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
MOSHI ni mji mzuri sana, kuliko ARUSHA, Halafu MOSHI kila kitu kizuri kipo kuanzia pombe mpaka makanisa, vibaka wachache, kelele ni hafifu.
Nimekaa MOSHI 9 years, Na nilikaa ARUSHA 2 years.
In short Dodoma will be a best city to enjoy in Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi hujakujua Arusha. Moshi ni kuzuri lakini si kufananisha na Arusha. Labda kama ungefananicha moshi na mikoa/ manispaa mingine.

Moshi hakuna majengo ya kusumbua kabisa. Arusha kama miji mingine ya zamani lazima kuwe na Some mipangilio mibovu.

Lakini all in all Moshi hamna kitu.

Sema kwamba. ARusha hajameet expectations zako. Lakini sio kufananisha na moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa anaepasifia moshi inayozidiwa na kahama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa basilica sifa unaweza Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Mhhhhhhhhh Sio Kwel mji wa matajir arusha unaujua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom