Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Umetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.

Umesoma Kisimiri????
 
Kwa kweli sijaona tofauti iliyopo kati ya Arusha,Morogoro na Dodoma(Kama tofauti ipo basi ni ndogo sana)
Ilo ni tatizo kwako na hatuna jinsi ya kukusaidia. Pambana na hali yako
Sijui kama uliwahi kunywa hata soda kwenye baadhi ya hotel hizi. Baadhi maana ni nyingi mno za hadhi ya nyota tano. Huyu jamaa kweli alifichwa na shemeji yake

Sasa na picha zote hizo tofauti ya Arusha , Morogoro na Dodoma ipo wapi?
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Wewe hujajua ulifikiri magorofa tu ndo uzuri wa Arusha au sehemu yoyote....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
KILAZA WEWE
 
Umetembelea wapi na wapi?
Isije ukawa umetembelea kule unga limited,chekereni na moshono mwisho halafu unadai Arusha mji wa kawaida.
Nimekaa chuga na kusomea uko advance pako vizuri sana.
Kasoro kubwa ya Arusha ni udogo wa stendi yao.
Kwanza kwenu wapi? isijekuwa ni mtu wa nyanda za juu kusini halafu unaipondea Arusha.
Live long Chuga.
Nyanda za juu kusini ndio kubaya mkuu? Arusha center tu pale padogo dogo tu hivi yaani hapaeleweki kama kweli hii ndio Arusha inayosifiwa. Sijafika huko ndani ndani,lakini mji wowote ili uonekaneka uko sawa ba sifa zake,lazima pale reception pawe panavuta ,hata mtu anaepita kwa njiani pale barabarani aone mji unavyovutia. Naweza kukubariana labda waisifie mambo ya mzunguko wa hela ksbb ya watalii wengi. Naunga mkono hoja hapavutii tofauti na sifa zake

Umemaliza
 
Acha kutuchonganisha, Arusha na moshi hii miji inategemeana karibu kila kitu, ila Arusha ni kubwa kuliko moshi, na hapa hutapata support kwakuwa wakazi wengi wa Arusha ndo hao wa moshi, hivyo ni ndugu wa damu hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom