Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Nimekuuliza swali kuwa umetembelea maeneo gani arusha ila hujanijibu.
Umetembelea wapi na wapi sana sana?
Sina shida na vivutio vya utalii,nasisitiza tena mji wa Arusha ni wa kawaida sana,licha za kuzungukwa na vivutio vya utalii mji umeshindwa kukua Kwa Kasi ya maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu Arusha ni jiji siyo mji tafadhali sana [emoji34] [emoji34] [emoji34]

Smart guy
Sawa,iwe Jiji au Mji ni minor error, basi nakubaliana na wewe ni Jiji.Nayasema haya kwa sababu yamenikuta jana jioni muda wa SAA 3:15 Usiku.Nilikwepo maeneo ya Annex bar karibu na stendi kuu nikiwasubiri jamaa/marafiki zangu kama watatu hivi.Nikiwa nakunywa soda,mara vijana wawili wa early 34-36 years age wakakaa meza niliyokuwepo.Wakaagiza vimishikaki na chips.Muonekano wao ni wabangaiza wa maisha tu.Wakaanza stori za kuoa/kuolewa na ajuza wa kizungu kutoka UK,USA,Spain,Canada kuwa ni dili ya kutusua maisha huku wakiponda ajuza kutoka Urusi,Italian na Ugerumani hawafai kwa sababu ni mabahiri.Wakawa wanachanganya ki-swangilishi na maneno meengi ya "too much know". Walinikera ila baadae kidogo niliingilia mazungumzo yao wakaja juu kwa sababu jinsi nilivyo kimwonekano wakanichukulia poa kumbe sivyo. Muda kidogo tu jamaa/marafiki zangu wakatinga hapo mezani,ghafla wakanywea kwa sababu miongoni mwa rafiki zangu wanamjua hapo mjini yeye ni nani!Niliendeleza mjadala na kuwaeleza kuwa nyie vijana wa Arusha mnatuaibisha sana kwa upuuzi wenu ndio maana mji umeanza/umezidiwa na miji ya juzi juzi tu kimaendeleo.Kiaina waliomba msamaha lakini ilibidi tuwaambie waachane na ujinga huo pia wanywe pombe kadri watakavyoweza na wala wasijali ni katika kurekebishana tabia.

Naongea sio kwa kutunga wala kuongopa,nasisitiza ilitokea jana usiku.Vijana wenzangu wa Arusha mmekuwa wapuzi na wajinga sana kwa sababu mirungi,bangi,pombe kali,mbege,kusuka wigi/rasta,kuolewa/kuoa ajuza wa kizungu ndio fasheni zenu sasa hivi.

Tubadilike,tusiseme tunaonewa wivu,mbona miaka ya nyuma huu upuuzi tunaouita kuonewa wivu watu/vijana wa Arusha haukuwepo?Iweje kipindi hiki?Tujitathimini na kujirekebisha,vinginevyo baada ya muda mfupi ujao Arusha haitakuwa na nguvu kazi kwa kuendekeza upuuzi ambao ni hasara kwa taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jiji la Arusha inajumuisha na mbuga za wanyama,wilaya zilizopo mbali huko au Arusha city centre na vitongoji vyake?
Sasa kwa nini utaje urembo wa Mtu bila kuhusisha viungo vyake vingine? ni sawa na kusema huyu Binti ni mrembo pua na masikio tu.
 
Arusha tumekaa sana more 6 yrs ni mji wa majigambo na mbwembwe nyingi zinazofanywa na vibarua wa utalii sanasana lakini wakati katikati ya mji bado kuna watu wanaishi kama mbuzi kama maeneo ya matejo,ungalimi,jaluo street,mianzini,majengo juu na chini yote hovyo.

Hotel ziko ila sio nyingi na wanaozifaidi wengi wao wanatoka nje kama Kenya na wengine wanatoka dar. Wenyeji wengi ni watumikishwaji tu pale mkoa ule

Kinachoung'garisha ule mji ni wangeni. Over!!

Umemaliza
 
Kama hayo matejo na ngarenaro ndio sehem unazofaham.. sishangai ulichokiandika .. why?
Sababu uliyataja mengi ni uswahilini yanakaliwa na maskini watu wa chini. Mbona hujataja maeneo mazuri.. ambayo kimsingi ni mengi kuliko ya ya watu maskini.

Ni sawa na uipime dar baada ya kutembelea manzese, mbagala, kwa mtogole..
Halaf unaijua dar nzima wakati kuna maeneo kama tabata na kwingineko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawataki kuamini kuwa A-Town ni kubwa?sawa inaweza isiwe kubwa lakini what about the attractions found there,and on top of that wazungu wenyewe wanaikubali Arusha kuwa ni GENEVA ya Afrika.Sasa wewe unachokipinga ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hawa wanaishia arusha mjini wanasema wamemaliza arusha. Kumbe wametembelea asilimia 10 tu ya mkoa. Watembelee wilaya zingine.. arusha ni kubwa sema tu sehem zingine hazijajengeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzisha mada anazungumzia mji/jiji la Arusha na wala hazungumzii mkoa wa Arusha. Ni kutoelewa mada ndiko kunafanya watu wengine wazitaje Monduli au Mbuga zilizopo Arusha. Binafsi mtu anapolizungumzia jiji la Arusha moja kwa moja naelewa anamaanisha Jimbo la mh. Lema na si maeneo mengine.
 
Back
Top Bottom