Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Kwani Kikwete alikuwa na sifa gani na kawa raisi?
Wizara zote kavuruga na madili juu. Akaja kuwa raisi.
Tumlaumu nani?? Mchawi wetu nani? Viongozi? Nakataa

Sifa yake "handsome and he has smile face" na ndo rais wa kwanza kulipa fadhira kwa watu wake wote aisee,ilo hata me nampongeza
 
Ila kawaponda watu wajinga japo ss mzungu hatuhusu. Huyo jambazi lowasa hawezi kuwa rais. Tanzania ni nchi yenye historia nzuri na hatuwezi kuharibu hilo. Lowasa is a thief and will never be a president. Mpe hiyo mzungu wako nimempigia kizungu cha kwao ili aelewe.
 
I support mzungu 100% how can we forget so easily? Lazima mahakama au bunge au serikali imsafishe...sio yeye mwenyewe. Wasila kaongea vizuri zaidi ya lowassa.
 
CCM sintaiunga mkono ktk maisha yangu, sijawahi kuipigia kura katika kipindi cha pambio la maisha bora kwa kila Mtanzania na wala katika chorus hii ya safari ya matumaini sitawapa kura yangu.

Pole weeee,katika pambio la maisha bora kwa kila mtz haukupiga kura lakin jamaa alipita na anamaliza mwez wa 10 na hata usipopiga kura katika safari ya matumaini itakuwa same thing ndugu,utakuja tena hapa jamvini 2025 kusema tena lilikuwa pambio la safari ya matumaini wakati watu washatawala haaa
 
Watumwa wa fikra hawa, kaweka bendera ya Israel kwa dp yake. Anadhani akiibariki Israel na yeye anabarikiwa.
Watu kama hawa wao kitu akishasema mzungu basi ni sawa, kanakwamba wao nchi zao hawajawai fanya hii kitu, Russia eg.
 
It's time to take Lowassa to the court now, Kamati ya Bunge,CAG na TATUKURU will be the key witnesses. It's time to finish this madness once and for all.
 
shida watanzania wakipewa pesa wanakudafisha unakuwa msafi kama unga wa mabundo(mahindi yaliyolowekwa kama wiki hivi)
 
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.

Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.

Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

Kaka inaonekana una waamini sana wazungu? You believe anything that come from the mouth of a white
man ?
 
Mkono mtupu haulambwi, wazungu wamefanya kila kitu duniani, ni lazima tuchukue mawazo yao kwa sababu kimaendeleo wako sayari nyingine. Waarabu na Wahindi nao wenyewe wakiona mzungu wanatetemeka

Kwa waarabu nakukatalia ndugu yangu,Maybe Wahindi
 
Mwakyembe na serikali inabidi sasa waupeleke mjadala mahakamani ili ukweli ujulikane na kama Lowassa anaonewa itajulikana.That's the only way to clean Lowassa from this scandal.
 
Duh!hapo umeuwa bendi!iweje kila kitu tunachotumia kimetoka kwa Wazungu halafu leo tunajipiga kifua tukijifanya tunajithamini kisa tumeambiwa kile tusichotaka kukisikia?Kama tunatumia nguo zao, viatu vyao,tv zao,simu zao,kompyuta zao basi na ushauri tuuchukue tu,there is no need to feel inferior.

Umemaliza Kila Kitu Akhsante Mkuu! Ni POPOMA Tu Ndiyo ATAKUBISHIA Kama Hao Wengi Wanaowapinga Wazungu ILA Mzungu Nitamuheshimu Hadi Siku Nazikwa Kaburini.
 
Kwa hiyo kinachosa banisha mbishe kwa sababu amenukuu kutoka kwa mzungu eeh? Jitambueni ukweli siku zote unauma.na ujitenga na uongo.acheni ufala#* mburula
 
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.

Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.

Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

Point to note..
 
Back
Top Bottom