Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Kwani atakuwa Rais wa Ujerumani ama Tanzania?
Achana na mambo ya ndoa, ongelea issues za maana, ndio maana Mjerumani ametudharau
Mleta mada labda utuambie waTanzania wangapi ambao wanampenda Lowasa ukageneralise kwamba waTanzania wanampenda. Mikutano yake inakuwa na watu wangapi? Na je kila anayehudhuria mkutano huo anampenda? Je waTanzania wapo wangapi? Ungetumia busara kujali na hisia za watu wengine pia ambao si washabiki wa CCM, wala Lowasa mwenyewe je hawa unawaweka kwenye kundi gani? Eti kwamba unawashangaa waTanzania, sample yako ni ipi hapo ya kuchukulia waTanzania wote wamekufa na kuoza kwa Lowasa? Au kigezo kipi umekitumia hadi kuja na majumuisho kuwa waTanzania wanamtaka Lowasa awe rais? Nasubiri majibu
Akili za watanzania ni ngumu kuzielezea
Hii nchi ina waxungu wengi na wao wana uhuru wa kutoa maoni. Ukweli ndo huo; sisi ni watu wasahailifu sana kiasi ambacho tuko tayari kumweka madarakani mtu ambaye ana kashfa na hajawahi kuwa cleared. Yaani watanzani tunaona wazi jinsi anavyokazana mno (pamoja siha kuonekana kuwa na shida) hata kwa kutumia pesa ili kuwa raisi.Yani wewe jamaa sasa una tofauti gani na K ya kitimoto?
Au ngeliless? Mjerumani kwanza hajui kingereza yeye anaongea kijerumani kwa hio english yake ni ya kuunga unga.
Wewe anakuuliza maswali sio kwamba hujui ila unasema tu i dont know kuepuka kutoa maelezo.
-umesababisha watz waonekane viazi mbelw ya mzungu wako.
-ina maana hujui kuwa Obama na Mke wa Clinton walienda ubungo kufanya nini?
-hujui kuwa Lowasa alihusishwa indirect na ule mkataba ila waliohusika ni makatibu wakuu wa mawizara?
:ungemjibu hata kwa kiswahili basi badala ya kuongea neno moja tu i dont know i dont know!
Pole.
Hajadiliwi yeye anakuwa case ya watu wanaodhani jambo fulani likongelewa na fulani basi ndio lina mashiko, in shirt anapewa brain massage . . . . . . awe mtu bora na kujiamini zaidHili ndio tatizo lingine la Wabongo,badala ya kujadili hoja mnakimbilia kumjadili mleta hoja.This is the spirit of simple-mindedness.Watz tuna matatizo makubwa kuliko tunavyodhani,mweh kazi ipo!
Heshima Yako mkuu wangu.Mimi nakijua kiingereza vizuri, nina elimu ya chuo kikuu, na yeye anafahamu kiingereza, nimekutana nae si kwa kubahatisha, tunafahamiana.
Obama alipelekwa Ubungo bila kujitambua, haijui Richmond, yeye kapelekwa na mafisadi wa Tanzania kama njia ya kuua soo.
Hayo mambo ya kusema Lowasa hakuusika ni wewe unasema, Mhusika hajawahi kusema, labda wewe ndie msemaji wake
Mkuu kuna kitu unakichanganya hapa. lowasa alijiuzulu kutikana na makosa yaliyofanya na makatibu wa mawizara. Ila medi zetu ndio zilimchafua zaidi na kuaminishwa matango kama wewe ulivyoaminishwa hapo.Hii nchi ina waxungu wengi na wao wana uhuru wa kutoa maoni. Ukweli ndo huo; sisi ni watu wasahailifu sana kiasi ambacho tuko tayari kumweka madarakani mtu ambaye ana kashfa na hajawahi kuwa cleared. Yaani watanzani tunaona wazi jinsi anavyokazana mno (pamoja siha kuonekana kuwa na shida) hata kwa kutumia pesa ili kuwa raisi.
Haya tunayoyaona wageni waishio nchini wanayaona pia na ukweli kwamba wanatushangaa sana.
Heshima Yako mkuu wangu.
Ati Lowasa hajawahi kukanusha? Kweli?
Ingia youtube tafuta mahojianobkati ya Lowasa na Tido mhando . Kipindi hiko akiwa bbc. lowasa alikanisha kabisa kuhusika. Sasa wewe sijui unaishi wapi ndugu yangu.
Na my friend kuwa na degree sio kigezo cha kujua kingereza, ila hio pia sio lugha yetu. Tudumishe kiswahili.
Who's that Mzungu kwa nchi yetu na kwako hadi uanzishe thread kabisa? So kwa kuwa kasema Mzungu ndo tuamini sio?
Usimtetee Lowassa. HAFAI
So mzungu ndio kakufungua mlango wa fahamu na bila ya yeye wewe hukuwa na msimamo???!!!