kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 326
Natamani kungekuwa na midahalo kuangalia na kuchuja uwezo wa wagombea urais na ubunge...seriously tunataka kiongozi sio kwa kuangalia sura bali uwezo wake wa kuliongoza taifa.
Lakini nasikitika watanzania kama kawaida yetu tutachagua "handsome" man!!! Aje azunguke dunia nzima kuonyesha sura!
Kwikwikwikwi,sasa ndugu unataka wachague tyson ambaye amekuwa katika serikali zaidi ya miaka 30 katika wizara ya kilimo na kila siku bei za zinapanda alafu leo anakuja anasema eti tumpe uwaminifu,swali ni moja,wakati akiwa kijana tena mwenye nguvu akapata bahati ya kuingia serikalini na kufanya kaz katika wizara ya kilimo kama waziri kwanini hakuendeleza kilimo???inakuwaje leo ndo anataka urais ndo unasema atafanya kaz na kashazeeeka???