Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Majiji yanayostahili kuitwa jiji katika nchi hii ni Dar es Salaam na Mwanza kwa mbali, miji mingine yote iliyo baki kama Arusha, Tanga, Mbeya na Dodoma kiuhalisia ina hadhi ya manispaa tu. Kuita majiji ni kujifurahisha tuonekane na sisi tuna cities nyingi katka nchi yetu kujifariji ktk dunia iliyoendelea.
Nakubaliana na wewe
 
Basi kwa mfano huu mji mzuri Tanzania nzima kwa sasa ni Dar kwa sababu ndio kuna flyover. Nadhani wengi bado hatujajua maana ya "uzuri" wa mji. Binafsi napapenda sana lushoto na wala hakuna flyover kwangu ni sehemu nzuri ya kuishi.navutiwa na hali ya hewa , mandhari, upatikanaji wa vyakula na matunda " organic foods"
flyover hakuna ARUSHA,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa basilica sifa unaweza Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Vipi madame wao wakali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kwa mfano huu mji mzuri Tanzania nzima kwa sasa ni Dar kwa sababu ndio kuna flyover. Nadhani wengi bado hatujajua maana ya "uzuri" wa mji. Binafsi napapenda sana lushoto na wala hakuna flyover kwangu ni sehemu nzuri ya kuishi.navutiwa na hali ya hewa , mandhari, upatikanaji wa vyakula na matunda " organic foods"

Sent using Jamii Forums mobile app
MOSHI is the best.
over!!!

Lakini ili la Arusha kusifiwa kuliko uhalisia,limenishangaza sana
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa basilica sifa unaweza Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.

Uko sahihi nimekaa Arusha 3yrs yaani unatembea toka majengo hadi sanawari umemaliza kamji. Ukitoka sakina hadi Tengeru kamji kameisha. Njiro hadi kijenge kamji kamekwisha. Sema tu Arusha ni mji wa kibiashara. Watu wanajituma kutafuta pesa, kuna majengo mazuri kidogo kufananisha na miji mingine garden At least lkn si kiviiiile
 
Upo sahihi kabisa.
 
ila Arusha sasa hivi naona kama inapaa kinoma...halafu mwanza kumeanza kulala..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzaaaaa inalala? Umefika mwanza lini wew .kumbuka mji sasa upo usagara na ndo huko stendi ya nyegezi itahamishiwa.mwz daladala zinabadirishwa kutoka vipanya hadi Costa kama za dar.mwanza kuna shoppies nyingi .soko kuu na maeneo yote ya makoroboi yanafanana kariakoo siku hiz .mwz barabara zake zimejengwa mpaka za mawe.mwz watu wake ni million sa hivi.mwz airport yake ndo ina route nyingi zaidi.mwz beach ,usafiri WA meli nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Yaani mkuu unakosea sana pamoja na kwamba Arusha wanamapungufu yao hasa kuwa na stendi ya daladala ya hovyo kabisa lakini kamwe huwezi ifananisha na Moshi. Hivi wewe umetembea Arusha ipi? Lodge zilizopo Arusha mikoa mingine ni zakutafuta kwa tochi, hivi ulitembelea mitaa ya sekei huko Big Y, ulipata ruhusa ya kwenda Njiro, mji mpya., kwa Idi, Kimandolu, Kijenge., Morombo, Usa, Mianzini, au wewe uliendw matejo na ungalimitedi.
 
Back
Top Bottom