Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,574
ana hoja za msingi haijalishi nani kaongea, awe mzungu au mnyamwezi!
Tatizo ni kuwa tumeruhusu mfumo kuwaona wezi na mafisadi kuwa mashujaa...kwahiyo hawahitaji kusafishwa na mahakama au yeyote kuonekana wasafi. Ndiyo maana ccm watakuwa na taabu sana kutumia kigezo cha rushwa na ufisadi kumzuia mgombea...ni sawa na kuhukumu kesi ya need ere wakati wewe ni nyani.Doesn't matter nani kaongea, ila ukweli ni kwamba sisi watz tu wasahaulifu sana. Mimi mwenyewe huwa najiuliza sana hayo maswali ila naamua ku-give time. Ukitokea ufisadi watu huzungumza sana ila it take a week watu kusahau kila kitu. Kifupi tz tunaishi kwa matukio. Mungu atusaidie
Ripoti ya Mwakyembe ilisomwa bungeni. Mpaka haijapingwa na huyo aliekuwa PM taratibu anazijuwa. Mbona alikuwa kimya. Au aliwapa nyie ushahidi gani
Nipo kwa mama yako mbwa wewe then siwezi kuwa ndugu yako kwa maneno yako machafu zaidi naweza kuwa baba yako tu kama unabisha muulize mama yako. Usijitie upofu kwa kupokea hivyo vihongo ili mje kumpamba MTU ambaye hadi mtoto mdogo anajua kuwa lowasa alishindwa uwaziri Mkuu kwa tuhuma za rushwa hivyo ananuka rushwa sawa yawezekana akashinda sitashangaa kwa nchi yetu kama wapiga kura ndio watu Wa type yako lakini Mimi kamwe siwezi kuwa sehemu ya kura zitakazompeleka ikulu na wala siendekez njaaa kama wewe sawa kijana Wangu.
Kama Ni uongo kwanini asiwashtaki kina Dr Slaa na wengine waliomchafua kama alivyoahidi?
bahati mbaya una kura moja,sauti ya wengi ni sauti ya mungu,kuna watu tuko wengi na tuna kura nyingi,tutampigia,achana na drama za wana siasa,jiunge na sauti ya mungu
kwa kuwa umejiunga mwezi mei, nina imani uko hapa kuchumia tumbo lako. kumbuka hizo posho mnazopewa zina ukomo wake, baada ya hapo mnarudi tena kupiga makelele hapa dawa hakuna mahospitali, maisha magumu n.k,kama hujionei aibu wewe, onea aibu kizazi chako majununi wewe.
Lowasa ananuka rushwaaaaaaaaaaa hadi hapo atakaposema mchongo wa richmond ulikuwa wa nani vinginevyooo yeye ndie fisadi na hafai kabisaa kuudogelea mlango wa ikulu
Matusi ya nini sasa!!???mbona unakuwa sio Mstaarabu ???hapa ni mjadala kila mtu anatoa fikra zake na fikra zangu haziwezi kuwa sawa na zako na zako pia haziwezi kuwa sawa na zangu,so heshima ni kitu cha bure aisee,alafu ni bora unitukane me,kwanini unamuingiza mama yangu katika huu mjadala ???mama yangu hawezi kukuzaa ???na akawa mama yako pia???ivi utaona raha kama mtu akimtukana mtu aliyekuwa na ww zaidi ya miezi 9 akiteseka nawe mpaka ulivyoiina hii dunia???so nakuomba tuwe na heshima na mama zetu maana mama yangu naweza kuwa mama yako na mama yako pia anaweza kuwa mama yangu,
Matusi ya nini sasa!!???mbona unakuwa sio Mstaarabu ???hapa ni mjadala kila mtu anatoa fikra zake na fikra zangu haziwezi kuwa sawa na zako na zako pia haziwezi kuwa sawa na zangu,so heshima ni kitu cha bure aisee,alafu ni bora unitukane me,kwanini unamuingiza mama yangu katika huu mjadala ???mama yangu hawezi kukuzaa ???na akawa mama yako pia???ivi utaona raha kama mtu akimtukana mtu aliyekuwa na ww zaidi ya miezi 9 akiteseka nawe mpaka ulivyoiina hii dunia???so nakuomba tuwe na heshima na mama zetu maana mama yangu naweza kuwa mama yako na mama yako pia anaweza kuwa mama yangu,
Angalia Manzombi, njaa bhana.Team Membe na Nyalandu wanaamini kuwa Wazungu ndo wenye kutoa miongozo sahihi... Team Membe inamtumia Chris Opperman na JACK GOTHAM matapeli n assassins wa kimataifa kuwashauri... hawa wote wanatoa fedha kwa niaba ya Makampuni makubwa ya Gas duniani! Hawataki kusikia wananchi wananufaika kwa Rasilimali zao: Bahati mbaya sana Wajinga wengi hawajui Roles za NGOs kwenye kukwapua Rasilimali zetu: Rushwa ipi aliyohusika nayo Lowassa? Ikawaje USA wakajitokeza hadharani na wote wakafyata? ... Itoshe kusema Lowassa hazuiliki tena... Kama jana Umeona Mziki wake ni vema hao makanjanja wakafungasha virago mapema kurudi kwao maana Lowassa anachukia kuitwa Omba Omba .... Rsilimali zetu zitatufanya tuombwe misaada si kuomba hiyo misaada ya kilaghai ...![]()
ivi unapata shida na mtu anayejiita uvungu??
huyu hata akili ni ya uvunguni tuuuuu..........
ndio shida ya wafuasi wa CDM wengi kwao matusi ndo jadi yao.
waambie sasa waproove kwa Lowassa ni fisadi utacheka, hakuna anyekupa jibu zaid ya Slaa alisema, eti alifukuzwa uwazir mkuu. Nani aliyemfukuza uwazir Lowassa? Watuambie with facts ufisadi wa Lowassa ulipo, na serikal ituambie kwann hajawajibishw adi leo?