mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
watu wanamjadili mtoa hoja, badala ya kujadili hoja aliyoleta mtoa hoja.
Kama utaki habari za wazungu mbona kuanzia nguo za ndani unavaa nguo za kutoka nchi zao, mbona sasa mnategemea misaada yao?
Lowasa hajui kuwa social structure (ikiwemo Elimu) ya jamii yeyote ile inatambulishwa na Misingi imara ya kiuchumi (Economical base ).Mtu anataja tu Elimu,ila hasemi ni njia zipi atatumia ili kuimarisha Elimu na hatimae Elimu imkomboe Mtanzania.
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.
Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.
Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with
Na hata huyo Lowassa akipata atakwenda kupiga magoti kwao kuomba omba, as usual. Ni aibu na inahitaji uwe na moyo wa chuma kumsafisha huyu bwanaMimi nimewasilisha tu, kama unadhani hafai mbona kila kukicha viongozi wanakwenda kuomba misaada kwao?
So mzungu ndio kakufungua mlango wa fahamu na bila ya yeye wewe hukuwa na msimamo???!!!
kwanza atuambie hizo pesa za kulipia watu nauli kazitoa wapi? Na kama kakopa atazilipaje akiwa Ikulu. Tukimpa hii nchi ndio tumjiuza wenyewe. WaTz tuamke, tuachane na huyu adict wa rushwaNinawasiwasi na elim pamoja na wasomi hawa wa siku hizi, maana huhitaji elim ya chuo kujua edo hafai, unachohitaji ni kujua kusoma na kuandika, au kusikia na kusikiliza..
Sasa watu wamelipwa pesa ya naul, wanataka tuweke nchi kwenye rehan kwa miaka 10? Sheme on u..
Ninaona watu wanacheza na maisha yetu, watz tusikubar kabisa
Tuseme HAPANA, HAPANA, HAPANA KWA EDWARD LOWASA
Hoja ikiishakuwa haifai, lazima mtoa hoja ajadiliwewatu wanamjadili mtoa hoja, badala ya kujadili hoja aliyoleta mtoa hoja.
Who's that Mzungu kwa nchi yetu na kwako hadi uanzishe thread kabisa? So kwa kuwa kasema Mzungu ndo tuamini sio?
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.
Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.
Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

Mbona tatizo la MSM hapa kwetu ni kubwa tu?! tatizo wewe ni mmoja wa wale ambao hamtaki kukubaliana na ukweli na hali halisi?Mkuu ujue na ushoga umeshamiri sana kwao. . . . .Sio kila la wazungu unahomola tu