Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

Wasukuma/watu wa Mwanza wapo so obsessed na Arusha sijui wana matatizo gani!! . Jilinganisheni na Kigoma huko Arusha sio level zenu washamba nyie.
 
Mwanza inakua Sana mkuu na inachangamka Sana hasa maeneo yote ya mjini Kati kemondo,samaki,Sahara, mzunguko,rwegasore, makoroboi, bugando,meko,mabatini,sasa hivi CBD IPO mpaka njia panda ya kiloleli na kirumba.kama unaelekea airport .mwanza inaikimbiza dar.na sa hivi ndo mkoa wa pili kuwa population kubwa almost 3m huku jiji likiwa na 1 million people ndo maana ni second largest city in tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa km n ya pili inaikimbizaje dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hawa wanaishia arusha mjini wanasema wamemaliza arusha. Kumbe wametembelea asilimia 10 tu ya mkoa. Watembelee wilaya zingine.. arusha ni kubwa sema tu sehem zingine hazijajengeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa km sehemu nyingine hazijajengeka tutembee kufuata nn.... Kubalini arusha n mkoa wa kawaidah sana...sio jiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema umekuzwa vipi ungeeleweka, lakini unaonekana una kawivu tu na jiji la watu, kati ya sehemu modern au urbanised Tanzania ukitoa dar ni arusha ata ubishe mpaka ufe, wana mall ya pili kwa ukubwa Africa mashariki, AIMMALL, wana hotel s nzuri Tanzania hakuna, ndio maana ata celebrities na viongozi wakimataifa hawapati shida ya accommodation arusha, uwanja wa KIA japo upo Kilimanjaro, unaserve arusha kama wakwao, shopping complexes, hospitality, cinema, etc bwana we tuache wivu tuwasifu wanapostahili. Arusha siyo overrated, sisis tuliozoea kuishi majiji makubwa tukienda arusha hatuisi tumepungukiwa na kitu. Acha wivu mwenzetu. Kubali tu.
Sasa uwanja wa KIA unautajaje kwa sifa za arusha ..... Tuachie uwanja wetu na moshi yetu bwana. ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia.

Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu.

Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana zaidi ya Arusha,ni sifa tu zisizo na miguu inapewa Arusha.

Hitimisho: Arusha ni mji mzuri Ila wa kawaida sana isipewe sifa zilizopitiliza.Moshi licha ya udogo wa eneo ni mji mzuri zaidi ya Arusha.
Unakuzwa kutokana na mapato si vitu unavyotegemea kuviona .Hali ya hewa Arusha na Moshi ni tofauti Moshi ni joto Kama dar .Arusha haijakuzwa kibahati ni uhalisia tembelea vivutio Arusha national park .tarangire .ngorongoro .utaona uhalisia
 
ila hata mimi nasikia inakuzwa kuliko uhalisia , tatizo langu huwa nafikia maeneo ambayo hata mimi siwezi kutoa picha nzuri, huwa nakuwa na kikao Ngurudoto, au AICC, kulala ple Temi Hill, ukitoka hapo ndege KIA. jioni mara nyingine unaenda Arusha Nationala Park , kweli unaweza kudhani Arusha ni nzuri sana
 
Kama umetembelea wilaya zake utafahamu. Nyine si mnadai kuwa ni ndogo. Padogo mjini ni mjini tu, lakin mkoa ni mkubwa.
Anyway maybe ni pa kawaida sababu umekuja juzi au ulipita tu. Sipingan na mtazamo wako.. maana hatuwez kuwa sawa.. ila usilazimishe mtazamo wako uwe wakwangu.
Tofauti na mikoa mingine arusha ni mkoa pekee ambao umezungukwa na mbuga za wanyama na vivutio vingi.. so lazima mandhari iwe ya tofauti sana na kwingine.
Sasa km sehemu nyingine hazijajengeka tutembee kufuata nn.... Kubalini arusha n mkoa wa kawaidah sana...sio jiji

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mkuu arusha ya kawaida sana tofauti na sifa inazopewa
 
Ukisema mpangilio wa mji hata Dar imekaa zigzag ndiyo maana kila siku mvua ikinyesha kidogo tayari mafuriko. Lini ulisikia Arusha kuna mafuriko au kipindupindu ilikuwa enzi hizo lakini siku hizi ni hadithi, kwanza sijui unatokea wapi. Ukitueleza na kule unakotokea tutakuelewa. Ulikaa Arusha wiki 4 ukitokea wapi
kwa hiyo wewe furaha yako usikie ya kwamba na dar haina mpangilio?Dar kutokuwa na mpangilio haindoi ukweli ya kwamba arusha is overrated city.
 
Ukisema mpangilio wa mji hata Dar imekaa zigzag ndiyo maana kila siku mvua ikinyesha kidogo tayari mafuriko. Lini ulisikia Arusha kuna mafuriko au kipindupindu ilikuwa enzi hizo lakini siku hizi ni hadithi, kwanza sijui unatokea wapi. Ukitueleza na kule unakotokea tutakuelewa. Ulikaa Arusha wiki 4 ukitokea wapi
Mimi nimetokea Chalinze, na siwezi kujipata ya kwamba Chalinze ni bora kuliko Arusha.Lakini hilo halinizuii kusema ya kwamba Arusha is overrated city( na ninasema maneno haya baada ya kufanya tathmini ya kina)
 
Kama sitakuwa nakosea Arusha inaweza kuwa ya kwanza au ya pili kwa nmahotel ya kitalii nikilinganisha na Dar, Arusha kama jiji lina miundo mbinu ya barabara ndiyo maana husikii msongamano wa magari (Traffic jam), Arusha kila kitu unachohitaji utakipata, kuanzia chakula vinyaji na maarufu kwa nyama choma ambayo hutaipata kokote, siyo Dar wanakula mishikaki na kuhesabu mbavu za mbuzi kwa bei ya mbuzi mzima. Arusha mtu akikwambia nakuja haichukui muda atakufikia, Arusha hakuna vibaka wa kutisha wapo wa kawaida tu na hakuna matukio mabaya kama majiji mengine mfano Dar na Mbeya
Kwa kweli sijaona tofauti iliyopo kati ya Arusha,Morogoro na Dodoma(Kama tofauti ipo basi ni ndogo sana)
 
Back
Top Bottom