Basi hauelewi kinachojadiliwaNipo ndani ya mada.
Hoja imewashinda kwa hiyo wanatafuta chaka la kujifichaMwanzisha mada anazungumzia mji/jiji la Arusha na wala hazungumzii mkoa wa Arusha. Ni kutoelewa mada ndiko kunafanya watu wengine wazitaje Monduli au Mbuga zilizopo Arusha. Binafsi mtu anapolizungumzia jiji la Arusha moja kwa moja naelewa anamaanisha Jimbo la mh. Lema na si maeneo mengine.
Kati ya binadamu wanaojielewa na kujitambua na msema kweli wewe ni namba mojaWabongo wengi wanajua uzur wa mji ni kuwa na majengo marefu na yenye vioo, moshi ni pazur sana jaman yan sikuamin kama Tanzania kuna mji mzur kama ule, bustan zao zimepangiliwa saaaaafi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mneunawa mji wa arusha baada ya hoja kuwa nzito, mmebaki kutafuta viwilaya vya pembeni kwa lengo la kukimbia hojaNdio hawa wanaishia arusha mjini wanasema wamemaliza arusha. Kumbe wametembelea asilimia 10 tu ya mkoa. Watembelee wilaya zingine.. arusha ni kubwa sema tu sehem zingine hazijajengeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubali tu arusha ni mji mzuri ila wa kawaida, kama sifa basi ipewe kulingana na uzuri wa mji kuliko kutoa sifa kuuubwaaa, kumbe kamji kakawaidatuKama hayo matejo na ngarenaro ndio sehem unazofaham.. sishangai ulichokiandika .. why?
Sababu uliyataja mengi ni uswahilini yanakaliwa na maskini watu wa chini. Mbona hujataja maeneo mazuri.. ambayo kimsingi ni mengi kuliko ya ya watu maskini.
Ni sawa na uipime dar baada ya kutembelea manzese, mbagala, kwa mtogole..
Halaf unaijua dar nzima wakati kuna maeneo kama tabata na kwingineko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point ni kwamba arusha ikizubaa itapitwa adi na Morogoro
Sina ata aja ya kutaja maeneo niliyotembelea,nilifika arusha nikiwa na mzuka wa kufurahia mji kumbe hakuna kitu.Nimekuuliza swali kuwa umetembelea maeneo gani arusha ila hujanijibu.
Umetembelea wapi na wapi sana sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpunguze sifa basi ,sifa zimekuwa kubwa kuliko uhalisia wa Arusha ilivyoMkuu hawataki kuamini kuwa A-Town ni kubwa?sawa inaweza isiwe kubwa lakini what about the attractions found there,and on top of that wazungu wenyewe wanaikubali Arusha kuwa ni GENEVA ya Afrika.Sasa wewe unachokipinga ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli tofauti iliyopo Kati ya dar na mikoa mingine ni kubwa sana
Tumeshawaachia mji wenuTuachie mju wetu
Umevuta Bangi mbichi ya ArushaSijui kwanini misukuma inapenda sana kupondea Arusha. Misukuma mishamba sana.
Tumeshawaachia mji wenu
Sina ata aja ya kutaja maeneo niliyotembelea,nilifika arusha nikiwa na mzuka wa kufurahia mji kumbe hakuna kitu.
Zaidi ya Dar es Salaam?we ntu m1 hutuumizi kichwa mana dunia inaitambua Arusha na mazuri yake zaidi ya Dar.
Arusha home sweety home of mans