Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,003
- 72,296
WAZUNGU NDIO WAIZI KABISA NA WANAFIKI TUACHE KUONA WAZUNGU NDIO WATU BORA ZAIDI/ jr
Wanaibia viongozi wqjinga lakin nchini mwao wanachagua viongozi safii ndio maana wameendelea
WAZUNGU NDIO WAIZI KABISA NA WANAFIKI TUACHE KUONA WAZUNGU NDIO WATU BORA ZAIDI/ jr
Acha umasaburi wewe. Huyo mjerumani ana kura ngapi? Kweli nimekubali wewe ndiye mtanzania usiyefaa kabisa. Yani mpaka leo unakuja na reference za mjerumani. Shame on you, si afadhali ungekuja na reference za baba yako. Watanzania wenzangu angalia hawa jamaa wa third term wanavyoangaika. Watanzania wenzangu please say No to third term, No to uncle, No to project ya jumba kuu AKA Membe
Usimtetee Lowassa. HAFAI
mnao muunga mkono lowasa akili zenu ndogo mna akili mgando tena hamfai bola wake zenu wajiongeze make nyie c mbegu ya kupanda.bola ht wazae na wingine make hfai
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.
Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.
Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.
Mimi nimewasilisha tu, kama unadhani hafai mbona kila kukicha viongozi wanakwenda kuomba misaada kwao?
Mimi nakijua kiingereza vizuri, nina elimu ya chuo kikuu, na yeye anafahamu kiingereza, nimekutana nae si kwa kubahatisha, tunafahamiana.
Obama alipelekwa Ubungo bila kujitambua, haijui Richmond, yeye kapelekwa na mafisadi wa Tanzania kama njia ya kuua soo.
Hayo mambo ya kusema Lowasa hakuusika ni wewe unasema, Mhusika hajawahi kusema, labda wewe ndie msemaji wake
Kama Lowasa hajawahi kusemea tuhuma zake, au kuwa cleared na Mahakama ulitaka niseme nini?, wewe ungedanganya vipi?.
tupe hoja kwa nn unasema ni fisadi, na kama kweli aliwah kushtakiwa wapi? na kama ndiyo aliwajibihswa na nani?
tulimuona Mramba aakienda segerea mbona ahuyu haatukumona?
tusiseme tu kama wagonjwa wa akili na hiki ndicho ninachikipinga mimi
haya ya kusema mjeruman kwan yy Mungu kila kitu kiwe sahihi kwake?
Mkuu ni maoni ya huyo mzungu wake
Hata huku kwetu jamaa anawashabiki wengi
Nomtazamo na huyu jamaa- Lowasa anakundi kubwa la majamaa yanayofanya propaganda na uraghai.
Amini nakuambia tukisinzia just a minute jambazi litaingia Ikulu
Mtoa mada eti anasema ana elmu ya chuo kikuu! halafu hajui kutofautisha kati ya mjeruman na mzungu,elimu....mzungu ni mtu hasa kutoka uingereza na maracphache u.s.a.kesho utakuja na hoja ya mchina kisa mweupe naye utamwita mzungu!
Hapo kwenye red,mbona umesema kiwango kikubwa sana hicho? Wanapewa elf 5 tu na wanaridhika.criteria ya vijisenti ndo maana watu wanamsupport.Yaani watanzaniani watu wa kuridhika sana,yaani [colour=red]laki tatu[/colour] mtuakipewa yaani anaridhika kabisa
Wasira anaboa, anaongelea kuboresha kilimo wakati hadi sasa ameshindwa kuonyesha mfano, bei ya mazao haieleweki, hana jipya kabisaaa
Who's that Mzungu kwa nchi yetu na kwako hadi uanzishe thread kabisa? So kwa kuwa kasema Mzungu ndo tuamini sio?