Kapita wapi? Uchaguzi tayari? Sawa Mimi kajamba nani hongera wewe Tajiri kwa kulipwa Pesa na fisadi lakini ukweli ndani ya moto wako unajua hakika nakuambia ujira unaolipwa na huyo fisadi hautabadilisha maisha yako kama hautajituma ktk kazi wewe sio familia ya lowasa wala huna hisa nae watakao faidi ni watoto wake we mbwa koko utabaki kubweka tu kipindi hiki baada ya muda mfupi utaendelea kula jalalani wakati wenzio kina Freddy lowasa wakila ikulu.jinga kubwaaaaa weeeee mwana hizaya unayelewa visenti vya hongo
Nimesoma semantics, mantiki ya jambo hubadilika kulingana na msisitizo wa mtamkaji. Kwa mfano nikiandika " JUMA AMENIIBIA SHILINGI MILIONI MOJA", msisitizo wangu unakuwa kwa Juma kwa sababu ndio nimeanza kumtaja hapo. Lakini nikisema " SHILINGI YANGU MILIONI MOJA, IMEIBWA NA JUMA " msisitizo wangu unakwenda kwenye shilingi mia moja. Umesema " Mjerumami ' amchambua Lowassa. Hapo ndio unapo niacha hoi. Haukuwa na ulazima wa kumtaja mjerumani hapo. Ungeweza kusema ' Mtaalamu wa masuala ya siasa na uongozi kutoka nje ya nchi " or something, bado ungeeleweka
Sawa, mimi ni mtoa habari tu, huyu Mzungu anaishi hapa tangu miaka ya 1998, anajua matukio mengi ya nchi hii, mimi nimeongea nae mambo ya kazi, lakini tukaongelea na siasa. Sijui wanataka mimi niseme nini?
Kaka UNAJIPENDEKEZA Kweli Kwangu Kama Vipi Nipe Basi NYABE Hiyo Nicheze Nayo ILI Ufurahi Zaidi Kuwa Nami. Sema Tu Usione Soo!
Ripoti ya Mwakyembe ilisomwa bungeni. Mpaka haijapingwa na huyo aliekuwa PM taratibu anazijuwa. Mbona alikuwa kimya. Au aliwapa nyie ushahidi gani
Nionyeshe Ktk Kitabu Chochote Cha Dini Unachokijua Wewe Kama Kuna Picha Ya MWAFRIKA. Sisi Ni Wa Maporini Tu Utake Usitake Na Tena Wewe Ndiyo Unaonena MPORI PORI Haswa!
Ww upo wapi boya ww??tulia tu alafu utaona ndo utaamini aisee,time will tell ndugu yangu
Nikimwambia hivyo atashindwa kuamini akili yangu kama iko sawasawa, bora nitulie tu
Duh!hapo umeuwa bendi!iweje kila kitu tunachotumia kimetoka kwa Wazungu halafu leo tunajipiga kifua tukijifanya tunajithamini kisa tumeambiwa kile tusichotaka kukisikia?Kama tunatumia nguo zao, viatu vyao,tv zao,simu zao,kompyuta zao basi na ushauri tuuchukue tu,there is no need to feel inferior.
Nionyeshe Ktk Kitabu Chochote Cha Dini Unachokijua Wewe Kama Kuna Picha Ya MWAFRIKA. Sisi Ni Wa Maporini Tu Utake Usitake Na Tena Wewe Ndiyo Unaonena MPORI PORI Haswa!
huyo mzungu muulize kama walishafidia tanganyika kwa wizi,ukatili,ubakaji,ujangili waliotufanyia,bado unaabudu wazungu?? hopeless