msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,203
Nimewaachia mji wenu,usiyo na mwelekeoUsiseme tume? Sema ume waachia wenye mji. Remember kama ww una hate wako wanaopakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe unaijua Arusha ya nini nifanye kazi ya kutaja maeneo yote niliyotembelea ,ni mtiani toka necta?,huo mda bora niandike proposal jinsi ya kuja kuwaboreshea mji wenuKama hutaki kusema basi nina mashaka na maeneo uliyotembelea. Kama umetembelea maeneo ya hovyo halaf ndio ukatumia hayo ku judge mji mzima.. basi umefeli.
Ungesema kama unaficha basi unaweza kuwa una agenda yako. Anyway kama ww unapaona arusha hapakufahi, wako wenzio wa miko mingine wanaopapenda. Mwisho wa siku hatiwez kuwa sawa.. utapachukia wengine watapapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sibishani nawe ila kwa miaka zaidi ya 5 niliyoishi arusha naweza kusema ni pazuri sababu ya wheather na hotel nyingi pamoja na makazi nadhifu ( appartments) ambazo mtu anaweza akafika arusha kwa mwezi mmoja asiweze kuziona. Anaweza kufika sakina, njiro, moshono, ungalimoted na ngarenaro akadhani kaimaliza arusha. Ila ina sehemu zilizo mjini nzuri sana ambazo unahitaji mwenyeji mwenye usafiri na uwezo wa kifedha akuonyeshe maana kama mtu ana kiasi cha mboga hawezi kukupeleka sehemu kama Momela , Masailand etc ambazo ni nyingi na zina starehe kubwa tofauti na hotel za Dar ambazo ni copy & paste za hotel za ughaibuni.Kama wewe unaijua Arusha ya nini junior kazi ya kufanya kutaja maeneo yote niliyotembelea ,ni mtiani toka necta?,huo mda bora niandike proposal jinsi ya kuja kuwaboreshea mji wenu
Ungesema umekuzwa vipi ungeeleweka, lakini unaonekana una kawivu tu na jiji la watu, kati ya sehemu modern au urbanised Tanzania ukitoa dar ni arusha ata ubishe mpaka ufe, wana mall ya pili kwa ukubwa Africa mashariki, AIMMALL, wana hotel s nzuri Tanzania hakuna, ndio maana ata celebrities na viongozi wakimataifa hawapati shida ya accommodation arusha, uwanja wa KIA japo upo Kilimanjaro, unaserve arusha kama wakwao, shopping complexes, hospitality, cinema, etc bwana we tuache wivu tuwasifu wanapostahili. Arusha siyo overrated, sisis tuliozoea kuishi majiji makubwa tukienda arusha hatuisi tumepungukiwa na kitu. Acha wivu mwenzetu. Kubali tu.Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.
Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.
Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.
Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Acha kututukana watu wanyanda za juu kusiniUmetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
Kama ArushaWewe mtoa mada ni mtu wa hovyo hovyo tu huna ulijualo
Smart guy
Mji mzuri unajulikana tu, Arusha ni pazuri lakini ukisilikilza sifa inazopewa kabla mtu haujafika na kujionea mwenyewe unaweza zani Arusha ni Kama new York ,sasa ufikepo huwezi amini macho yakoSibishani nawe ila kwa miaka zaidi ya 5 niliyoishi arusha naweza kusema ni pazuri sababu ya wheather na hotel nyingi pamoja na makazi nadhifu ( appartments) ambazo mtu anaweza akafika arusha kwa mwezi mmoja asiweze kuziona. Anaweza kufika sakina, njiro, moshono, ungalimoted na ngarenaro akadhani kaimaliza arusha. Ila ina sehemu zilizo mjini nzuri sana ambazo unahitaji mwenyeji mwenye usafiri na uwezo wa kifedha akuonyeshe maana kama mtu ana kiasi cha mboga hawezi kukupeleka sehemu kama Momela , Masailand etc ambazo ni nyingi na zina starehe kubwa tofauti na hotel za Dar ambazo ni copy & paste za hotel za ughaibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli sijaona tofauti kubwa Kati ya Arusha,Morogoro na DodomaArusha Miyeyusho sana......inapewa sifa ambazo haina...
Wewe unaweza fananisha hali ya maisha ya kahama na ya Moshi?,hivi hujui kuwa kahama inabebwa na migodi ambayo imeajiri watu wachache.Unapombiwa na watawala kuwa kilimanjaro ndio yenye maendeleo zaidi ya mikoa yote Tanzania ondoa DSM ,wewe unafikiri kigezo ni majengo? au pato la jumla?
Ukisema mpangilio wa mji hata Dar imekaa zigzag ndiyo maana kila siku mvua ikinyesha kidogo tayari mafuriko. Lini ulisikia Arusha kuna mafuriko au kipindupindu ilikuwa enzi hizo lakini siku hizi ni hadithi, kwanza sijui unatokea wapi. Ukitueleza na kule unakotokea tutakuelewa. Ulikaa Arusha wiki 4 ukitokea wapiMpangilio wa mji,ubora wa majengo, ubora wa Makazi ya watu etc
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.
Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.
Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.
Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.