Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,696
Haindoi ukweli,ya kwamba Arusha ni mji unaokuzwa isivyo stahiliWe kenge kweli...umeshukia hapo Ngarnaro unajiona umeijua Arusha
Ndani ya wiki 4 nimeuzunguka mji wote zaidi ya mara 5 Kwa kurudia rudia,Arusha ni mji mdogo sana.A Arusha ni mji mzuri , tatizo unapewa sifa kubwa sana kuliko uhalisiaUmekaa wiki 4 unasema umemaliza arusha? Hahaha dude come on. Sema umetembelea arusha mjini tu.
Arusha pekee ni kubwa sana, ukiwa mjini hutaona kitu, toka nje ya mji.
Kwa vigezo gani eti unasema arusha ni overrated?
Embu nipe point zako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma itaipita Arusha muda si mrefu
So unafananisha Mwanza na Kariakoo kwa lipi sasa.Mwanza inakua Sana mkuu na inachangamka Sana hasa maeneo yote ya mjini Kati kemondo,samaki,Sahara, mzunguko,rwegasore, makoroboi, bugando,meko,mabatini,sasa hivi CBD IPO mpaka njia panda ya kiloleli na kirumba.kama unaelekea airport .mwanza inaikimbiza dar.na sa hivi ndo mkoa wa pili kuwa population kubwa almost 3m huku jiji likiwa na 1 million people ndo maana ni second largest city in tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma itaipita Arusha muda si mrefu
Naona umechanganya habari ,tunaongelea Arusha mjini (pale wanapopaita jiji)Arusha jiji kama jiji kwa maana ya arusha mjini ni padogo.
Toka nje ya mji jomba.. huko monduli na mbele yake ndio utajua kuwa arusha ni kubwa.
Asilimia kubwa ya arusha ni pori.. haoajajengeka.
Tembelea nje ya mji.. ndio utaona ukubwa. Ukisema umetembelea mjini tu bado mkuu.. bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli Arusha,naijua Kwa sasa
Ata mimi nilikuwa miongoni mwa wengi waliokuwa wanaikubali Arusha kabla sijaitembelea Arusha,lakini baada ya kufanya safari rasmi nimejitoaKitendo cha kulinganisha Arusha na Moshi kinanifanya nikushangae sana, sema kwa kuwa ulikaa 4weeks tu.
Unaposema overrated ni na nani? Hapo ujue unazungumzia maoni ya walio wengi japo haimaanishi ni lazima kila mtu aende na hiyo flow ya mtazamo wa walio wengi.
You've all right to have your own opinion lakini opinions za wengi ndiyo zenye uzito zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umechanganya habari ,tunaongelea Arusha mjini (pale wanapopaita jiji)
Kwa kweli Arusha,naijua Kwa sasa
Ndani ya wiki 4 nimeuzunguka mji wote zaidi ya mara 5 Kwa kurudia rudia,Arusha ni mji mdogo sana.A Arusha ni mji mzuri , tatizo unapewa sifa kubwa sana kuliko uhalisia
Haukustahili kuwa jijiHalafu Arusha ni jiji siyo mji tafadhali sana [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Smart guy
Arusha ni kamji ka kawaida sana.Basi kaa kimya wewe mkora huna ulijualo
Smart guy
Kumbe unajua sababu ya serikali kuamia Dodoma ,inaenda kuifunika Arusha,sas sijui ulikuwa unabisha niniIn hell man. Itachukua miaka. Na arusha haibaki hivyo hivyo sababu arusha ina vitu ambavyo dodoma nzima hawana. Arusha yote imezjngukwa na vivutio vya kitalii. Dodoma ina hifadhi gani?
Angalia takwim za mwisho za mapato kati ya arusha na dodoma.. arusha wako mbele kuliko dodoma.
Kama isingekuwa serikal kuhamia dodoma, dodoma ingebaki hovyo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua sababu ya serikali kuamia Dodoma ,inaenda kuifunika Arusha,sas sijui ulikuwa unabisha nini